Top Tweets for #Chainizi
Kumekuwepo na madai kuwa mboga ya majani aina ya #Chainizi husababisha upungufu wa nguvu za Kiume
https://t.co/MpuqJCnkmt imezungumza na wataalamu wa lishe na kubaini kuwa Madai hayo hayana Ukweli kwani Chainizi haina kemikali sumu zinazosababisha madhara ya kupunguza nguvu za kiume
Kwa mujibu Idara ya Kilimo ya Marekani (#USDA), Chainizi huwa na Nishati, Maji, Protini, Wanga, Madini muhimu kwa mwili pamoja na viondoa Sumu (#Antioxidants) vinavyohitajika katika kuboresha Afya
Soma zaidi https://t.co/MDJ26VwsR3
#JamiiiCheck #HakikiTaarifa #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck

#MWANZA: Jeshi la Polisi linamshikilia Maneno Thomas (35), Mkazi wa Chamagati Wilayani #Sengerema kwa tuhuma za kumuunguza Mikono kwa Maji moto Mwanaye anayefahamika kwa Jina la Daniel, akimtuhumu kudokoa Mboga ya Majani aina ya #Chainizi
Mtuhumiwa alitenda kosa hilo Julai 30, 2023 kwa kuchemsha Maji na kummwagia katika Mikono yote miwili kisha kumfungia Chumbani Mtoto huyo, hadi Majirani walipoanza kuhoji kutomuona na kuanza kufuatilia ambapo waligundua amefanyiwa ukatili huo
Mzazi/Mlezi, unadhani nini kifanyike ili kudhibiti matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto?
Soma https://t.co/qp3NAqv51B
#JamiiForums #JFMatukio #ChildsRights #HakiMtoto #SocialJustice

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.2M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.1M followers

Bill Gates 
@billgates
64.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers

