Top Tweets for #Bongo360
#KamatiaHii
Kuna jamaa wa NIGERIA anadai pesa au kufanya remix ya #JOGODO by #TECNO, Unajua sababu nini? Tune in 89.3 uskilize more details kwa #Bongo360 na @AdamSolinzatz.. Fanya vidole vya @DjDjhiplus kuwa busy na playlist ya request yako| #WeOnlyPlayGoodMusic

#KamatiaHii
@Mansu_Li ni moja ya msanii anayeona game ya muziki imekuwa ngumu kwa sasa lakini je, umeskia ngoma yake mpya #Romantic?| @AdamSolinzatz yupo tayari kunena kwa ๐ค ya #Bongo360 muda huu| @DjDjhiplus anasema we only play good music so fanya kudrop yo favorite flavour..

#KamatiaHii
Kuna #Fununu zipo kitaani eti muda wowote kuanzia sasa tunaweza kupokea brand new ๐ฅ from @YMsodoki, More stories dondoka na #Bongo360 with @AdamSolinzatz on the ๐ค| @DjDjhiplus yupo tayari kupokea request yako.. Leo ni mwendo wa #OldSchoolFlaver..

#KamatiaHii
Msanii @Cpwaa amenena kuhusu mpango wa kuachia album mwaka huu, Ni lini na itakuwa na ngoma ngapi? Tune #Bongo360 ya #FurahaFriday na @AdamSolinzatz anakupa full details ya mpango huo | Sema na @DjDjhiplus ngoma unayotaka kuiskia kwa ๐ปyako...

#KamatiaHii
Leo msanii @mimi_mvrs11 anasheherekea miaka๐ kadhaa ya kuja kwa ๐| @DjDjhiplus ameanza na #Papara kwa #Bongo360 | Sema na @AdamSolinzatz ๐ค ni ngoma gani ya @mimi_mvrs11 unaikubali na turuke nayo kwa #Playlist ya leo! #WeOnlyPlayGoodMusic๐ต๐ถ๐ผ

Wedsnesday huh!! Baasi @JideJaydee anasimama kama our #WCW kwa leoo | Unajua nin kuhusu legend huyu kwa muziki wa BongoFlaver?? @AdamSolinzatz anakudondoshea fact moja kuhusu JIDEJAYDEE kwa #Bongo360| Sema na @DjDjhiplus #OldSchoolFlaver music ipi aguse nayo kwa miguso yake..

#KamatiaHii
@RichMavoko yupo location kuandaa kichupa cha ngoma yake mpya | More stories tukutane kwa #Bongo360 muda huu na @AdamSolinzatz alongside @DjDjhiplus mpaka 10 jioni| Leo kwa mara ya kwanza utamskia #Oxygen akitambulisha ngoma yake mpya inayoitwa #Tete | Tune in 89.3

#Shilole anakwambia kuna muda ataacha muziki na kumrudia MUNGU wake kama MZEE YUSUPHY.. More details dondoka na #Bongo360 inayosimamiwa na @AdamSolinzatz alongside @DjDjhiplus mpaka 10 jioni.. Usisahau kudondosha ngoma unayotaka iskike kwa ๐ปyako.. #RadioYako

Its wednesday huh!!
Baasi @AdamSolinzatz yupo tayari kusema na request yako kwa #Bongo360.. Leo ni mwendo wa #TupaKulee sababu we only play #oldschool FLAVER.. @DjDjhiplus ready to rock the show.. Km upo Mbeya tune in 89.3 Mhz..
#PartyDay ya #Bongo360 inakamilishwa na #FranceMusic akitambulisha ngoma yake ya #Kero aliyomshirikisha #MrBlue.. @AdamSolinzatz is on ๐ค & @DjDjhiplus is playing your request..

#FurahaDay
Unamfaham kama #TwaliB na MUSIC unamjua kama #SaeBwoy kutoka #GreenCity. Anaanzisha mpango wa #Bongo360 na kitu yake mpya #Nakusora ft @BrownPunch. Dondoka na #HappySong yako @AdamSolinzatz atasema nayo then @DjDjhiplus adondoke nayo kwa playlist yake mpka 10jioni๐ค๐ป

#Bongo360 inaanza na salamu ya #Kamwene kutoka kwa kabila la rapstar @LapZilly.. Drop your request then #JAGABAN @AdamSolinzatz atapita nazo kwa ๐ค.. @DjDjhiplus yupo tayari kucheza na kazi ya vidole vyake mpka nuktaa... Tune 89.3

#JAGABAN @AdamSolinzatz amechagua #Rimoti ya @Izzo_bizness ifanye mchakato wa ku-control #FurahaFridayParty ya #Bongo360 kuanzia mida hii hadi 10 jioni | Dondoka na request yako ili twende sawa na @DjDjhiplus kwa #MigusoYake.. 89.3Mhz

J A G A B A N @AdamSolinzatz anakukaribisha kwa #Bongo360 ya #Mondvation (MotivationDay).. Anaskika #JozeeFashion akielezea kuhusu #Hustle zake kama kijana.. Dont forget to drop yo favorite music cz @DjDjhiplus is ready to rock the party till 10 jioni.. Kaazaaaaaa

@AdamSolinzatz amechagua #AfricanBeauty ya @diamondplatnumz ft @1Omarion kumpa vibe la kunena kwa ๐ค ya #Bongo360 inayoanza mida hii hadi 10 jioni.. Sema na sisi unataka iskike ngoma gani kwa ๐๐yako? @DjDjhiplus is ready to rock the party mazeee... #Kazaaaaaa


Its Wednesday right?? Lets #Bounce with our #WCW @VanessaMdee ft @MauaSama.. Its #Bongo360 with your favorite JAGABAN @AdamSolinzatz alongside @DjDjhiplus & here we go with the guest dj #Dj_Dhifa... Tune in 89.3 then Kazaaaaaaaa

Kutoka +254Kenya #Melanin ya @sautisol ft @patorankingfire inawasha ๐ฅ wa burudani ya #Bongo360 ya @MbeyaFm.. ๐คKipaza nakikazia kama kawa na mpango wako ni kusema na mimi ni ngoma gani ihusike kwa ๐๐yako..
On Air #Bongo360 Na @DjDjhiplus Bamba2Bamba Mpka 10 Kamili Dondoshaaaa Comment Yako Ngoma Gani Idondoshweeee Kwenye #Bongo360 Leo
We #OnAir na mwanangu @DjDjhiplus kwa #Bongo360 mpaka 10 jioni... Sema na sisi tuguse na ngoma gani? Kazaaaaa
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

