Top Tweets for #CCM_MustGo
UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde Dkt. Steven Kimondo, ameeleza kusikitishwa kwake na mwenendo wa uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji akidai haukuwa huru na haki katika kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi ambao bado hali zao za kimaisha ni mbaya kwa sehemu kubwa.
Dkt. Kimondo amesema hayo katika mahojiano yake yake maalumu Jumatatu ya Desemba 16, 2024 ili kupata maoni yake baada ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Mchungaji huyo, amesema uchaguzi huo ulivurugwa na Serikali tangu mwanzo kwenye zoezi la uandikishaji wapiga kura kutokana na kushuhudiwa kwa dosari kadhaa hivyo kueleza uchaguzi huo kuwa haukuwa huru na haki na ulijawa na upendeleo, uenguaji wagombea wa vyama vya upinzani bila sababu za msingi na mengineyo.
"Nikija kwenye uchaguzi ambao mimi siamini kama ulikuwa uchaguzi kwa maana halisi ya uchaguzi ulivurugwa kwa makusudi kuanzia hatua za awali kabisa tangu kutungwa kwa sheria na kanuni za uchaguzi watu walilalamikia lakini hawakusikilizwa, kwenye uandikishaji kuna mambo ya ajabu yaliyotokea kama kuandikisha so watoto wadogo na marehemu lakini hata wakati wa uchaguzi tulisikia kulikuwa kura za wizi au kura bandia, lakini pia zaidi ya hayo tulisikia mauaji ya baadhi ya wagombea na watu wengine waliokuwa washiriki katika zoezi la uchaguzi, tulisikia mauaji huko Singida, Tunduma na mahali kwingine mauaji yaliyohusishwa na uchaguzi huo, watu walinyimwa haki ya kuchagua watu waliowataka wawe viongozi wao na wengine walinyimwa haki ya kuchaguliwa kuwa viongozi kwasababu ya taratibu zilivyowekwaโ, ameeleza.
Kutokana na hayo, kiongozi huyo wa kiroho na mfuatiliaji wa siasa za Tanzania amewashauri wananchi kuungana kudai upatikanaji wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ambayo haitakuwa na upendeleo.
"Watanzania ninawaomba tuungane kukemea vitendo viovu vya uchaguzi nchini Tanzania. Naomba tuungane kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili katika chaguzi zinazofuata zifanyike zikiwa huru na haki wananchi waamue wao wanataka viongozi wa aina gani na wananchi wakishiriki maana yake wanakuwa na mamlaka ya kuwawajibisha iwapo wanakwenda kinyume na matarajio yao lakini pia wanakuwa tayari kushirikiana na viongozi hao kufanya shughuli za maendeleo. Kwahiyo kama tutakubaliana kuhusu katiba mpya ombi langu kwa wa-Tanzania tuanzie pale tume ya jaji Joseph Warioba ilipoishia kuna mambo mazuri ndani yake", amesisitiza Kimondo.
Mchungaji Dkt. Steven Kimondo anasema ikiwa mabadiliko hayatafanyika ikiwemo kubadili mifumo ya kiuchaguzi na kupata katiba basi uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 hautakuwa na tofauti na wa Serikali za mitaa mwaka 2024 akisema pia uchaguzi huu umeendana na ule wa 2019 wa viongozi waliopatikana kupita bila kupingwa.

UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
Manyerere Jackton, mmiliki mwenza na Mhariri wa Gazeti la Jamhuri ameitaka serikali kuweka muda kamili wa upatikanaji wa Katiba mpya ili kuhakikisha kuwa Taifa linaachana na Hisani na Huruma za aliyepo Madarakani kama sehemu ya kufikia maendeleo ya Dira 2050.
Manyerere ametoa kauli hiyo wakati akitoa maoni yake kuhusu Rasimu ya Kwanza ya Dira 2050 leo Jumatatu Jijini Dar Es salaam, akisema Dira 2050 itashindwa kutekeleza kikamilifu ikiwa muongozo mama (Katiba) haitopewa nafasi ya kupatikana kwake kwa haraka.
Aidha Manyerere ameitaka serikali kuanza mapema kupanga mipango miji na mikakati ya ukuzaji wa miji mbalimbali kuelekea 2050 kutokana na makadirio kuonesha kuwa kufikia mwaka 2050 idadi ya watanzania itakuwa Milioni 140.
Wengine walipie kupitia Bima na Fedha Taslimu halafu Wasanii watibiwe Bure kwa sababu gani? Huu ni upumbavu.
@ccm_tanzania mnalazimisha watu wawe machawa ili wapate favours wasizostahili.
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ

Msisahau hizi harakati ni za kupambana na @ccm_tanzania na mfumo wake wa kijambazi. Msipoteze lengo kuu
UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the Peopleโ๐ฟ
UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
Tutateka, kutekwa na kutekana mpaka lini? https://t.co/WOnFC22Y1i
UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
kama unahitaji mtu yoyote kuongoza mapambano yako na wenzako dhidi ya watesi na mafisadi, basi ni mtu ambaye watesi na mafisadi walijaribu kumuua lakini wakashindwa. that should be obvious, of course, unless you want to engage in some niceties nonsense!
UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
VIDEO:
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga leo tarehe 12 Desemba, 2024 ameripoti Makao Makuu ya Polisi mkoa wa Dodoma, Ofisi ya Kamanda wa Polisi mkoa kwa ajili ya kuhojiwa kuhusu masuala yaliyojitokeza siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 27 Novemba mwaka huu.
Baada ya kuripoti mnamo majira ya saa 4 asubuhi akiwa ameambatana na Mawakili wake, Kiongozi huyo ametumia takribani saa tano ndani ya kituo na baadae kuachiwa kwa dhamana ambapo ametakiwa kuripoti tena hapo siku ya tarehe 17 Desemba, 2024.
Wakizungumza baada ya kutoka nje ya Ofisi za Jeshi hilo wameeleza kuwa hawajaweza kuandika maelezo yoyote hivyo ametumia haki yake kisheria ya kutaka kwenda kutoa maelezo Mahakamani iwapo atakuwa na hatia.
UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
I told The Guardian that @SuluhuSamia โmissed a chance to build democratic institutions that would guard human rights and allow citizens to participate in government.. a missed opportunity that has made the regime look like a replica of previous admin.โ https://t.co/Xt8FMq8PCT
UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
Baba Mzazi wa AZORY GWANDA,
Mzee OBADIA GWANDA alifariki Dec 10-2024 Mazishi yatafanyika Dec 12-2024 Mkoa wa Kigoma Wilaya ya Kigoma Kata ya Mungonya Kijiji Cha Msimba.
Mwanga wa milele ukuangizie upumzike kwa amani
Umeondoka bila kumwona mwanao kwa zaidi ya miaka 5 sasa

UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
Innocent Bashungwa (@innobash), umeteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani 08.12.2024. Lakini 09.12.2024, Amigos Restaurant, Oysterbay saa 2:30 usiku ametekwa mtu; watekaji wakiwa na Landcruiser Hardtop mbili. Vitendo vya utekaji vilikithiri chini ya Hamad MASAUNI. Hatuvitaki Aisee

UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
Hatutaki kusikia story za USALITI sijui nini, utaratibu wa kikatiba uachwe uchukue mkondo wake.
Siku ya uchaguzi Kigaila akae mbali na switch za umeme.
UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
โlissu hana pesa, ataendeshaje chama cha upinzani?โ ni hoja built on the solid and proud foundation of ignorance. nyerere alikuwa na pesa gani, mbona kawapa uhuru mnatupayukia leo? pia, ni kweli unataka mazingira kwamba mwenye pesa tu ndiyo aongoze chama cha upinzani? usijiabishe
UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
CHADEMA ni chama chenye mvuto katika jamii. Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA unajadiliwa na kufuatiliwa na makundi rika tofauti katika jamii. Hakika, tunakwenda kuwapa uchaguzi bora wa ushindani. Siyo chaguzi za MaCCM. Mwenyekiti anagombea na kivuli. Fomu moja kama hati ya kifo.
UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
nimemaliza kusikiliza hotuba ya lissu. sharp and on point. kama alivyosema yeye mwenyewe, mazingira ya sasa yanahitaji aina tofauti ya siasa, inayoweza kukuza ari na motisha ya wanachama na wananchi pia. kwa maoni yangu, lissu yupo kwenye nafasi kubwa ya kufanikisha hilo.
UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ

UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akifurahia jambo na Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa chama hicho wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam. Mkutano huo pamoja na mambo mengine ulijikita kuzungumzia kuhusu uchaguzi wa serikali za mtaa uliofanyika Novemba 27,2024. Picha na Michael Matemanga
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa

UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
Mimi Ambakisye Mwakiayala,,ninasimama na msimamo wa Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema.Sitakubali mpumbavu yeyote ambayo kazi yake kubwa ni kukigawa chama chetu.

UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
Safari ya kweli ktk kubadilisha Nchi iko ktk hatua hii sasa,kwamba nimarufuku kuwaza uchaguzi tena bila kuwa na Tume huru ya Uchaguzi na Katiba yenye ulinzi wa uhuru wa Tume na haki zote. Hapa kuna gharama muhimu za kulipa ikiwa ni pamoja na mateso,jela,upweke na hata vifo. Kikwazo hiki lazima kivukwe kwa umoja , usafi wetu na mshikamano. Kila mtu sasa aseme โ SITAGOMBANIA URAIS , UBUNGE na UDIWANI mpaka nimepata Tume Huru na Katiba safi โ INAWEZEKANA. Mimi ninao huu UJASIRI , maana hakuna UCHAGUZI bila hatua hii.

UHURU WA TANGANYIKA
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#KataaUjambaziWaCCM
#FreeTanzania
#CCM_MustGo
#CCM_MustFall
Aluta Continua โ๐ฟ
Power to the People โ๐ฟ
Ikiwa leo ni siku ya HAKI ZA BINADAMU duniani naomba tutenge muda huu kumkumbuka SOKA.
Huyu ni kijana mwenye maono chanya kwa Taifa. Alikuwa mtu ambae haipiti siku hajaongelea KATIBA MPYA kutoka mdomoni mwake.
Ni mtu ambae anaeamini kwenye DEMOKRASI na siasa zenye usawa kwa pande zote. Mara zote alizosimama kuongea mbele ya watu alihubiri juu ya HAKI.
Kipindi nimepotea, alishiriki kikamilifu kupiga kelele mitandaoni kuulizia na kushinikiza Niachiwe niwe huru kama wengine.
Kijana mdogo sana aliekuwa ni hadhina kwa taifa. Hasa kwa sisi ambao tunaamini kwenye taifa linalozingatia misingi ya HAKI na DEMOKRASIA ya kweli.
Leo SOKA hayupo ni zaidi ya siku 160 hatujui alipo. Ila sisi watu wake wa karibu alituambia anaenda KITUO CHA POLISI. Na huko ndiko alikopotelea. Na kibaya zaidi hakuwa pekeake , aliomba asindikizwe na wenzie wawili JACKOB MLAY na FRANK MBISE.
Hawa wote watatu hawakurudi kutoka siku waliyoenda kituo cha polisi huko TEMEKE. Ni majonzi, familia zao zinalia tuu kila siku maana hakuna ushirikiano wanaopewa kutoka kwa jeshi la polisi. Na walipoulizwa walijibu kirahisi tuu โTUNA FANYA UCHUNGUZIโ.
Huu ni muendelezo wa ukandamizaji wa HAKI ZA BINADAMU unaofanywa na jeshi la POLISI. Tuendelee kupiga kelele juu ya haki za hawa watu maana tunajua @tanpol ndio waliowashikiria. Na wao ndio wanajua walipo wapendwa wetu.
Mapambano yaendelee kudai haki kila siku bila kuchoka. #FreeDeusdedithSoka
SATIVA17๐ซก

Last Seen Hashtags on Sotwe
nolimit nolimit filter:videos
Seen from India
momson(())******+filter:videos
Seen from Portugal
๋น
๊ฑธ
Seen from Korea
cxnny
Seen from United States
PSYN
Seen from United States
momson filter:videos
Seen from Germany
incestopaifilha
Seen from Brazil
creampie #breedingkink #missionary
Seen from Malaysia
konyapasif
Seen from Pakistan
abgcolmek
Seen from Indonesia
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.4M followers

X 
@x
60.8M followers













