Top Tweets for #CCM_MustFall
Hapo mnazuia wengine kufanya vikao ili wawe hai. Wanaendelea na vikao vingine zaidi na zaidi ya mlivyokataza. Hamtaweza.
#CCM_MustFall
Uhai wa chama upo kwenye vikao. Bahati nzuri, wapiga kura wa Tanzania walio wengi na wa uhakika hawapo humu 😁. Mtaji wetu mkuu ni wapiga kura na sisi tunawafata na kushinda nao walipo. 📍Vwawa,Songwe.

Tulizoea maneno WIZI, UFISADI, ktk taarifa za CAG.
Yameibuka maneno HASARA/WANAOFANYA VIBAYA.
Kila taasisi inatafuta namna ya kutomkasirisha mtawala kudumu ktk nafasi.
Huu ndio UZALENDO unaohubiriwa.
😂😂😂"Serikali imepata hasara"; baadala ya kusema pesa za serikali zimeibiwa.

MARA: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema hayo Machi 27, 2026, alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Jengo la Ofisi za CCM Wilaya ya Bunda ambazo zilichomwa moto Oktoba 29, 2025.
Zaidi https://t.co/5K7nxUwrBp
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
Geresha mpuuzi sana. Hawa watu wanawatoa wapi? Offcourse hafanyi peke yake ni mfumo mmzima umeoza.
#CCM_MustFall
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefafanua kuwa gharama za ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha zimeongezeka kutoka makadirio ya Tsh. Bilioni 187 hadi Tsh. Bilioni 338 kutokana na Shirikisho la Soka Afrika (#CAF) kusema tuongeze vitu ili kukidhi mahitaji.
Uwanja huo unatarajiwa kutumika katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (#AFCON) 2027 itakayofanyika kwa pamoja Kenya, Tanzania, na Uganda kati ya Juni 19 hadi Julai 18, 2027.
Soma https://t.co/7Fzyj9zzRf
#JamiiForums #JFSports #RipotiYaCAG
Video: Crown FM
Majambazi ya @ccm_tanzania hayana maana kabisa. Mnatesa na kunyanyasa watu mnakuja kuomba msamaha baada ya kifo. #Hakuna
#CCM_MustFall
VIDEO:
Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda, amewataka Watanzania na hususan wananchi wa Jimbo la Isimani kumuenzi Hayati William Vangimembe Lukuvi kwa vitendo na si kwa maneno matupu.
Akizungumza leo, Machi 31, 2026, mkoani Iringa wakati wa hafla ya mazishi iliyoongozwa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Makinda amemtaja Lukuvi kama kiongozi aliyetimiza wajibu wake kwa ufasaha mbele ya Mungu na wanadamu.
Amesititiza kuwa Lukuvi hakuwa mshabiki wa maneno mengi bungeni wala serikalini; badala yake, alijulikana kwa matokeo ya kazi zake. "Siamini kama maneno yanafanya kazi, tujitegemee na tusimame kwenye msimamo wa kufanya kazi," amesema Makinda.
Amewataka wananchi wa jimbo hilo kuendeleza utamaduni wa kufanya kazi bila kunung'unika wala kutega, akisema huo ndio urithi mkubwa na "mafunzo" aliyoacha Hayati Lukuvi kwa watu wake.
Anamaanisha wamefanya ubadhirifu na hakuna kitu mtawafanya.
#CCM_MustFall
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefafanua kuwa gharama za ujenzi wa uwanja wa mpira wa Arusha zimeongezeka kutoka makadirio ya TZS bilioni 187 hadi bilioni 338.54 kwenye mkataba kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya CAF.
Msigwa amesema mpango wa ujenzi wa uwanja huo ulianza mwaka 2021 kabla Tanzania haijapata nafasi ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027.

Mafisadi Kutajwa ili waone aibu ndio adhabu kubwa sana kuthibitisha uwajibikaji. Halafu mafisadi, walarushwa, wabadhirifu wanawacheka wananchi.
Kwa maana hiyo #TAKUKURU, #POLISI na #MAHAKAMA hawana kazi ya kufanya juu ya dhuluma hiyo na kusimamia uwajibikaji.
#CCM_MustFall

“Watu wanapakataa wasiuwawe, hawamkosei yeyote, bali wanadai Haki na Suleiman Bungara (Bwege) alipigania Haki…”-; Mhe. @HecheJohn
Hawa ndio wanajiona wajanja wa nchi. Wanafanya watakavyo kwa faida yao na waliowatuma ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma. Wananchi wanazomewa waache wivu dhidi ya Viongozi halafu msimamizi wao anasema watajwe waaibishwe? Hakuna uwajibikaji #CCM_MustFall

Magazeti na TV zinaripoti kesi ya Uhaini ya #TunduALissu kwa ubaguzi makusudi kufuata maelekezo ya Majambazi ya #CCM
Vyombo vya habari vilianza kunyoroshwa 2016 wakati wa JPM. Leo havifurukuti.
#CCM_MustFall #RevolutionNow
#FreeTunduLissu he is not a criminal. Pumbavu zenu mnapoteza muda wa mahakama na rasilimali za Taifa.
#WeNeedSecondLiberation
#WeNeedARevolution
#CCM_MustFall
@ccm_tanzania wapuuzi sana kwahiyo wanatumia Mahakama kurasimisha ujambazi wao? Yeyote ambaye hakubaliani nao hata wa CCM wanampa kesi mbaya? Jambazi anapora nyumbani. #CCM_MustFall
VIDEO:
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo, Jumatatu Desemba 15.2025 imeyaondoa rasmi maombi Na. 289778/2025 yaliyokuwa yamefunguliwa Mahakamani hapo na Waziri wa zamani Geoffrey Mwambe dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) na Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ZCO DSM)
Mahakama kupitia Hakimu Mkazi Gwantwa Mwankuga imefikia uamuzi huo, kufuatia Wakili wa Mwambe, Hekima Mwasipu kuwasilisha hoja ya kuondoa maombi hayo Mahakamani hapo, kutokana na kile alichoeleza kuwa mteja wake tayari ameshapatiwa dhamana tangu, Alhamisi Desemba 14.2025, hoja ambayo haikupingwa na upande wa Jamhuri
Akizungumza na Wanahabari akiwa Mahakamani hapo, Wakili Hekima Mwasipu amesema mteja wake amehojiwa kwa makosa mawili (2), moja linahusu tuhuma za kupanga njama za kutaka kumuuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, na kosa la pili ni la uchochezi kupitia mitandao ya kijamii,
Amesema, baada ya kupatiwa dhamana hapo jana, leo saa 03 asubuhi yeye na mteja wake waliripoti Kituo cha Polisi kama walivyotakiwa na kuelekezwa kufika tena kituoni hapo baada ya siku saba (7), na kwamba upelelezi dhidi yake bado unaendelea.
Wateule na vyombo vya habari takataka ni wapuuzi hamwezi kuficha #tanzaniamassacre ya 29 Oktoba. Baada ya mauaji mwezi mmoja tu mnakuwaje mfano wa amani? Upumbavu
#FreeTunduLissu
#CCM_MustFall
#SamiaMustGo
#FreeTanzania
Aluta Continua ✊🏿
Power to the People ✊🏿

Wanapongezwaje baada ya mauaji 29 Oktoba?Acheni upuuzi,Hamna Amani bila uwajibikaji kwa waliotoa amri na waliotekeleza mauaji
#FreeTunduLissu
#FreeAllPoliticalPrisoners
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#CCM_MustFall
#SamiaMustGo
#FreeTanzania
Aluta Continua ✊🏿
Power to the People ✊🏿
UN yaipongeza Tanzania kwa amani, yashauri mazungumzo vurugu za Oktoba 29 https://t.co/uA8um9mH6m

Swali ambalo hawawezi kusema ni AI wala kutoa ufafanuzi! Muflisi kabisa Majambazi ya @ccm_tanzania
#FreeTunduLissu
#FreeAllPoliticalPrisoners
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#CCM_MustFall
#SamiaMustGo
#FreeTanzania
Aluta Continua ✊🏿
Power to the People ✊🏿
kama mgombea uliyemnadi kashinda kwa 98%, why ulie kukosa support ya 2%? millions tunaambiwa walijitokeza kumpigia kura samia, si ndo huyu huyu wasanii hawa hawa walikuwa wanazunguka naye huku na kule kumnadi? hao hawatoshi kujaza matamasha? kuna ukweli hamtaki kusema. usemeni!
Ufalme umefitinika. Ujambazi una kwao, na kwao ni @ccm_tanzania
#FreeTunduLissu
#FreeAllPoliticalPrisoners
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#CCM_MustFall
#SamiaMustGo
#FreeTanzania
Aluta Continua ✊🏿
Power to the People ✊🏿
Mwigulu anasema Jenista alikuwa ana afya njema. Lakini Mchengerwa anasema Jenista alikuwa mgonjwa na hali yake ilikuwa mbaya sana.
Kifo ni kifo waliambiwa. Je, walimlilia Mzee Ali Kibao? Ben Saa Nane? Azory Gwanda? #WeShallNeverForget
#FreeTunduLissu
#FreeAllPoliticalPrisoners
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#CCM_MustFall
#SamiaMustGo
#FreeTanzania
Aluta Continua ✊🏿
Power to the People ✊🏿
VIDEO:
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amesema kifo cha Mbunge wa Peramiho Mkoani Ruvuma Mhe. Jenista Mhagama, ni pigo kubwa kwa mkoa wa Dodoma na taifa kwa ujumla,
Akiwa mmoja wa viongozi wa kwanza kufika nyumbani kwa marehemu Jenista Mhagama katika eneo la Itega jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa Rosemary Senyamule amesema Dodoma imeguswa kwa kina na msiba huu, kutokana na kazi kubwa alizozifanya marehemu wakati wa uhai wake.
Aidha Mhe. Senyamule amesema kuwa marehemu alitoa mchango mkubwa katika kuendeleza jiji hilo na shughuli za maendeleo.
Kwa upande wake Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe ameeleza namna alivyokuwa akifahamiana na Marehemu.
@ccm_tanzania walifikiri Polisi wanawaonea #CDM peke yao. Haya hakuna aliye salama. Uovu una kwao na kwao ni CCM.
#FreeTunduLissu
#FreeAllPoliticalPrisoners
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#CCM_MustFall
#SamiaMustGo
#FreeTanzania
Aluta Continua ✊🏿
Power to the People ✊🏿
Anaandika Wakili Hekima.
Tumefanikiwa kufungua Maombi ya dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Maombi Na. 28978/2025 Ili Mahakamaa itoe amri ya Geoffrey Mwambe kupewa dhamana. Aidha siku ya leo Familia imempelekea Chakula Kituo cha Polisi Kigamboni alikokuwa amehifadhiwa Tangu tarehe 7/12/2025 na wakajibiwa na Askari polisi kuwa hayupo tena kituoni hapo. Kwa sasa tunafanya juhudi za Kumtafuta vituo vyote vya Polisi hapa Dar na Familia ipo Chang’ombe kwa sasa japo bado hawajapa Majibu! Tunakusudia kumtafuta vituo vyote vya polisi ili Familia iweze kumpatia Chakula.

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.4M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.5M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.4M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.5M followers












