Top Tweets for #ElizabethMichael
Muigizaji wa Filamu hapa nchini #ElizabethMichael almaarufu kama Lulu siku ya leo wanasherehekea miaka mitano wa ndoa yake pamoja na mume wake ambaye ni mkurugenzi wa efm #Majizzo.
Kupitia chapisho lake la instagram ameandika hivi..
"Kwa NEEMA ya MUNGU tukaone mitano tena na zaidi 🙏
Ba’Mpenzi,Ba’mtu,Winga wa moyo wangu umepita bila kupingwa Baba 🤝😁 Uongozi wako hauna vipengele bwana…Japo WACHAGA na WAHAYA walinibadilisha kwa kreti za bia na mikungu ya ndizi 😭 ila hujawaangusha kiongozi…!
Ahsante kwa KUNIPENDA,KUNILEA na KUNITUNZA mumewangu (mana nazidi kuwa mdogo mdogo kama mandonga ujue😂)
Sasa kuna mchongo nausikilizia,mambo yakienda sawa…nakuchapa na PRIVATE JET 🛩️ mtoto wa Ma’mkwe…si unanijua kuhusu malavidavi hii level chafu bebi 👌
Happy 5th Anniversary Mumewangu❤️kama MOYO ni nchi nakukabidhi kwa muhula mwingine mwaego 🤝😁inaninogea sana kufanya haya maisha na wewe MKUU 😘
Baada ya kusema yote hayo sasa nihitimishe kwa kusema…fanya jambo LINE yangu😂😂😂NIPULIZIE baba…ile meseji ya IMETHIBITISHWA inishukie kwa ngurumo kubwa ikikupendeza 🙏 Nakupentaaaa😂❤️ #majizzo"

“Mke wangu ndiye aliyenipa taarifa juu ya kifo cha Kanumba. Nilisikitika na kuumia sana kumuona #ElizabethMichael jela hivyo tulihangaika na kusaidiana ili tuweze kumtoa huko.”- #DrCheni
#SalamaNaDrCheni #YST
TYP's Managing Director of Austin, Elizabeth Michael, supports our Austin Chapter. She helps with our event planning, including all the happy hours in Austin!
Thank you for all that you do, Elizabeth!
#typ #texasyoungprofessionals #elizabethmichael #managingdirector

THE FRONT. THE BACK..... which view do you love more?? ❤️❤️
👸🏻 @OfficialLizyM
#ZenMagazine #ElizabethMichael

@MiriamMkanaka Huyu ndie THE GREAT tulie nae acha yule alietuacha kwa sababu ya ka #elizabethmichael
◾️#𝔸𝕊𝔽𝔸𝟚𝟘𝟙𝟡 ℕ𝕆𝕄𝕀ℕ𝔼��𝕊
Female Fashionista (AFRICA) nominee;
#ElizabethMichael 🇹🇿
To vote ➡️ https://t.co/jUHQ6ynB9B
For tickets ➡️
https://t.co/4rKrGyGyCr
◾️#ASFA2019 | 13DEC19 | KLA SERENA

◾️#𝔸𝕊𝔽𝔸𝟚𝟘𝟙𝟡 ℕ𝕆𝕄𝕀ℕ𝔼��𝕊
Female Fashionista (AFRICA) nominee;
#ElizabethMichael 🇹🇿
#JulietOlanipekun 🇳🇬
#LuthandoShosha 🇿🇦
#NanaAkuaAdoo 🇬🇭
To vote ➡️ https://t.co/jUHQ6ynB9B
For tickets ➡️
https://t.co/4rKrGyGyCr
◾️#ASFA2019 | 13DEC19 | KLA SERENA

Hii ndio Historia ya Elizabeth Michael Lulu @OfficialLizyM https://t.co/ZU0dBAzbh1
Cc @OfficialLizyM
#Tanzania
#ElizabethMichael

“Suala la mimi kuvua pete na kupigwa linalosambaa Mtandaoni ni kama kuniharibia lengo langu la #SaveMyValentine wala siwezi kulizungumzia n kulipa airtime”: #ElizabethMichael ‘Lulu’
Chanzo: #JotoLaAsubuhi #Efm
Elizabeth is back on IG and we are all 😃😃💙💙🔥👏🏿👏🏿
_______________
• • • • •
📷 @ManifesterBrand
_______________
#ZenMagazine #ZenMagAfrica #fashion #elizabethmichael

Big thanks to @EMAssoc for sharing my brand! My aim is to help as many people as possible with their nutrition and training. Enabling them to live a healthier and more active lifestyle.
#nutrition #personaltrainer #mansfield #elizabethmichael

I liked a @YouTube video https://t.co/fwWMu1nfFk #ElizabethMichael #Lulu #Majizo
HATIMAYE LULU AVISHWA PETE NA MAJIZO
Taarifa ya Jeshi la Magereza kuhusiana na kubadilishwa kwa adhabu ya Muigizaji #ElizabethMichael maarufu kama Lulu nakutumikia kifungo cha nje kutokana na amri ya mahakama.
#NiBusu!

BREAKING NEWS: Taarifa za awali zinadai kuwa Kutokana na Amri ya mahakama sasa Muigizaji #ElizabethMichael (Lulu) amebadilishiwa adhabu na atatumikia kifungo cha nje.
Lulu amekuwa akitumikia kifungo cha miaka miwili baada ya kukutwa na hatia ya kuua bila kukusudia.
#NiBusu!

A #Tanzanian actress #ElizabethMichael, #Lulu, has been sentenced to two years in jail for unintentional murder of boyfriend #StevenKanumba

Diamond Platnumz Ajiachia na Familia yake South Africa https://t.co/p4BMcINTqD #zarithebosslady #diamondplatnumz #alikiba #elizabethmichael
Lulu Michael anaendelea kuandaa kazi yake - Jionee hapa https://t.co/W6xP9UO6Ci #elizabethmichaelofficial #elizabethmichael #alikiba #news
Our focal point for this week's #FridayFinds are these beautiful gowns, many w/ the tags still on! #ElizabethMichael #Vienna #GoodwillFinds

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers



















