Top Tweets for #ChendaUpdates
Klabu ya West ham United imemteua Julen Lopetegui kama kocha mkuu kuwanoa wanangundo hao kuanzia Julai mosi mwaka huu.
Kocha huyo wa zamani wa Uhispania, Porto, Real Madrid na Sevilla amechukua mikoba iliyoachwa na David Moyes.
#DimbaDimbani #ChendaNews #ChendaUpdates

BREAKING NEWS:
President William Ruto directs the Ministry of Education to postpone school reopening until further notice.
#SautiYaChenda | #ChendaUpdates

Azimio la Umoja kuungana na madktari kuandamana kwenye mgomo unaoendelea iwapo serikali haitatilia maanani matakwa yao.
#SautiYaChenda #ChendaUpdates

Juhudi za uokoaji zinaendelea baada ya basi la Umma Express lililokuwa na abiria 51 kutoka Garissa kuelekea Nairobi kusombwa na mafuriko eneo la Lager Areli, Kamanda wa Kaunti ya Tana River Ali Ndiema athibitisha.
#SautiYaChenda | #ChendaUpdates

Takriban watu watano wanahofiwa kufariki baada ya ajali kutokea katika Barabara kuu ya Nakuru-Eldoret.
Kulingana na ripoti, ajali hiyo ilihusisha takriban lori sita ambazo ziligongana na kusababisha vifo huku abiria wengi wakipata majeraha.
#SautiYaChenda | #ChendaUpdates |

Takwimu za Halmashauri ya Usalama barabarani NTSA zinaonyesha wakenya 7,198 wamehusika katika ajali za barabarani kuanzia Januari 1 hadi Aprili 1, 2024; Jumla ya wakenya 1189 wamefariki katika kipindi hicho.
#SautiYaChenda #ChendaUpdates

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga adai kujiuzulu kwa Waziri wa Kilimo Mithika Linturi, KEBS, NCPB wakuu wa kashfa ya mbolea ghushi.
Je, unakubaliana na kauli ya Raila Odinga?
#ChendaUpdates #SautiYaChenda

Wishing Andre Onana a very happy 28th birthday today! π₯³π
Next Match on Thursday; Chelsea Vs United.
#DimbaDimbani #ChendaUpdates

Timu ya taifa ya soka Harambee Stars itasafiri kuelekea Malawi siku ya Alhamisi kwa mashindano ya mataifa manne. Kenya itacheza dhidi ya wenyeji malawi siku ya Jumamosi kwenye uwanja wa kitaifa wa Bingu.
#ChendaUpdates #DimbaDimbani

MOTO wateketeza nyumba ya watoto katika eneo la Mradi, Embakasi, wiki kadhaa baada ya tukio la mlipuko wa gesi. Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino anasema watoto hao wameachwa bila makao.
#SautiYaChenda #ChendaUpdates

Mwanamke mwenye umri wa miaka 22 alifika kortini kusitisha mazishi ya Kelvin Kiptum akidai walizaa naye mtoto.
#ChendaUpdates

Hongera kwa msanii Nasha Travis ashinda tuzo za PMVA2023 na wimbo wake MASHALLAH.
#ChendaUpdates

Luke Shaw anatazamiwa kukosa msimu uliosalia kutokana na jeraha la misuli ya paja.
#ChendaUpdates

Sanamu ya aliyekuwa Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere yazinduliwa nje ya makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia.
#ChendaUpdates

Mkurugenzi Mtendaji wa Hakimiliki ya Jamii ya Mziki ya Kenya (MCSK)Ezekiel Mutua anasema kuwa atawapa wanamuziki 16,000 Sh20 milioni ifikapo Januari 25.
#ChendaUpdates

Familia moja Mtwapa kaunti ya Kilifi imempeleka mgonjwa wao katika ofisi za kampuni ya kusambaza umeme Kenya Power kwa kile wanachodai kuwa ukosefu wa umeme unaohatarisha maisha ya mpendwa wao anayetumia mashine inayohitaji umeme kwa yeye kuweza kupumua.
#ChendaUpdates

Last Seen Hashtags on Sotwe
incestoconmamΓ‘
Ω
ΨΉΨ΅ΩΨͺΩΩΩ_Ψ±ΩΨΩΨͺΩΩ
Seen from Canada
Ψ±ΩΨ§Ω_Ψ§ΩΩ
ΩΩΨ¨Ψ©
Seen from Saudi Arabia
teeNager
Seen from Thailand
γγγ«γ‘γγ
Seen from Japan
Teenageer
Seen from Italy
δ»ζ₯ε₯½γγ³γ©η»
Seen from Japan
keΕfet
Seen from Turkey
omegle()**********
Seen from Turkey
bodrumtravesti
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.8M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.3M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.1M followers

Bill Gates 
@billgates
65M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.9M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
