Top Tweets for #GlobalTVUpdates
Kwenye msafara wa Wakongwe wa Bongofleva, Mamba naye yumo! Dudu Baya yupo kwenye gari na wasanii wenzake kuelekea Arusha inapoenda kupigwa shoo ya nguvu ya miaka 30 ya Bongofleva. 🔴 #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio #dudubayamamba24
Msikilize shabiki huyu aliyesafiri kutoka Lushoto kuja kuitazama timu yake ya Yanga ikivaana na Geita Gold katika Uwanja wa KMC. Anakwambia mtani angekutana na timu waliyocheza nayo, Gaborone United, angekiona cha moto. #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio
Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop Bongo na miongoni mwa waandaaji wa tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, Fareed Kubanda @therealfidq ametusnua juu ya kwa nini walikuja na wazo la kumleta @mrcheekslostboyz nchini.@therealfidq @gabbymtanzania80 #Globaltv #globaltvupdates
Sikia tambo za Msemaji wa Simba, Ahmed Ally baada ya timu yake kufanikiwa kushinda kwa kishindo ambapo amerusha jiwe gizani kwa watani wao. 🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment. #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio #simba
Tambo za Mzaramo wa Simba, shabiki kindakindaki wa Mnyama akitamba baada ya timu yake kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-1 dhidi ya Mighty Wanderers ya Malawi. 🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Crescentius Magori akizungumza namna ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Mighty Wanderers ulivyoamsha matumaini makubwa kwa mashabiki na wachezaji, huku pia akimuelezea mchezaji wao, Doumbia. 🔴#Globaltv #globaltvupdates #255globalradio #magori
Spika Mstaafu, Tulia Ackson amefika Kizimkazi, Zanzibar kumpa pole Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, marehemu Ameir Hafidh. 🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio #tuliaackson
Mwenyekiti wa Bodi ya Klabu ya Simba, Crescentius Magori, amewajia juu watu wanaobeza uwezo wa timu ya Mighty Wanderers, akisema ni timu nzuri yenye uwezo wa kuipa Simba changamoto. #GlobalTV #GlobalTVUpdates #GlobalTVOnline #255GlobalRadio #simbasc
Rais Samia Suluhu Hassan alivyomswalia Sala ya Jeneza marehemu mumewe, Hafidh Ameir aliyefariki dunia jana na kuzikwa Kizimkazi, Zanzibar. 🔴 #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #hafidhameir #samiasuluhuhassan
Wasanii mapacha wa muziki wa bongofleva @chobistwins wamefunguka kupitia kipindi cha funky friday kuwa wao ni mashabiki wakubwa wa msanii @mbosso ambapo wanajifunza vitu vingi kutoka kwake ikiwemo suala zima la uandishi #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio
Wasifu wa Marehemu Mume wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye amezikwa leo Kizimkazi visiwani Zanzibar ukisomwa wakati wa maziko. 🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio #maziko
Msikie Semaji Dogodogo, Mukhtar Ally akimtambia mtani wake wa jadi baada ya Simba kuibuka na ushindi Malawi. 🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio #simbasc
Kupitia Kipindi cha #thehardtalk kinachoongozwa na @lillianmwasha_, staa wa filamu na ujasiriamali maarufu Bongo, @iamrosendauka amefunguka jinsi alivyonusurika kifo kwenye ajali mbaya ya barabarani. Video kamili ipo Youtube, Global TV #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein katika makazi yake Kibele,Mkoa wa Kusini Unguja leo,Septemba 2, 2026 #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #makamuwarais
Nyota wa kimataifa wa Yanga, Aziz Ki na Peter Shalulile wakiwasili pamoja na kikosi cha Yanga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakitokea Arusha. #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio #globalpublishers
Mwanaye Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, Yair Netanyahu mwenye umri wa miaka 35, alilengwa katika njama ya kuuawa iliyodaiwa kuandaliwa na Iran wakati akiishi katika jimbo la Florida nchini Marekani. #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio
Kupitia akaunti yake ya Instagram ya @nchimbie Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi anadaiwa kuandika barua inayoeleza kuwa ameamua kustaafu siasa na utumishi wa umma. Swipe kusoma barua kamili 👉 🔴 Tufuatilie kupitia YouTube #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio

Kupitia Kipindi cha #FrontPage, Kamati imelijadili kwa kina suala la Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe kuhudhuria uzinduzi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere. 🔴 Tufuatilie YouTube#Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio globalpublishers
Mtangazaji wa @globaltvonline na @255globalradio, @zali_mapito yupo Oman kufuatilia sakata la binti mdogo wa Kitanzania, Neema Kengele kutoka Geita, ambaye amelazwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) kwa siku kadhaa sasa. #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
