Top Tweets for #DAAISH
JE "#DAAISH" NA MAKUNDI MFANO WA HILO KAMA BOKO HARAM ALSHABABU NA NK NI MAKHAWAARIJI AU SIO??
Jibu=✍️
Swali hilo linaitaji hukmu ya kisheria ambayo inaegemea ktk kitabu cha allah na sunna za mtume صلى الله عليه وسلم bac tutaegemea ktk kitabu cha allah na sunna za bwana mtume kuelezea sifa za makhawaariji kisha tutaziambatisha na sifa za "daaesh" na makundi mfano wao kama alshabab na boko haram na nk tuangalie kama zinaendana au haziendani, kama zitaendan itakua haifai kuyafuata makundi hayo kwasababu watakua ni MAKHAWAARIJI ambao mtume ametutahadharisha nao
Na kwasababu tumekusudia kubainisha haki tutazungumza ukweli mtupu bila kutia uongo ndani yake
SIFA ZAO HAYO MAKUNDI NA SIFA ZA MAKHAWAARIJI
1-sifa ya kwanza ya "daaesh" na makundi yalio mfano wao kama vile boko haram alshabab na nk
صغار السن
Udogo wa umri
Vijana wengi sana wadogo ndio wanaoingia ktk makundi hayo na hili liko waz akuna asie litambua hili
فقد جاء في الصحيحين أن النبي صلى الله عليه وسلم قال
[ يخرج في آخر الزمان قوم حدثاء الأسنان ]
Imekuja hadithi ktk sahihi lbukhari na muslimu, kwahakika mtume صلى الله عليه وسلم amesema (akizungumzia sifa za makhawaariji) <watatoka zama za mwisho watu ambao ni wenye umri mdogo > hadithi inaendelea
2-Sifa ya pili
فيهم خفة و طيش
Uchache wa akili na kufikiria pamoja na ujinga
Hii ni miongon mwa sifa ya "daaesh" na makundi yalio mfano wao ukitak kujua hili angalia vitendo vyao wanavyo vifanya kam kuchez na kuimb imba msikitini na mamb mengine mengi san ilo ni moja tu ktk hayo mengi pia ushahid upo ktk hili ambao mwenye akili anakinaika nao
كما جاء في الصحيحين أيضا
< سفهاء الأحلام >
Kama ilivyokuja pia ktk sahihi mbili (bukhar na muslim) mtume anaendelea kusema sifa za makhawaariji akasema < wapumbavu wa akili >
Na upumbavu wao utauwona ktk matendo yao
3-Sifa ya tatu
كلامهم جميل بخلاف فعلهم
Maneno yao mazuri yanakwenda kinyume na vitendo vyao
كما جاء في الصحيحين < يقولون من خير قول البرية لا يجاوز إيمنهم حناجرهم >
Kama ilivyokuja ktk sahihi mbili pia mtume anaendelea kuelezea sifa za makhawaariji akasema < wanasema kauli bora(nzuri) lakini haivuki imani yao ktk mitulinga yao (mishipa ya shingo zao) >
4-Sifa ya nne
لا يفهمون القرآن و يستدلون به عل جهل
Hawaifaham qur'aan na wa wanatoa dalili ktk hio qur'aan kwa ujinga:
Hapo utaona "daaesh" na nakundi mfano wao wanatolea dalil aya mahala si pake utakuta aya inawahusu makafiri anaitumia hio kwa muislam mwenzake na hil liko wazi pia
كما جاء في الصحيحين
< يقرءون القرآن لا يجاوز حناجرهم >
Kama ilivyokuja pia ktk sahihi mbili amesema mtu akiwaelezea makhawaariji <wanaisoma qur'aan na wala haivuki hio qur'aan wanayoisoma ktk mitulinga yao (mishipa ya shingo) >
قال عبد الله بن عمر رضي الله عنهما : انطلقوا إلى آيات نزلت في الكفار فجعلوها في المؤمنين
Amesema inbi omar رضي الله عزهما akiwazungumzia makhawaariji <wamekwenda makhawaariji ktk aya zilizoteremka kwa makafiri kisha wakazijaalia ni kwa waumini >
Yan hii ndio kawaida ya makundi haya huwa wanazitumia aya zilizoteremka kwa makafiri wanazitumia kwa waislamu
5-Sifa ya tano
يقتلون المسلمين
Wanawauwa waislamu:
ktk sifa zao kubwaa daaesh na makundi mengine ambayo wanajiita mujaahidini ni kuwauwa waislamu
كما جاء في الصحيحين
< يقتلون أهل الإسلام >
يقتلون أهل الإسلام : لأنهم يكفرونهم ويقتلونهم
Kama ilivyokuja ktk sahihi amesema mtume صلى الله عليه وسلم akiwazungumzia makhawaariji <wanawauwa waislam >
Wanawauwa waislam kwasabab wao wanawakufurisha kisha wanawauwa
hii pia ni ktk sifa zao makhawaariji
6-Sifa ya sita
يؤمنون الكافرين ولا يقتلونهم
Wanawapa amani makafiri wala hawawauwi :
Wanakwambia kua huyu kafiri yuko ktk dhimma ya waislam
Hii ni miongon mwa cfa zao pia
كما جاء في الصحيحين
<يدعون أهل الأوثان>
Kama ilivyokuja ktk sahihi mbili mtume صلى الله عليه وسلم amesema <wanawaacha (makhawaariji) watu wenye kuabud masanamu (wasiokua waislam)>
So, in Riyast E Madina we have found #Daaish killing innocents. @ImranKhanPTI @jam_kamal you guys are answerable to families of victims before the court of God. Get ready for the summon of God's court soon.
@wiseguy112 @MichaelKugelman We lost our Precious JAWANZ and thousandz of civilianz in dis war ..we lost our economy..And reward is in threat�� O man we rnot afraid of ur wordz bcoz we r a brave nation ..U r promoting and supporting terror by #DAAISH all over muslim countriez
ماہرین کا کہنا ہے کہ داعش کے زیر اثر علاقے ��یں کمی اہم ہے۔
https://t.co/mzkSdDH31w
@Waqtnewstv #daaish #terrorism
#ISIS commander Abu Bakar Al Baghdadi killed in the syria city ARQA. #Daaish yateem hogai. #Hizbullah
Don't Follow #Daaish
Follow #Al_Quran
@BarackObama @MichelleObama @aamir_khan @AamirLiaquat #AntiTerrorCurriculum


"My son was my dream My dream is now killed a parent
"Its not just 138 children its138 families" #TTP #Crush #Daaish @SenRehmanMalik
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.9M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers





















