Top Tweets for #BringBackMdude
#CCM mlipoanzisha biashara ya kuteka watu mlipotea njia. Mlianza hamtaacha. Sasa wanachi wakijibu maramoja #CCM itafutika mazima endeleeni kuchokoza wananchi wanafuga hasira zao. Hizo nguo za kijani na njano hamtavaa tena
#BringBackMdude
#BringBackSoka and all
#CCM_MustFall

Nimefurahi kusikia bado Mdude Nyagali yupo hai.
#BRINGBACKMDUDE
MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
Juzi RPC wa Mkoa wa Mbeya alitangaza kupitia vyombo vya Habari kwamba Jeshi hilo limewauwa watuhumiwa watatu wakati wakijaribu kuwakimbia Polisi.
Watuhumiwa hao ni Marwa Nyahende, Edward Kayuni na Websta Mwantebele lakin ukweli ni kwamba hao Watuhumiwa hawajauwawa kwasababu ya tukio la kutekwa Shyrose Mahande bali RPC wa Mbeya kaamua kupindisha ukweli makusudi.
Hao Watuhumiwa watatu ambao wameuwawa walikuwa miongoni mwa watu ambao wanaunda kikosi cha Watu wasiojulikana Mkoani Mbeya na wanafanyakazi chini ya Ofisa wa Polisi ambae anaitwa Shabani na RPC wa Mbeya anafahamu kuhusu jambo hili.
Hao watuhumiwa watatu walikuwa waajiriwa wa Serikali kwenye JWTZ na JKT ila kwa nyakati tofauti walifukuzwa kwasababu ya utovu wa nidhamu.
Kwa mujibu wa mmoja wa wana Familia za marehemu hao anasema kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera, RPC wa Mbeya Benjamin Kuzaga na Coplo Shabani waliwapa hao Watuhumiwa kazi ya kumteka Mdude Nyagali na waliahidi kuwapatia Shilingi milioni 100 baada ya kufanikisha kazi hiyo.
Lakin baada ya kufanikisha kazi hiyo Coplo Shabani aliwapatia shilingi milioni 20 tofauti na makubaliano yao kisha akawaambia pesa nyingine angewapatia baada ya wiki lakin hakufanya ivo.
Baada ya hapo akina Marwa walianza kudai pesa zao kwa nguvu, Shabani akawa anawazungusha mwisho alianza kuwatisha kuwa atapoteza kama wakiendelea kumdai pesa izo, wakamwambia kabla hajawapoteza watatoka hadharani waseme ukweli kuhusu namna Jeshi la Polisi yani RPC, Shabani na wao walivohusika kwenye tukio la Kutekwa Mdude.
Mwanafamilia huyo anasema kwamba juzi kati Coplo Shabani alimpigia simu mmoja wa watuhumiwa hao akamwambia awambie wenzie kwamba wakutane ili aweze kuwapatia kiasi cha pesa kilichobaki ambayo ni shilingi milioni 80 lakin pia kuna kazi nyingine anataka kuwapa wanapaswa kwenda kufanya na kuikamilisha kabla Oktoba 1 ndipo Mtuhumiwa huyo akawapigia wenzake kuwajulisha kwamba wanatakiwa kwenda kukutana na Shabani ili akawape pesa iliyobaki na kuwapa mchongo mwingine.
Lakin tangu walipoenda kuonana na Shabani zilipita siku tatu simu zao zikawa hazipatikani, familia ikadhani huenda wameenda kwenye hiyo kazi ambao Shabani alikuwa amewaitia hadi pale Familia ilipokuja kuona kwenye mitandao ya kijamii kwamba wameuwawa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na tukio la kutekwa Shyrose.
Sasa turudi miezi kadhaa baada ya tukio la Mdude kutekwa kuna majina sita ya wahusika ambayo yalikuwa yanatajwa sana kwa nyakati tofauti miongoni mwa hayo ni pamoja na hao watuhumiwa watatu ambao RPC wa Mbeya anasema Wamewauwa.
Lakin pia ukiangalia plate number ya hiyo Carina T802 BEY ambayo tulionyeshwa juzi na RPC wa Mbeya kuwa ilikuwa ikitumiwa na Watuhumiwa hao then tukirudi miezi kadhaa nyuma kuna picha ya gari aina ya Noah ambayo ilikuwa imepaki kituo cha Polisi Chunya kuna msamaria mwema kutoka Jeshi la Polisi alitupenyezea kwamba gari hiyo ndo ilitumika kumteka Mdude sasa ukilinganisha plate number ya hiyo Noan na hii Carina ya juzi ni hiyo hiyo moja.
Lakin jambo jingine baada ya Shabani kufanikisha tukio la kutekwa Mdude sasa hivi kapandishwa cheo kutoka kuwa Coplo na sasa ni Special Sergeant
Halafu kapandishwa cheo kinyume kabisa na utaratibu wa Jeshi la Polisi ambapo kawaida Mtumishi yoyote wa Jeshi hilo anapaswa kupandishwa cheo baada ya miaka mitatu Sasa yeye ndani ya miaka mitatu kapandishwa kuwa Coplo na hapo hapo kapandishwa kuwa Special Sergeant means kahongwa cheo ili aendelee kutuumiza.
Kwa mantiki hii RPC wa Mbeya na Shabani wamewauwa hao watuhumiwa watatu ili kufuta ushaidi wa tukio la kutekwa Mdude kwasababu hao watu walitishia kwamba watatoka hadharani kusema ukweli so wakawawahi.
Huyu Mwanafamilia aliyenipa hii taarifa anasema kwamba kwa maelezo ya ndugu yake ambae alihusika kumteka Mdude ni kwamba Mdude bado yupo hai na kwamba Shabani ndo anajua wapi walipomficha Mdude.
Mwisho nawaambia watu ambao huwa wanatumwa kuteka/kupoteza watu Ukiua kwa upanga, utakufa kwa upanga.
#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackMdude
#BringBackSoka
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguziNiLazima
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ
Nipo na Mheshimiwa Wakili Msomi Hekima Mwasipu ,Kamanda Abdul na Makamu Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa CHADEMA ndugu Frank Mwakajoka. Tunasubiri uamuzi wa Mahakama kuhusiana na sakata la Ndugu yetu Mdude Mpaluka Nyagali.

Msaliti hana sababu yoyote. #COVID19 ni wasaliti.
#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ
VIDEO:
Aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Esther Matiko Jumapili Juni 29, 2025 ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Tarime Mjini kupitia chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Akizungumza na wanahabari, Matiko kando ya kuwashukuru Watanzania kwa kumuungano mkono katika safari yake ya kisiasa, amebainisha kuwa maamuzi ya kuhamia CCM na kuwania nafasi hiyo hayajatokana na jazba ama kutafuta maslahi binafsi na hajadhamiria kuwakatisha tamaa Watanzania wanaomuunga mkono.
Amesema amefikia hatua hiyo kutokana na tafakari yake, hali ya Tarime Mjini na matarajio makubwa ya wananchi, akibainisha kuwa kupitia CCM anaamini kuwa ndoto hizo zitatimia na kutafsiriwa kwa vitendo, akiahidi kuwa sehemu na suluhisho la maendeleo ya Tarime Mkoani Mara.
Akiwahakikishia kuwa safari yake ya sasa ni ya matumaini, Matiko amebainisha kuwa Ilani ya CCM ya mwaka 2025/30 ni miongoni mwa mengine yaliyomfurahisha, akisema Ilani hiyo imetoa kipaumbele kikubwa katika huduma za kijamii nchini, huku pia akionesha kuvutiwa na dhamira njema ya Rais Samia na maendeleo makubwa aliyoyafanya ndani ya miaka yake minne ya awali kama Rais wa Tanzania.
You can't bury an idea which it's time has come.
#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ
Je, 'No Reforms' ya Chadema imezikwa rasmi?
https://t.co/JLdpF0DcCH

#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ

#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ
Kaimu Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika akiwasili katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi mbili zinazomkabilia Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu.
1. Kesi ya Uhaini
2. Kesi ya Uchochezi
#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ

#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ
Mkiti wa mkoa wa mbeya kamanda #Masagakaroli akizungumza na wanachama waliojitokeza kusikiliza kesi ya @mdudenyagali .Tukutane tar 09.07.2025
#freemdudenyagali
#TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa taifa linapitia mkwamo wa kisiasa na kiutendaji ambao unahitaji hatua ya dhati ya kujitafakari na kurudi kwenye misingi ya mazungumzo, siyo mapambano.
Akizungumza hivi karibuni kupitia mahojiano maalum na televisheni ya mtandao ya Sauti Digital, Askofu Bagonza amesema mchakato wa ndani wa kisiasa unaoendelea, hususan ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), unaonesha dalili za sintofahamu na upungufu wa misingi imara ya maadili ya kisiasa.
โKuna mtu amejiunga na chama leo, siku hiyo hiyo anachukua fomu. Unajiuliza, hii ni nini? amesema Askofu Bagonza.
Ameelezea mshangao wake juu ya viongozi waliowahi kuwa sehemu ya tume ya uchaguzi iliyolalamikiwa, kisha kujiingiza katika mchakato wa kugombea, akisema hali hiyo inaleta maswali makubwa kuhusu uadilifu wa mchakato huo.
Akijibu hoja za baadhi ya watu wanaodai kuwa kutoshiriki kwa CHADEMA hakutaleta athari kwa kuwa kuna vyama vingine 18 vinavyoshiriki uchaguzi, Askofu Bagonza ametoa changamoto:
โEbu wafikirie tuwe na uchaguzi mkuu usiokuwa na CCM, viwe hivyo 18 vingine na CHADEMA halafu aniambie kama huo ni uchaguzi, kwahiyo wanaoona CHADEMA haipo kwahiyo kuna mushkeli, pia wageuze akili zao waangalie kama hakuna CCM kama uchaguzi unaweza kufanyika. Mawazo yangu sina maana kwamba vyama vingine havifai. Ninaamini taifa ambalo linajumuisha kuliko kutawanya, natamani vyama vyote, tena hata vingine ambavyo havijasajiliwaโ.
Amesema taifa linahitaji kuwa na "utaratibu jumuishi" ambapo kila Mtanzania anahusishwa kikamilifu bila kubaguliwa โ hata wale wasiokuwa na vyama โ na kusisitiza kuwa hekima haijachelewa.
โHekima hata ikichelewa, siku moja inatosha. Kinachotakiwa ni utashi wa kisiasa (political will) wa kutupeleka kwenye taifa la mazungumzo, siyo taifa la mapambano,โ alihitimisha Askofu Bagonza.
Kauli yake imekuja wakati wa mchakato unaoendelea wa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kugombea ubunge na udiwani ndani ya CCM, huku kukiwa na sintofahamu juu ya ushiriki wa CHADEMA- chama kikuu cha upinzani nchini katika uchaguzi mkuu wa 2025.

#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ
"Chama chenu kinapitia kipindi cha mapambano dhidi ya watawala. Wanatamani viongozi wenu tusujudu na tukae kimya tuwe chama cha machawa wa kusujudu. Sisi tumekataa. Tumeamua kusimama na wananchi, tumeamua kusimamia haki." Mhe. @HecheJohn
#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ
Leo Nikiwa na Wakili Hekima Mwasipu na Wakili Solomon Kimunyu kwenye kesi ya Habeaus Corpus ya Mdude Mpaluka Nyagali .Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Mbeya.
Hizi ni Rasha rasha ...Mapambano yanendelea.

#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ
On 9 April 2025 Mr @TunduALissu - Chairman of Tanzaniaโs CHADEMA party and IDU Vice Chairman- was arrested. His alleged crime? Speaking at a peaceful rally. Calling for electoral reform. Demanding fairness.
He now faces charges of treason and publishing false information. Charges that carry the risk of the death penalty. No bail. No freedom.
Letโs be clearโthis is not justice. This is suppression. Tundu Lissu has spent years fighting for democracy in Tanzania. For integrity. For the right to choose. And now, just months before the elections, he is silenced.
This is about more than one man. This is about whether opposition voices can exist at all. Whether democracy in Tanzania is real - or just an illusion.
We cannot look away. We must demand his release. We must defend the right to speak, to organise, to campaign freely and without fear.
Democracy dies when dissent is crushed!

#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ
Asubuhi ya Leo nimemtembelea Mwenyekiti wa chama mhe @TunduALissu katika gereza la Ukonga.
Yuko imara mwenye afya njema.
Ameniambia kuna mabadiliko mengi katika treatment yake gerezani baada ya wasilisho lake mahakamani.
Sasa anaruhusiwa kufanya mazoezi uwanjani.
Sasa anaruhusiwa kuhudhuria ibada.
Sasa anaonana na mawakili wake.
Hii inatambua jambo moja tu kwamba.
Haki inapiganiwa na kudaiwa na ukweli wakati wote hushinda.
Tutashinda kwasababu tuko kwenye Haki na ukweli.
#NoReformsNoElection
#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ
Jaji Mkuu mstaafu amelaani ukatili wa polisi dhidi ya vijana
https://t.co/IQyUHWFBnH

#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ
Makinda analamba miguu kwa kusema uongo hadharani. Hiyo ndio women empowerment sasa?
#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ
๐จ Former Speaker Anna Makinda urges Tanzanians: "Mama Samia is confused, but we must rally to show the world we love her!" ๐น๐ฟ
Ukiwa mwongo huwezi kuwa na kumbukumbu.
#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ

Mtandao upi? Wa UVCCM ama #X?
#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissu
#BringBackSoka
#BringBackMdude
#JusticeForAllVictims
#FreeTanzania ๐น๐ฟ
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the people โ๐ฟ

Last Seen Hashtags on Sotwe
squirt
Seen from Saudi Arabia
cutesexyrobutts
Seen from United States
เธฃเธฑเธเธเธฒเธเธเธฑเธเธเธฒเธเธต
Seen from Thailand
omegle #momson
Seen from United States
็ทm
analfart
Seen from Belgium
momson ()
Seen from Brazil
muteเนเธเธตเธขเธฅเธญเธ
Seen from United States
knuxouge
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.4M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers















