Top Tweets for #tuliaackson
Spika Mstaafu, Tulia Ackson amefika Kizimkazi, Zanzibar kumpa pole Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, marehemu Ameir Hafidh. 🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio #tuliaackson
राष्ट्रमंडल देशों का 28वां CSPOC सम्मेलन, लोकसभा अध्यक्ष Om Birla की IPU अध्यक्ष तुलिया एक्सन से भेंट | Delhi News
#FINVideo #Delhi #OmBirla #CSPOC2026 #TuliaAckson #FirstIndiaNews @ombirlakota
#MohammadBagher_GHALIBAF, Speaker of the Islamic Consultative Assembly of 🇮🇷Iran, and #TuliaAckson, President of the Inter-Parliamentary Union (#IPU), met on the sidelines of the Sixth World Conference of Speakers of Parliament, and emphasized that the starvation of the people of #Gaza is a grave humanitarian crisis, warranting the urgent attention of the entire international community.

👉#ÚLTIMAHORA 💜 !!Ya es tiempo.
En el marco de la conferencia Mundial de las Mujeres Parlamentarias,
#TuliaAckson, presidenta de la unión Interparlamentaria (UIP), entregó ala presidenta @Claudiashein el martillo usado en la #UIP como (.)
तंजानिया संयुक्त गणराज्य की नेशनल असेंबली की अध्यक्ष तुलिया एक्सन बजट सेशन देखने के लिए लोकसभा पहुंचीं.
#TuliaAckson | #Tanzania | #BudgetWithNDTV | #UnionBudget2024 | #Budget | #NirmalaSitharaman | #BudgetSession

Union Budget 2024: સંસદમાં આ વિદેશી મહેમાન કોણ? બજેટ પહેલા ઓમ બિરલાએ કર્યું સ્વાગત
#TuliaAcksoninLokSabha #TuliaAckson #LokSabha #UnionBudget2024
https://t.co/BWpXwl7kfl
વધુ સમાચાર વાંચવા ડાઉનલોડ કરો સંદેશ ન્યૂઝ એપ : https://t.co/9GGo9xqusg
SPIKA TULIA: WABUNGE MARUFUKU KUZUNGUMZA NA SIMU BUNGENI, HESHIMUNI SEHEMU YA KAZI
Spika wa Bunge, Dkt. #TuliaAckson amekumbushia katazo linalowataka Wabunge kutozungumza na Simu wakiwa ndani ya Ukumbi wa Bunge huku mijadala ikiendelea ambapo amewataka kuheshimu sehemu hiyo kwa kuwa ni eneo lao la kazi
Dkt. Tulia ameyasema hayo leo Novemba 6, 2023
Soma https://t.co/h7JIdzuUrn
#Governance #JamiiForums
Es ist mir eine grosse #Ehre gewesen, der neuen #Präsidentin der #IPU, Dr. #TuliaAckson aus Tansania zu ihrer ehrenvollen #Wahl zu gratulieren. #parlch

#BUNGENI: Spika wa Bunge, Dkt. #TuliaAckson ameshauri Serikali kuweka utaratibu maalumu wa kuwazingatia kwanza Watumishi wanaofanya kazi za kujitolea wakati Serikali ikiendelea kufanya maboresho ya Sheria ya Ajira ili kuwasaidia kupata ajira bila kikwazo pindi zinapotangazwa
Katika swali la msingi, Mbunge wa Kiteto (CCM), #EdwardOlelekaita alihoji ni lini Serikali itapeleka Bungeni marekebisho ya Sheria ya Ajira ya Utumishi wa Umma ili kuongeza kigezo cha kujitolea katika kupata ajira
Akitoa mchango wa nyongeza, Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, #GeorgeSimbachawene amesema “Haipendezi kuona Daktari akilima Matikiti wakati sisi tunauhitaji wa Madaktari au Walimu, tunakuja na mpango mkakati wa kumaliza tatizo hilo."
Soma https://t.co/OmUoYUA2Zi
#JamiiForums #Governance #JFHuduma #JFUwajibikaji23
#BUNGENI: Sakata la mafao ya wastaafu limeibuka tena ambapo Spika Dkt. #TuliaAckson ametoa wito kwa Serikali kuwachukulia hatua waajiri wasiopeleka michango kwenye mifuko
Amesema, "Badala ya kuwalipa Wastaafu Fedha unawaambia wakafuatilie mwajiri wake kule wakati kazi ya kufuatilia siyo ya mwajiriwa kwasababu yeye hawezi kuuliza kama umepeleka au hujapeleka. Kama hawapeleki ichukulieni hatua lakini huyu mwajiriwa asipate tabu anapostaafu alipwe pesa yake"
Soma https://t.co/aHAQyg8xs7
#ServiceDelivery #JFHuduma
#BUNGENI: Spika wa Bunge, Dkt. #TuliaAckson amesema azimio linalohusu kuridhia ushirikiano wa Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji wa Mamlaka ya Bandari (TPA) litawasilishwa Bungeni Juni 10, 2023 ili kujadiliwa na kupitishwa na Wabunge
Kauli ya Spika inakuja huku kukiwa na mkanganyiko kwa Wananchi, Wanasiasa na Wadau wengine kuhusu Mkataba huo, ikiwemo muda, thamani, usiri uliotawala katika Mkataba na uharaka wa kusainiwa kwake
Mwananchi unaelewa nini kuhusu ushirikiano wa Bandari ya Tanzania na DP World?
Soma https://t.co/xKj2vanKQU
#JamiiForums #Governance #JFHuduma #JFUwajibikaji #SocialJustice #DPWorldSaga

Spika wa Bunge, Dkt. #TuliaAckson amesema Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (#CAG) kwa Mwaka 2021/22 itafikishwa Bungeni baada ya Kamati zinazosimamia masuala ya Fedha kuipitia na kuwahoji watuhumiwa kisha majibu yatatolewa Novemba 2023
Soma https://t.co/23ZoUjg1mF
#RipotiYaCAG23 #Governance #JFUwajibikaji23
huu mjadala ulishaelezwa kwa kirefu sana na Mhe Kabuni", - Spika wa Bunge Dkt. @TuliaAckson
Video kamili bonyeza >> https://t.co/UNQrqyo6w8
#SpikaTulia #Bungeni #Dodoma #TuliaAckson
#ZANZIBAR: Spika wa Bunge na Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM, Dkt. #TuliaAckson amesema haitatokea siku kwa chama hicho kuachia nafasi ya kutawala Nchi kwakuwa kimejiwekea mizizi imara kwa Wananchi
Soma https://t.co/bqvhSA5n26
#JFSiasa #JFGovernance #DemokrasiaJF

#BUNGENIDODOMA: Spika Dkt. #TuliaAckson ameitaka Serikali kuja na majibu kuhusu Watu wangapi wamekutwa na hatia #Mahakamani kwa kuwapa #Ujauzito Wanafunzi 9,011 ili ijulikane kama Sheria zilizopo zinawalinda Watoto
Soma https://t.co/MlW4zQHDrc
#JFGovernance #JFHakiMtoto

Hivi kumbe na wao wanakufa? Nakala hii ya picha aione waziri wa fedha daktari @mwigulunchemba1 waziri wa data #NapeNauye Waziri wa nishati na madini @JMakamba wabunge wa mchongo wote na spika wao wa bunge #TuliaAckson #KataaTozo tuendelee kudai #KatibaMpya
Tafakari kabla uja muumiza binadamu mwenzako.

Tafadhari wale wote mlioko karibu na spika #TuliaAckson mkumbusheni haya? Hawa wabunge 19 walishavuliwa uanachama mda mrefu sana? #KatibaMpya

#Picha.Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Naibu Spika Dr.Tulia Ackson ameungana na wananchi wa jimbo hilo kufanya usafi katika mfereji wa maji wa Ilolo unaokusanya maji kutoka katika kata saba za jiji hilo.
#TuliaAckson #BungeTz #DailyNewsDigitalOnline #HabariLeoUpdate

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
















