Top Tweets for #BuildMaterials_
#Versatile matte #ChengaChanga
Wazee unaonaje Colour 🎨 Charcoal grey.
Bati yenye muundo wa kigae, hii utaipata kwa Tsh 14,500 kwa mita moja, Punguzo lipo.
Kumbuka ununuapo usafiri ni bure popote ulipo Tanzania 🚚
#BuildMaterials_ #versatile #mabati #Tanzania
Bati ya mgongo mpana #IT5 & mgongo mdogo #corrugated rangi ya kijani 🎨 yenye mvuto zaidi kwenye ujenzi wako!
Rangi halisi ya #darkgreen upendezesha nyumba🏡 hata jirani wa mbali hatachoka kuangalia uzuri wa paa ya nyumba yako 🏡✨️
@BuildMaterials_ #mabati #mbao #Tanzania

Imara kwa nyumba, aishambuliwi na wadudu, kudumu muda mrefu zaidi, Muundo wa Ndani: Mbuni wa mambo ya ndani hujumuisha vipengele vya mbao kwenye nafasi.
Nunua kwa saizi 2*4/2*3/2*2/1*10/1*8
#BuildMaterials_ #Mbaoimara #Mabati #Tanzania #SokoLetu
🏠 Anza safari ya kujenga mustakabali wako kwa msingi thabiti leo! Na kwa #COVERMAX, tunakupa uhakika wa uimara na uzuri wa kipekee kwa nyumba ya ndoto zako. ✨
#BuildMaterials_ #Mbaoimara #Tanzania

Rangi ya #CharcoalGreyMatte si faraja ya macho tu, bali pia ni chakula cha roho! ✨ Kwanini ujinyime kile kitu nafsi inapenda? Chagua kilicho bora.
#BuildMaterials_ #Mabati #Tanzania #Mbaoimara
#Teak🌳 Mti imara unaotoa mbao imara za kutengenezea samani, unaweza kupata mbao za teak (mtiki) kwa bei nafuu kabisa.
#BuildMaterials_ #mabati #Mbaoimara #Tanzania
Covermax 28G Roofing Sheet Dark Green
Kinacho anza kuonekana katika nyumba🏡 yako kwa mbali ni bati, #Covermax huonekana zaidi na ni imara inayodumu.
#BuildMaterials_ #ALAF #Mbaoimara #Mabati #UkiwekaUmeweka #Tanzania

Mabati ya mgongo mpana #IT5 kwenye muonekano🎨 wa kuvutia rangi #tilered kufanya bati hii kupendezesha nyumba🏡 yako wakati wote iwe jua☀️ au mvua⛈️ rangi inaweza kudumu zaidi ya miaka 6 bila kufifia.
#BuildMaterials_ #Mbaoimara #mabati #Tanzania
@mrmushico

Mabati ya mgongo mpana #IT5 kwenye muonekano🎨 wa kuvutia rangi #tilered kufanya bati hii kupendezesha nyumba🏡 yako wakati wote iwe jua☀️ au mvua⛈️ rangi inaweza kudumu zaidi ya miaka 6 bila kufifia.
#BuildMaterials_ #Mbaoimara #mabati #Tanzania

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers







