Top Tweets for #GraphicsZaMabasi
Swali la kizushi, Ipi ndegee hapaa ๐
Kwa kazi za graphic designing/Ubunifu kwenye picha wasiliana nami hapa https://t.co/6LCrhcwmBh
#CanmasterDesigns
#GraphicsZaMabasi

Idea ilikuwa kubuni yanayohusisha basi za Kilimanjaro Express na Mlima Kilimanjaro na haya ndio matokeo.
Je unatafuta designer ataeweza kuiboresha na kuing'arisha zaidi biashara yako hasa kwenye digital branding? https://t.co/6LCrhcvOLJ
#CanmasterDesigns
#GraphicsZaMabasi

Haijalishi una kipaji na juhudi kiasi gani, Bado utahitaji mambo mawili ili ufanikiwe:
1. Neema ya Mungu,
2. Watu sahihi wa kuwa nawe
Huwezi kufanya peke ako au kujitenge ukafanikiwa daima ushirikiano hushinda
Tuwe na Jumapili Njema
#CanmasterDesigns
#GraphicsZaMabasi


Twende Bungeni na #NyehungeExpress
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns
Kwa kazi za graphic, karibu tufanye kazi. Muda ni 24/6.

Poster ililenga kuonesha safari ya Mwanza-Morogoro ikiwa na mandhari ya kitalii. Kwa hiyo nilitengeneza mazingira ya kubuni yanayohusu maporomoko ya maji (kivutio muhimu cha utalii morogoro) na barabara yenye kituo cha kupandia abiria.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Special poster for #NyehungeExpress.
Usichanganyikiwe mazingira ni yale yale lazima tutengeneze mandhari ya eneo husika ili iwe rahisi kwa watu kutambua na ndio maana kuna mazingira ya shamba la ndizi, moja ya mazao pendwa mkoani kagera.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Ni muhimu sote kujumuika kwa pamoja
#Tbb_get_together_and_charity
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns


Mwisho
Napenda kushukuru wote walioshirikiana nami hadi project hii kukamilia. Bado mapema kazi ni nyingi na zitakuja kama kama jinsi zilivyopangwa. Kwa swali, kazi, dukuduku au maoni karibu kwenye dm yangu simu +255 759 534 294.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Hii week niliitumia kufanya review kwenye kampuni ya #Kaizirege kwenye upande wa online branding. Baada ya kuchukua data zangu niliamua kutengeneza logo, poster nk.
Na haya ndo matokeo ya kazi
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns
#Uzi

Karibuni sana Bukoba.
Ubunifu mpya kutoka Canmaster Designs.
Karibu sana, kwa kazi nzuri za graphics iwe ni posters, logo, flyers n.k Design zangu ni nzuri na zenye mvuto hivyo kuongesha ushawishi kwa wateja hasa kwenye mitandao ya kijamii.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Baada ya @YutongGlobal kutangaza ujio wa bus yao mpya (YUTONG D14), maalumu kwa ajili ya bara la Africa. Nilifikiria kutengeneza poster maalum ya bus hili likiwa jangwani kuonyesha uwezo wake wa kupambana na mazingira magumu na ardhi korofi.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Another Design!
Baada ya kusikia Mallessa's Luxury analeta route mpya ya Dar-Mbeya-Chunya. Niliandaa poster ambayo idea yake ni kama bus ziko stand na movement za watu stand kama kawaida. Nyuma ni mlima kuonesha uhalisia wa mazingira husika.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Ukiangalia vizuri hisi bus za #chakabyluxury kuna duma/chui ubavuni ikiashiria logo halisi ya kampuni hii. Akili ilinituma kubuni mazingira ya bus ikikatiza mbugani ghalfa inakutana na duma katikati ya barabana.Haya ndo matokeo ya ubunifu huo.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Bila kuharibu script ya unazi (mabus), Nikaona nitengeneze poster ya kinazi, kuhusu derby ya Kariakoo. Kwa unavyozijua hivi machine ipi itafungua gate Tata Magna powered by Cummins au XML Golden Dragon.
Nasikiliza maomi ๐,
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Majuzi nilikuwa kwenye Geita pale. Kwa bahati nzuri nikapata historia fupi ya mkurugenzi kutoka kwenye madini hadi kuwa msafirishaji bora. Haraka nilichakata idea itayohusianisha story ya zamani na uhalisia wa sasa na haya ndio matokeo.
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Hii idea ilinijia kichwani kutokana na logo halisi ya Katarama Luxury (Swala) Nikajaribu kuhusianisha logo, mazingira (mbuga) na bus lenyewe. Kwa hiyo bus nkalipeleka mbugani Mikumi pale kuna utajiri wa Swala. Na haya ndo matokeo ya ubunifu huu
#GraphicsZaMabasi
#CanmasterDesigns

Last Seen Hashtags on Sotwe
France
minichat filter:videos since:2026-05-23
minichatt
Seen from Sweden
minichat(())*
Seen from Germany
wata(((())))****
Seen from Netherlands
LizzieMcGuire
Seen from Netherlands
anxiouspandaa ()*******
เธเธฅเธดเธเนเธเนเธฒเธเธงเธข
Seen from Thailand
anxiouspandaa
Seen from Argentina
็ซใใใฎไผ่จ
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers





