Top Tweets for #Bringbacktito
@fredrickjustne @abdulazackabdul @VitusNkuna @AnethStanley @bitur0 @kigogo2014 @SimonMsenga @cyancuty @HildaNewton21 Jamaa kuzungumza ukweli, alichokisema ni kweli wala hajakosea, before anything kumbuka una carrier, family, ndugu wanaokutegemea, hawatishi ila anawaambia ukweli, #bringbacktito imefanya nn? where is he now? huna bunduki unaenda vitani ukifa unakufa kipumbavu, u r not a hero.
@moodewji Mo amefanya hivi makusudi ili awaone mambuzi mliotoka kumkasirikia juzi na kumunfollow kisa hamjaona #freetitomagoti na #bringbacktito kutoka kwake...anavyosoma comments anawachekelea sana mko kama manyumbu mnaosaka sapoti kila mara kwa notable people hata kwenye zisizo agenda
Shukurani zote zinamsitahiki Mwenyezi Mungu,na rehma na amani zimuendee Mtume wetu Muhammad,na ahli zake na maswahaba zake wote.
Allah tunaomba umlinde na umkinge kijana huyu @TitoMagoti na mambo mabaya na shari yoyote itakayo tokea mbele yake.
#BringBackTito #FreeTitoMagoti

Poleni na Majukumu Ya kutwa Nzima, it is another day without brother @TitoMagoti, kipindi najiunga hapa niko mgeni kabisa walikua watu wa awali kabisa kunifungulia ulimwengu wa Twitter, I pray For Him Uko Aliko Allah ampe uvumilivu na Siha Njema In Shaa Alla. #BringBackTito
Uongozi NI kalama toka kwa mwenyezi MUNGU lakini uongozi huo huo hugeuka kuitwa wewe NI shetani pale unapojisahau na kua kiongozi mwenye kutenda unyama kwa wasio na nguvu yoyote hata ya kutupa jiwe inamaana wewe NI shetani TU. ukigeuka kua hovyo utaitwa hovyo TU .. #BringBackTito

State-backed unknowns.
Mida kama hii ndo ya kupandishwa kule juu kwa mahojiano ,, wana huwa wanarudi wanachechemea #WhereIsTheo #BringBackTito
Inawezekana kabisa Wale Watatu tukaletewa wengine tofauti kabisa na tusimuone @TheoGiyan unless kama @TitoMagoti atarudi na awe alimuona akiwa miongoni...ππ
#FreeTitoMagoti #FreeTheo
#BringBackTito #WhereIsTheo
Where is #TitoMagoti?
Mpaka leo waliomjeruhi Tundu Lissu hawajakamatwa, lakini kukicha matendo maovu yanatokea kwa sisi wanyonge.
Je tafsiri yake ni nini?
Lini haya yataisha? Tupo salama kweli?
#BringBackTitoMagoti #BringBackTito #BringBackTitoAlive
Kamanda Mambosasa tumeenda Kituo cha Central na vingine Dar, ndg yetu @TitoMagoti uliyethibitisha mmemkamata (kwa staili ya kuteka) HAYUPO.
Mnapuuza haki ya mtuhumiwa kuwa na Mwanasheria wala kuonwa na ndg zake kwanini? Kesho utatuhubiria kutii sheria, Ooops!π€
#FreeTitoMagoti

Following his arrest yβday morning, @TitoMagoti is not being held at the DSM Central Police station. We looked for his name in the registration book twice, but couldn't find it.
We are now heading to Oysterbay Police station.
We will keep you updated. #BringBackTito
By; THRDC
Why should we say we are safe while Abduction acts seems to excel in Tanzania, In a free country? We don't carry guns or other weapon but why treated as bandits?
Do you really want us to protest we are peace while it never exists?
So sadπ₯
#BringBackTitoMagoti #BringBackTito

Weweeeeeeee ni Mungu Wetu!!!
#BringBackTito
@TitoMagoti ameshikiliwa kituo gani cha Polisi? Kwa tuhuma gani? Amepewa haki ya kuhojiwa mbele ya Mwanasheria?Haya ni maswali ya msingi ambayo @tanpol wanapaswa kujibu. Walipaswa kujibu tangu Jana. Wanapaswa kujibu sasa. @humanrightstz na wengine tufuatilie haya. #BringBackTito
Kutekana tulisha waachia wauza unga, raia asiye na silaha mnafata kama ana kesi za ugaidi, kazi za maagizo zinazidi kuwashushia heshima na uaminifu kwa raia!
#BringBackTitoMagoti #FreeTitoMagoti
#BringBackTito
#BringBackTito #BringBackTito #BringBackTitoMagoti @jokateM Kuna maisha kabla ya hayo madaraka ulionayo IPO siku utatoka TU. Tunajua mabwanazako wanakutetea akina @HKigwangalla na kukubeba
Wilaya ya Kisarawe tunatoa shukrani zetu kwa Shirika la @unesco Tanzania kwa kusema wazi wanaunga mkono juhudi za viongozi wa wilaya ya Kisarawe za kuwezesha mtoto wa kike kujikwamua na kupata ulinzi kupitia kampeni zetu za #TokomezaZeroKisarawe na #UkatiliWaKijinsiaKisaraweBasi

Last Seen Hashtags on Sotwe
schoolthot
Seen from United States
spiritallies
Seen from United States
ricoautoindustries
Seen from United States
WhichBestDeals
Seen from United States
Hololewds
teenageee
GroceryRetail
Seen from United States
mgai()()()
Seen from Switzerland
ΰΈΰΈ²ΰΈ1ΰΈ£ΰΈ±ΰΈ30
Seen from Thailand
LunaBlancaBook2
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.6M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers

























