Top Tweets for #Dadagenge
Mwaka 2024,kupitia mafanikio ya vikundi vya #dadagenge kuweka fedha Mkoba ,vilipatiwa Mitaji midogo ya biashara kutoka Vodacoma Mpesa ambayo wamezalisha na kuanzisha Miradi mbalimbali #KKDF25

Mjadala wa leo kwenye #DadaGenge
Uwekezaji katika vikundi vya wanawake.
Usikose kufuatilia You-Tube tiba online Tv na kurasa zao za mitandao ya kijamii

Tarehe 9/12/2024 kupitia #dadagenge tumeganya Usafi katika soko la mbogamboga la Mapinduzi -Kata ya Makumbusho

Tumeshiriki mkutano wa kufanya tathamini ya matumizi ya mitandao na tekinologia kwa wanawake ,tukiwa tunawakilisha sauti za wanawake wafanyabiashara wadogowadogo wa Mbogamboga na Matunda #DADAGENGE

Wanawake na wanaume wanapewa majukumu tofauti na Jamii kwa kuangalia jinsi ambayo inachochewa na Mila,desturi na mazingira na hii hupekelekea Ukatili wa Kijinsia " Dr.Katanta #KijiweChambogamboga #DadaGenge

@godfreyabely2 @winharder_ @WomenFund_TZ @yose_hoza Unaenda kukopa Kausha damu lakini bado kuna rushwa lazima utoe Ili upate mkopo haraka hivyo Mikopo hii inatuumiza sana wanawake" #KijiweChambogamboga #DadaGenge @WomenFund_TZ

Ikifika muda wa rejesho kama Hauna ni changamoto maana riba inazidi hivyo ni rahisi kuingia katika ngono zembe Ili kupata pesa ya rejesho #KijiweChaMbogamboga #DadaGenge

Hatuna sera na Muongozo ya jinsia katika Masoko hivyo hata changamoto za ukatili wa Kijinsia hatuna sehemu ya kutoa taarifa #DadaGenge #KijiweChaMbogaMboga

We welcome our new partner @WomenFund_TZ as we continue grassroot movement supporting small scale women vegetables vendors and farmers in urban area #DadaGenge #KijiweChaMboga

Masoko yawekewe Muongozo wa ulinzi kwa wanawake Ili kuwe na usalama kwa wanawake kufuata bidhaa na kuuza bidhaa #DadaGenge #kijiwechakahawa #KijiweChaMbogamboga

Ukatili wa Kijinsia unawezekana kumalizika Katia jamii kama tutaungana na kuwa na sauti Moja #DadaGenge #KijiweChaMbogaMboga #KijiweChaKahawa


#USAFI
#Dadagenge ni mradi unaolenga kuwasaidia wanawake wafanya biashara na wakulima wa mbogamboga na matunda maeneo ya mjini, kuwawezesha kupata uelewa, mikopo ya riba nafuu pamoja na kuwapa mafunzo ili kukua vyema katika biashara zao.

Tukutane Dada Genge hub this month, Register for participation at 0762 326506 #dadaGenge

Karibu Gengeni kwetu,Karibu kwa #DadaGenge

Karibu katika #dadaGenge hub this month ,for participation kindly email [email protected] #Gengepopote #Kilimokidigitali

I was honored to share the journey of the amazing small scale women vegetables vendors and Farmers #DadaGenge #Gengepopote

Last Seen Hashtags on Sotwe
patrullón
Seen from United States
bestiality
Seen from United Kingdom
ensestpaylasım
Seen from Switzerland
louisvelisayasorum
Seen from United States
snapchat
CaughtOnCamera
Seen from Canada
dmhp
Seen from United States
BakerMayField
Seen from Germany
MerdanŞahin
Seen from United States
bbc #snowbunny
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers













