Top Tweets for #CanmasterDesigns


Swali la kizushi, Ipi ndegee hapaa 😎
Kwa kazi za graphic designing/Ubunifu kwenye picha wasiliana nami hapa https://t.co/6LCrhcwmBh
#CanmasterDesigns
#GraphicsZaMabasi

Idea ilikuwa kubuni yanayohusisha basi za Kilimanjaro Express na Mlima Kilimanjaro na haya ndio matokeo.
Je unatafuta designer ataeweza kuiboresha na kuing'arisha zaidi biashara yako hasa kwenye digital branding? https://t.co/6LCrhcvOLJ
#CanmasterDesigns
#GraphicsZaMabasi

Haijalishi una kipaji na juhudi kiasi gani, Bado utahitaji mambo mawili ili ufanikiwe:
1. Neema ya Mungu,
2. Watu sahihi wa kuwa nawe
Huwezi kufanya peke ako au kujitenge ukafanikiwa daima ushirikiano hushinda
Tuwe na Jumapili Njema
#CanmasterDesigns
#GraphicsZaMabasi

Kabla ya kutefanya chochote kile, Jifunze kusikiliza zaidi zaidi,
Kama huelewi tatizo, hakuna namna utaweza kulitatua.
Lakini ama utasikiliza, kuna namna utapata mwanga/mwanzo.
Uwe na siku njema...
#CanmasterDesigns
Kama Graphic Designer...
Ni muhimu kuchukua muda wako kukagua na kusahihisha maudhui ya kazi zako ili kuepuka makosa,
Usiwe na haraka ya kumtumia mteja au kuipost kwenye mitandao ya kijamii,
Kosa dogo tu linaweza kuharibu kazi nzima na kuonekana haina maana.
#CanmasterDesigns

Baada ya @kalage_jr, nilipaata wasaa wa kumtengenezea @BMeshaq, label kwenye bidhaa zake za asali na karanga. Na huu ndio muonekano wake baada ya kukamilika.
Kwa kazi zote za graphics, karibu DM...
#CanmasterDesigns

Twende Bungeni na #NyehungeExpress
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns
Kwa kazi za graphic, karibu tufanye kazi. Muda ni 24/6.

Poster ililenga kuonesha safari ya Mwanza-Morogoro ikiwa na mandhari ya kitalii. Kwa hiyo nilitengeneza mazingira ya kubuni yanayohusu maporomoko ya maji (kivutio muhimu cha utalii morogoro) na barabara yenye kituo cha kupandia abiria.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Special poster for #NyehungeExpress.
Usichanganyikiwe mazingira ni yale yale lazima tutengeneze mandhari ya eneo husika ili iwe rahisi kwa watu kutambua na ndio maana kuna mazingira ya shamba la ndizi, moja ya mazao pendwa mkoani kagera.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Mabus ni special case hilo tukubaliane!
Ila ninafanya design zingine pia. Huyu ni mteja wangu, muuzaji wa vitanda na magodoro. Unasubiri nini kuboresha biashara yako kwa graphics kali.
#CanmasterDesigns

Ni muhimu sote kujumuika kwa pamoja
#Tbb_get_together_and_charity
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns


Mwisho
Napenda kushukuru wote walioshirikiana nami hadi project hii kukamilia. Bado mapema kazi ni nyingi na zitakuja kama kama jinsi zilivyopangwa. Kwa swali, kazi, dukuduku au maoni karibu kwenye dm yangu simu +255 759 534 294.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Hii week niliitumia kufanya review kwenye kampuni ya #Kaizirege kwenye upande wa online branding. Baada ya kuchukua data zangu niliamua kutengeneza logo, poster nk.
Na haya ndo matokeo ya kazi
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns
#Uzi

Karibuni sana Bukoba.
Ubunifu mpya kutoka Canmaster Designs.
Karibu sana, kwa kazi nzuri za graphics iwe ni posters, logo, flyers n.k Design zangu ni nzuri na zenye mvuto hivyo kuongesha ushawishi kwa wateja hasa kwenye mitandao ya kijamii.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Baada ya @YutongGlobal kutangaza ujio wa bus yao mpya (YUTONG D14), maalumu kwa ajili ya bara la Africa. Nilifikiria kutengeneza poster maalum ya bus hili likiwa jangwani kuonyesha uwezo wake wa kupambana na mazingira magumu na ardhi korofi.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Another Design!
Baada ya kusikia Mallessa's Luxury analeta route mpya ya Dar-Mbeya-Chunya. Niliandaa poster ambayo idea yake ni kama bus ziko stand na movement za watu stand kama kawaida. Nyuma ni mlima kuonesha uhalisia wa mazingira husika.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Last Seen Hashtags on Sotwe
เชียงดาวนัดเย็ด
Seen from Thailand
anxiouspanda((**)) +filter:videos
Seen from Turkey
cherrykiss
Seen from Turkey
snapchat
Seen from United States
MuslimTease
Seen from Turkey
alanyagay
Seen from Turkey
bnwo #ukraine
Seen from Oman
dogknotting
Seen from Netherlands
minichat((((((((**********************************************)))))))) +filter:videos
Seen from Switzerland
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers








