Top Tweets for #Majizzo
Muigizaji wa Filamu hapa nchini #ElizabethMichael almaarufu kama Lulu siku ya leo wanasherehekea miaka mitano wa ndoa yake pamoja na mume wake ambaye ni mkurugenzi wa efm #Majizzo.
Kupitia chapisho lake la instagram ameandika hivi..
"Kwa NEEMA ya MUNGU tukaone mitano tena na zaidi 🙏
Ba’Mpenzi,Ba’mtu,Winga wa moyo wangu umepita bila kupingwa Baba 🤝😁 Uongozi wako hauna vipengele bwana…Japo WACHAGA na WAHAYA walinibadilisha kwa kreti za bia na mikungu ya ndizi 😭 ila hujawaangusha kiongozi…!
Ahsante kwa KUNIPENDA,KUNILEA na KUNITUNZA mumewangu (mana nazidi kuwa mdogo mdogo kama mandonga ujue😂)
Sasa kuna mchongo nausikilizia,mambo yakienda sawa…nakuchapa na PRIVATE JET 🛩️ mtoto wa Ma’mkwe…si unanijua kuhusu malavidavi hii level chafu bebi 👌
Happy 5th Anniversary Mumewangu❤️kama MOYO ni nchi nakukabidhi kwa muhula mwingine mwaego 🤝😁inaninogea sana kufanya haya maisha na wewe MKUU 😘
Baada ya kusema yote hayo sasa nihitimishe kwa kusema…fanya jambo LINE yangu😂😂😂NIPULIZIE baba…ile meseji ya IMETHIBITISHWA inishukie kwa ngurumo kubwa ikikupendeza 🙏 Nakupentaaaa😂❤️ #majizzo"

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Msanii #Harmonize ameibuka baada ya #Majizo kumtaja kama msanii aliyetolewa na #Diamondplatnumz. Harmonize anasema kuwa Alimsihi #Majizzo asifanye hivyo kwani #Diamondplatnumz hastahili heshima hiyo japo anatambua kuwa alimtoa kimuziki.
Konde amesema👇

@CrownMediaTZ @jemedarisaid @EfmTanzania Asanteni kumwachia huyu mwamba Leo Abbisay anachambua vizuri bado Oruma ndo anacheka Cheka kila muda #Majizzo fanyia hili nalo kazi😂😂😂
Hii show ilifanyka lakini bila shaka haikufanikiwa 100%, ndiyo maana ukiangalia angle za picha zao ni za kijanja janja sana. Hakuna aerial pictures kabisa, sio kawaida yao.
Pia no front pictures kabisa.
Walchokwama ni kuweka event siku moja na watoto wa mtaani wakina #MAJIZZO

#MangeKimambi anapromote application yake ya kuharibu majina ya watu.
Baada ya #Majizzo na @BDozen tutarajie majina mengine mengi kuharibiwa.
#TeamTanzania, no matter what, tusiingie kwenye mtego wa kuharibu wengine. Huwezi kuwa salama mpaka sote tuwe salama.
Jina la album ya #SisterP linaitwa #Marekebisho na wimbo ambao alikuwa akiupenda sana #Majizzo enzi hizo akiwa DJ ni huohuo #Marekebisho.
@EfmTanzania na @JabirSaleh

"Hongera sana kwa uongozi wa Efm & Tv E chini ya Mkurugenzi #Majizzo na band na kipindi cha homa kwa kazi nzuri inayofanya ya kuwapa burugani watu" #DullySykes
#HomaTvE #HomaYaMisifa @sitetereki

“Undugu, urafiki wetu hauwezi kufa kwa sababu ya kazi zetu kwani ukitaka kuwa mfanyabiashara mzuri hutakiwi kuchukulia vitu personal kwenye kazi huwa tunafanya kazi, na ili ukae muda mrefu kwenye biashara hutakiwi kuchukulia vitu personal na ukichukulia lazima upotee" #Majizzo
Much thanks For your love and support #MAJIZZO Together We Can ✊ @wasafitv #HiiNiYetuSote ✊
Cc @Sallam_SK @diamondplatnumz

Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat()
Seen from Canada
antalyatraveſti
Seen from Turkey
minichat() +filter:native_video
Seen from Turkey
Chapina de corte
Seen from United States
imjustaninteriordesigner
Seen from United States
minichatt ()*****()filter:videos
Seen from United States
คลิปหลุดนักเรียน()()
Seen from Thailand
تومبوي
omegle (hot)
Seen from Turkey
brawlstarsvince
Seen from Venezuela
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers












