Top Tweets for #DAWASA
Walichoposti Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (#DAWASA) katika Jukwaa la https://t.co/dDd21Ugmlv, Julai 2, 2026.
Zaidi tembelea https://t.co/f1qNjOf6Au
#JamiiForums #JFHuduma #Uwajibikaji
Tembelea mtandao wa JamiiForums kufuatilia zaidi mijadala kutoka DAWASA pamoja Wizara ya Maji📌

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (#DAWASA) kupitia akaunti yao rasmi ndani ya https://t.co/dDd21Ugmlv imeweka ujumbe huu kuhusu ununuzi wa Pampu mpya ambazo wameeleza zimelenga kuongeza uhakika wa huduma ya maji maeneo ya Ubungo.
Zaidi https://t.co/m1FYqCK0sL
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFHuduma

Mdau aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Mikocheni ametoa wito mamlaka kushughulikia kero ya maji yenye vinyesi kumwagika maeneo hayo, akidai ni takribani mwaka sasa tangu waripoti tatizo hilo #DAWASA lakini utatuzi haujapatikana, amedai hali hiyo inahatarisha usalama wa afya ya wakazi wa eneo hilo hasa Watoto ambao mara nyingi wanacheza maeneo hayo.
Zaidi https://t.co/jwdcuDyPOQ
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #PublicHealth

DAR: Walichopost Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (#DAWASA) kupitia akaunti yao ndani ya https://t.co/dDd21Ugmlv kuhusu ujenzi wa Kituo cha kusukuma maji ambao wameeleza ukikamilika utahudumia Wakazi takriban 5,000 wa Golani, Ukombozi na Saranga, Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo.
Ikumbukwe kuwa mara kadhaa Wadau mbalimbali wa https://t.co/dDd21Ugmlv wamekuwa wakiwasilisha maandiko wakieleza kuna changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji maeneo mbalimbali ya Kimara.
Zaidi https://t.co/x38T5PxkvH
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFHuduma

DAR: Walichopost Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (#DAWASA) kupitia akaunti yao ndani ya https://t.co/OgiXhqmXJu.
Kwa taarifa zaidi tembelea https://t.co/dCh70jGPXB
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #JFHuduma

PWANI: Baada ya Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv kutoa Kero ya Maji wanayopitia Wakazi wa Mtaa wa Muheza, MailiMoja - Kibaha, ufafanuzi umetolewa.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa #DAWASA, Everlasting Lyaro amesema, “Ni kweli Mtaa wa Muheza bado kuna changamoto ya huduma ya maji, eneo hilo ni miongoni mwa maeneo yanayosubiri Mradi wa PANGANI.”
Ameongeza, “DAWASA inafikiria mpango wa kuchimba kisima kirefu ili kianze kuhudumia Wananchi wa maeneo hayo, tunaomba Wananchi wawe na uvumilivu wakati tunaendelea na mipango ya uboreshaji huduma.
Zaidi tembelea https://t.co/Kx3idyKNFV
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #JFHuduma

DAR: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema huduma ya maji katika maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo Magufuli Hosteli imeanza kuimarika na huduma kuwafikia Wananchi.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa #DAWASA, Everlasting Lyaro amesema wamehakikisha upatikanaji wa Maji umerejea kuwa kawaida ambapo mafundi walifika maeneo husika na kuanza kufanya ukaguzi ikiwemo katika Mita kwa kuwa maji yanaingia moja kwa moja kwenye matenki.
Awali, Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv alitoa wito kwa mamlaka husika kutatua kero ya ukosefu wa maji kwa Wakazi wa maghorofa ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) yaliyopo Shekilango, akieleza hali hiyo inahatarisha afya za Watu na inachangia uwepo wa harufu kali kutoka kwenye makazi hayo.
Zaidi soma https://t.co/4YLENMDdoS
#JamiiForums #JFHuduma #Uwajibikaji
DAR: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, akizungumza wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba eneo la Bunju, Wilaya ya Kinondoni, ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (#DAWASA) kuhakikisha bili za maji kwa Wananchi zinaakisi uhalisia wakati wa changamoto ya maji.
Vipi Mwananchi, bili uliyopokea wakati wa changamoto ya maji umeridhika nayo?
Zaidi bofya https://t.co/EWbDVZ7n79
#JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #JFHuduma #ServiceDelivery
පාර්ලිමේන්තු මන්ත්රී ප්රසාද් සිරිවර්ධන මහතා සහභාගී වන 'දවස' කාලීන දේශපාලන වැඩසටහන 🇱🇰
https://t.co/ElF48ozW8z
#Dawasa #NewsFirst #ProgressForAll #PrasadSiriwardana #SJBSriLanka #SJBMirigama #SJBGampaha #SamagiJanaBalawegaya #SamagiJanaSandanaya
පාර්ලිමේන්තු මන්ත්රී ප්රසාද් සිරිවර්ධන මහතා සහභාගී වන 'දවස' කාලීන දේශපාලන වැඩසටහන අද (20) සවස 6.30 ට 🇱🇰
#Dawasa #NewsFirst #ProgressForAll #PrasadSiriwardana

DAR: Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar (DAWASA), Everlasting Lyaro amesema #DAWASA inatoa wito kwa Wananchi kuacha kutupa taka ngumu kwenye Miundombinu ya Majitaka ili kuitunza
Ametoa wito huo wakati akifafanua uamuzi wa maboresho wa Miundombinu ya Soko la Ilala iliyokuwa ikivujisha Maji Taka kama ilivyoelezewa na Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv
Soma https://t.co/FTaROyIC0d
#JamiiForums #SeriviceDelivery #Accountability #Governance

Hear me objectively out:
Drinking water plastic bottles are allover #DarEsSalaam & supply almost never rationed even on the driest of months.
#DAWASA should extant as regulator for qualified bottle water companies to invest on suppling pipelines & bill us respectively.
Sio maji tu Exim Online Banking App inakuwezesha kulipia umeme,maji,vifurushi tena hata ukitaka upange siku ya kulipia ikifika ndipo muamala ukamilike inawezekana.
Jiunge sasa ili uzipangilie bili.
#billiyamaji #tanesco #dawasa #dstv #eximbank

@babaBry_ @MariaSTsehai MBEZI LUIS Raia Hatuogi, na huwa TUNAMALIZANA Na Toilet za Makazin kabisaaa .. vinginevyo Tunaaibika Mzee.
MBEZI LUIS HATUNA MAJI
MBEZI LUIS HATUNA MAJI
MBEZI LUIS HATUNA MAJI
MBEZI LUIS HATUNA MAJI
#Dawasa mko wapiiii au ni Strategic plan za UCHAGUZI
MNATUTESA SAANA aisee

DAR: Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mkama Bwire amesema eneo la Kariakoo lina changamoto ya Mfumo wa Majitaka kutokana na Miundombinu iliyopo kuelemewa na kushindwa kuendana na uhitaji uliopo sasa
Amesema #DAWASA wapo katika hatua za mwisho za mazungumzo na Mkandarasi ili kuanza utekelezaji wa mradi mkubwa ambao utaleta suluhu katika maeneo ya katikati ya Jiji hususani Kariakoo na Buguruni. Pia, kufikia Januari 2025, Mkandarasi atakuwa ameanza utekelezaji wa mradi
Hivi karibuni Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv aliitaja Mitaa yenye tatizo la Majitaka kusambaa ikiwemo Pemba na Nyamwezi ambapo kuna Wafanyabiashara wanapanga Matunda na Bidhaa nyingine chini
Soma https://t.co/gd2krTpxmx
#PublicHealth #JFHuduma #Accountability #JamiiForums

DAR: Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv anasema, maeneo ya Masaki na Mtongani (Skanska), hakuna huduma ya Maji kwa takriban Wiki 1 sasa
Anasema Serikali ya Mtaa haitoi taarifa yoyote, #DAWASA nao wapo kimya
Anatoa wito kwa Mamlaka itatue changamoto hiyo, pia kama kuna Matengenezo ya mifumo au mitambo basi taarifa itolewe kwa Wateja ili wajipange mapema
Soma https://t.co/HT7jMVpyOU
#JamiiForums #Accountability #ServiceDelivery #JFHuduma

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (#DAWASA) kuja na mkakati wa kudhibiti wizi wa Mita za Maji baada ya kuelezwa kuwa kuna matukio mengi ya wizi wa Mita hizo
Akitoa maelekezo hayo wakati wa ziara ya kukagua Mradi wa Maji maeneo ya Malamba Mawili, RC Chalamila amesema, Wezi wa Mita wapo Mtaani na hawatakiwi kuchekewa, hivyo DAWASA ishirikiane na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya kutokomeza tabia hiyo
Awali, kwa nyakati tofauti Februari, 2023, Juni na Julai 2024, Wadau wa https://t.co/dDd21UgUb3 walidai licha ya kuripoti uwepo wa matukio ya wizi wa Mita za Maji ikiwemo katika maeneo ya Mbezi Luis na Mbweni Teta hakukuwa na hatua zilizochukuliwa na Mamlaka
Soma https://t.co/lTYQHB0Jvl
#ServiceDelivery #JFUwajibikaji #Governance #JamiiForums
PWANI: Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv anatoa wito kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (#DAWASA) - Kibaha kurejesha huduma ya Maji kwa Wakazi wa Tankini, Muheza na maeneo ya jirani na hayo, akidai hawana huduma hiyo kwa wiki moja licha ya Mamlaka kuwaambia changamoto zilizokuwepo zimeshatatuliwa
Soma https://t.co/cTqrMZsBDC
#JFHuduma #JamiiForums #Accountability #civilrights

Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano #DAWASA, Everlasting Lyaro amesema Visima vya maji vinavyojengwa katika eneo la Msumi, vinachimbwa Kwenda chini hadi kwenye matabaka ya maji safi na yenye ubora, tofauti na visima vya Wakazi wa eneo hilo vilivyopo sasa vyenye Mita 80 hadi 100 ambavyo viko katika miamba yenye maji ya chumvi nyingi
Ameongeza kuwa visima hivyo vitatoa huduma katika mitaa ya Msumi A, B na C na vitawanufaisha wakazi zaidi ya 144,000
Soma https://t.co/QElQxcUjJx
#JFMatukio #JFHuduma #JFUwajibikaji

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.2M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.1M followers

Bill Gates 
@billgates
64.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers
































