Top Tweets for #BringBackAzory
@MariaSTsehai @MazruiNassor Niliona comment juzii hapa ikisema kwamba last he was seen na wenzake waliokamatwa nae, his seemingly lifeless body was thrown into a police truck. He maybe one of those hashtags that never got an answer like #bringbackAzory and Ben Saanane. ๐
Hii shughuli ya kuteka inaonesha @MayorUbungo umeizoea maana unaonesha hadi na direction ya kutupa watu baada ya kuwatesa au kuwaua. Ungekuwa mgeni na hii shughuli usingeongea hadharani. Mjadala umefungwa watekaji mmeanza kujitaja wenyewe.
#BringBackBENSAANANE
#BringBackAZORY
Hao Jamaa Mliowatuma Kunitekana Kupora fomu Mnawaonea Bure......Mimi siyo wakutekwa na Raia Wasio pitia hata Mafunzo ya Mgambo.
Kwakuwa nawafahamu Leo nimewasamehe bure ila Kunasiku hapa Ubungo Wakija kijinga kama Leo Mtawaokota hapo Ubungo Mataa.
LEO NIMETOA ONYO LA MWISHO
@IsPmar @ACTwazalendo @AdoShaibu @seif_abalhassan @FumboJunior @SeifSharifHamad @bure_babalia @Ndolezi2 @SonFromBugoi @bavicha_taifa @lifeofmshaba @AnethStanley #FreeMdude
#FreeTitoMagoti
#FreeTheo
#FreeUamsho
#BringBackAzory
#BringBackBenSaanane
#JusticeForAkwirini
#JusticeForAllyZona
#JusticeForLissu
Orodha ndefu ya watu waliodhulumiwa na serikali. Oktoba hatutakiwi kufanya makosa.
#MkutanoMkuuACT2020

"Mawazo hayapigwi rungu."
@jmkikwete
#FreeTitoMagoti
#FreeSheikhPonda
#FreeTheo
#FreeMdude
#JusticeForTunduLissu
#JusticeForAkwilina
#BringBackAzory
#BringBackBenSaanane
#FreedomOfSpeech
#TumeHuruYaUchaguzi
#77Nyeupe
Ongeza # nyingine ya kupeleka maneno haya kwa @MagufuliJP
Nakiri awamu hii imekua maarufu kwa mambo ya ajabu sana, tofauti na awamu zilizopita.Awamu hii ni :
#FreeSheikPonda
#ErickKabendera
#TitoMagoti
#FreeMoDewji
#FreeRomaMkatoliki
#BringbackAzory
#BringbackBenSaanane
#JusticeForAkwilina
#FreeMdudeChadema
Inatosha sasa .

Palamagamba anawasihi waTZ wajiepushe na uzushi na uvumi wa mitandaoni. Huyu si ndiye yule Palamagamba aliesema mara 3 kwenye BBC kwamba #bringbackAzory alifariki? Akaja kukana maneno yake alivyorudi TZ? Uzushi na uvumi yana maana gani kwa Kiswahili? Pot calling the kettle BLACK!
Mkurugenzi Mkazi wa @WBTanzania Mara Marwick amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa @foreigntanzania Prof. Palamagamba Kabudi na kusema mahusiano kati ya #Tanzania na benki hiyo ni imara na kuihakikishia Tanzania ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimaendeleo.
Kila baya unalomfanyia mwenzako fahamu kabla ya kuondoka katika Dunia hii utalipwa tu. Mungu ana njia nyingi sana ambazo sisi wanadamu hatuzielewi kabisa!
#FreeTheo #FreeTitoMagoti
#FreeTheo #FreeTitoMagoti
#freeerickkabendera
#BringBackAzory
#BringBackBenSaanane

VIKAO TUTAKAA
Tutakaa kutwa kucha,
Hata viti vivunjike,
Kukaa hatutawacha,
Fanya javi lichanike,
Haiwi kisa mbacha,
Kikao kivurugike.
Hatutawacha kusema,
Hata kama mtuteke,
Kunena hatutakoma,
Hadi ninyi mkomeke,
Haiwi thama dhuluma,
Ububu tujibandike.
#BringBackAzory

Wapenzi na tupendane ;kwa kuwa pendo la toka kwa Mungu na kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu.Yeye asiyependa hamjui Mungu;kwa maana Mungu ni Pendo.
#Justice4Kabendera
#Justice4TitoMagoti
#Justice4TheoGyan
#BringBackAzory
#BringBackBenSaanane
#ChangeTanzania

Balozi wa USA Amtembelea Mkewe #AzoryGwanda: Tutegemee Povu Kutoka Kwa Kamati Kuu Ya Roho Mbaya?
by @Chahali https://t.co/CSY34WMFD7 #BringBackAzory
Why is this not trending? #BringBackAzory
Balozi Marekani amtembelea mke wa Azory Gwanda https://t.co/yaEoolZHVb
@bbcswahili Heri mpendwa wako afe.Ulie,uzike kisha usonge na maisha;mana kuzaliwa suna kufa faradhi.Ila hali ya KUPOTEA tu inaumiza zaidi ya kama angekufa.Mana hujui huko aliko yu mzima au kafa.Kama mzima. Je,yukoje?Anakula?Analalaje na wapi?Maswali haya YATAKUTESA siku zote
#BringbackAzory
Heri mpendwa wako afe.Ulie,uzike kisha usonge na maisha;mana kuzaliwa suna kufa faradhi.Ila hali ya KUPOTEA tu inaumiza zaidi ya kama angekufa.Mana hujui huko aliko yu mzima au kafa.Kama mzima. Je,yukoje?Anakula?Analalaje na wapi?Maswali haya YATAKUTESA siku zote
#BringbackAzory
''Sijui la kusema kwa sababu wajibu nilionao kwa sasa ni mzito sana kiasi kwamba huwa kila mara nafikiria mume wangu na msaada ambao angekuwa ananipa''. Mke wa Azory Gwanda akizungumzia miaka miwili ya kupotea kwa mumewe.
https://t.co/9AomwpOQ7E
Ni miaka miwili sasa tangu utoweke Ndugu yetu Azory Gwanda. Hatutanyamaza hadi ukweli ujulikane!
#BringBackAzory
#BringBackAzory
#BringBackAzory

Last Seen Hashtags on Sotwe
SpicyContent
Seen from Canada
KnittingMachinery
Seen from United States
ใชใใฏในใใฉใใ็ฒพ่ๅบ
Seen from Thailand
เธฃเธฑเธเธเธฒเธเธฅเธณเธเธฒเธ
Seen from Thailand
momson() +filter:native_video
Seen from India
เธเธงเธขเธเธกเนเธฒ
Seen from Thailand
ๅฅณ็ปฟ
localpashto
Seen from Canada
็ด็ท
Seen from Germany
ููุฒุจูุงู
Seen from Saudi Arabia
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.8M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.8M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.1M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.1M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.3M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.1M followers

X 
@x
60.8M followers

















