Top Tweets for #Freeerickkabendera
Aliyetafuna Michango Iliyotokana na Hashtag #FreeErickKabendera Kabla ya Kumdhihaki Mwanahabari Huyo Alipoachiwa, Sasa Yupo Vitani na Kila Anayetaka Busara Itumike Kumaliza Kesi ya Mbowe
https://t.co/6XPKOGsDIh

Aliyetafuna Michango Iliyotokana na Hashtag #FreeErickKabendera Kabla ya Kumdhihaki Mwanahabari Huyo Alipoachiwa, Sasa Yupo Vitani na Kila Anayetaka Busara Itumike Kumaliza Kesi ya Mbowe https://t.co/52HGqJX2py
Mliokula michango ya #FreeErickKabendera mnaitwa huku. Mnatamani watu wateseke jela huku nyie mnapiga pesa za hashtag. Pole sana @kabsjourno, watu wamepiga pesa thru madhila ulopitia, kisha wakadhihaki ulipoachiwa huru. Mungu atakulipia. But I hope you too would settle the score

Mliokula michango ya #FreeErickKabendera mnaitwa huku. Mnatamani watu wateseke jela huku nyie mnapiga pesa za hashtag ๐ก

Chuki za kina Maria hazijaanza jana wala juzi. Ushahidi? Soma uzi huu kuhusu walivyomdhihaki mwandishi Erick Kabendera (@kabsjourno) alipoachiwa huru. Walitaka aendelee kuteseka jela wao wapige hela kwenye #FreeErickKabendera kama wanavyokula ktk #MboweSioGaidi na #KatibaMpya
#Thread fupi ya "katikati ya wiki." Nimepokea habari za kusikitisha sana kuhusu #ErickKabendera, mwandishi nguli ambaye wengi wetu tulishiriki katika kampeni ya kushinikiza aachiwe, tukitumia alama ya reli #FreeErickKabendera

Wengine walifika mbali mpaka wakawa wanahoji pesa za kulipa ili atoke katoa wapi ilhali alikosa pesa za kumsitiri mama yake mzazi wakataka kusema kuwa Erick ni kweli alihujumu,kumbe behind the scene ya #FreeErickKabendera wenzetu walikuwa wananufaika na malipo ya uanaharakati.
Mapema January 2020 nilishirikiana na baadhi ya Watu kuanza juhudi za kumtoa jela @kabsjourno. Baadhi ya wenzetu katika #FreeErickKabendera walinigomea na kususa wakitaka bora akae ndani harakati ziendelee. Erick Mwenyewe anataka kutoka! Tukamtoa. Nimenuniwa mpaka Leo. Ndo ivo
Mapema January 2020 nilishirikiana na baadhi ya Watu kuanza juhudi za kumtoa jela @kabsjourno. Baadhi ya wenzetu katika #FreeErickKabendera walinigomea na kususa wakitaka bora akae ndani harakati ziendelee. Erick Mwenyewe anataka kutoka! Tukamtoa. Nimenuniwa mpaka Leo. Ndo ivo
I hope we all remember the hash tag #FreeErickKabendera.
@SuluhuSamia must endeavor to create space for positive criticism, access to information and freedom of press. Human rights aren't negotiable.
@samirasawlani @kigogo2014 @TunduALissu

Leo Tito anazushiwa uafisa wa TISS? Mswalieni Mtume. Yaleyale ya kampeni ya #FreeErickKabendera, watu wakavuta pesa, alipotoka jela wakamkebehi. Mie sinaga muda na hawa "anonymous activitists" kwa sababu kama Snowden hafichi ID yake, "kila ajichae true ID yake ni msala huo." ๐

@Roma_Mkatoliki Tuko pamoja!
Wao:
#Justice4Azory kimya
#FreeMdudeChadema kimya
#JusticeForMchome kimya
#Justice4Lwajabe kimya
#FreeErickKabendera kimya
#FreeZittoKabwe kimya
#PrayForTunduLissu kimya
#FreeRaphaelOngangi kimya
#FreeAllan kimya
Leo #BlackLivesMatter ndo muhimu kwao?
WANAFIKI!
Mwanaharakati anayepokea fedha za Jiwe muda huu ili aisafishe serikali hana tofauti na mtu anayekula pesa za matibabu ya mgonjwa aliyepo ICU. But no surprises there, tukirejea michango ya #FreeErickKabendera ilivyotafunwa, na watafunaji wakajaribu kumchafua Eric alipotoka jela
Sorry kwa #thread ya "katikati ya wiki" katika muda wa kazi lakini nimeonelea ni vema kuweka hadharani ukweli huu mchungu kuhusu MATESO MAPYA ANAYOPITIA MWANDISHI #ERICKKABENDERA. Jiskie huru kutafuta ukweli kuhusu "wanufaika wa michango ya #FreeErickKabendera"
Tukutane wikiendi
#Thread fupi ya "katikati ya wiki." Nimepokea habari za kusikitisha sana kuhusu #ErickKabendera, mwandishi nguli ambaye wengi wetu tulishiriki katika kampeni ya kushinikiza aachiwe, tukitumia alama ya reli #FreeErickKabendera

For real. Can you believe it, baadhi ya waliokuwa mstari wa mbele kwenye #FreeErickKabendera "WAMENUNA" mwanahabari huyo kuwa FREE?

@MariaSTsehai @Leyenda_vivien Tatizo @Leyenda_vivien wamepaniki hadi wanatukana matusi wamesahau kama kwenye harakati za #freeerickkabendera tulizungumza lugha moja
#freeerickkabendera
#freeerickkabendera
#freeerickkabendera
#freeerickkabendera
ah ah ah nimecheka kwa Emoji
@zittokabwe @mamayoyo11 @kingzuberi1 @Vivian_joshu @MariaSTsehai @CateCaren @fatma_karume @MnaaZawadi @godbless_lema @Nguvumali_Juma @halimamdee @JeromeMakene
Mahakama ya Kisutu imemuhukumu, Erick Kabendera kulipa fidia na faini ya Sh. Mil 273 baada ya kukiri makosa ya utakatishaji fedha na kukwepa kodi, tayari ameshaingiza Tsh. Mil 100 kwenye akaunti ya Serikali na ameachiwa huru huku akitakiwa kulipa fedha iliyobaki ndani ya miezi 6.

@CharlesMakuka_ @kigogo2014 Mimi nimefurahi kuwa Erick kawa Huru kuungana na familia yake. #FreeErickKabendera haikuwa kwa ajili yeye kukaa jela Daima bali yeye kuwa Huru. Anayeumia akasome upya maana ya harakati za Haki za watu
@Talanta2020 @Surveyor1990 Naongea kwa herufi kubwa kuwa KATUSHUSHUA wote tuliokuwa tunapiga makelele ya #FreeErickKabendera
Hatimaye #freeErickKabendera imefikia tamati yupo huru licha ya kutakiwa kulipa fidia hiyoo swala la uchunguzi kuchukua muda ndo tatizo upatikanaji wa data ulikuwa mgum au ni vitu vidogo vidogo vimekwama......?????
@MariaSTsehai @VitusNkuna @HecheJohn @fatma_karume @halimamdee

Last Seen Hashtags on Sotwe
Groped nsfw
Seen from Turkey
teenageee
ู
ู
ุญูู
Seen from Singapore
pytt
Seen from United Kingdom
freeuse
Seen from Norway
hijabi()()filter:native_video
Seen from Turkey
HighCostCases
Seen from United States
minichat
Seen from Germany
WeOutCher
Seen from United States
เธชเธฒเธงเธญเธงเธเธญเนเธงเธ
Seen from Thailand
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers











