Top Tweets for #GoodLuckGozbert
#BURUDANI Kama Steve Nyerere alimtaja #GoodluckGozbert kuwa #DiamondPlatnumz wa muziki wa Injili sio mbaya tukimpendekeza #DullaMakabila kuwa Diamond wa Singeli kutokana na makubwa anayofanya kwenye muziki huo.
Wazungu wanapenda kusema Consistency is the key and numbers don’t lie vitu ambavyo #DullaMakabila vyote anavi-maintain tangu aanze kuimba singeli.
Ni muendelezo wa Hit after Hit kila mwaka tangu aachie ngoma yake ya kwanza miaka 7 iliyopita na namba za kutosha kupitia Digital Platform zake, ndio msanii pekee wa singeli mwenye namba nzuri zaidi.
Licha kuamini mambo ya Kalumanzila Ubunifu na kubadilikabadilika ni sifa kubwa inayombeba #DullaMakabila, kwenye stage usiseme anaondoka na kijiji chake vile atakavyo.
Kwa kuthibitisha hilo kesho JPili anasimama na Asante Singeli pale Mbagala Zakhiem, akiushukuru muziki wa Singeli, wadau na mashabiki wake ambao wamembadilishia maisha yake.
Aaanze na goma lake lipi la Singeli Pita huku, Makabila, Haujalamba, Dua, Ningekuwa Demu, Nimeghaili kufa, Sema Ukweli, Nije ama nisije, tuzo, furahi mpaka moyo.
#Trending #Singeli #DullaMakabila

The Dark Side of Gifts? Tanzanian gospel singer Goodluck Gozbert sparks debate after burning a luxury car he received from a prophet, claiming it didn’t align with his faith. Mixed reactions follow—was it a bold stand or unnecessary? Watch the full analysis! #GoodluckGozbert
Ile Interview nzima ya #GoodluckGozbert sio “Interview” tu, Bali ni Mahubiri haswa na yaliyoshiba kweli kweli.
Muimbaji wa Injili @GoodluckGozbert akiongea chanzo cha sakata la kuchoma moto gari alilopewa na Nabii Geor Davie, taarifa za kuzushiwa kifo na kutumia madawa ya kulevya.
Video nzima ipo Youtube ya #EastAfricaRadio,
#Trending #GoodluckGozbert #GospelMusic
VIDEO : Sikiliza jibu la Nabii Geor Davie kuhusu msanii wa nyimbo za Injili, Goodluck Gozbert kuchoma moto gari alilompa kama zawadi. #goodluckgozbert #Geordavie
🎶 𝐅𝐞𝐞𝐥 𝐭𝐡𝐞 𝐢𝐧𝐬��𝐢𝐫𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧! Waonyeshe by Goodluck Gozbert is OUT NOW! Visit our website and download it FREE! 🌟🙏 #waonyeshe #GoodluckGozbert #newmusicalert
Download Here👇
https://t.co/fkA4txhCiz

baada ya Tukio la #goodluckgozbert
Kuchoma Gari Aliyo Pewa na Pastor huyo sababu isiyo fahamika ,na harmonize ameahidi kama Akipewa Gari na #geordavie Basi Atolichoma Gari ilo
Je, atapewa gari? Tujiunge pamoja kumtakia kila la heri!
Video 👇

Tanzanian gospel singer Goodluck Gozbert burns a Mercedes Class C-class gifted by Geor Davies, saying the gift displeases God. Geor Davies is the founder of Geor Davies Ministry International. #goodluckgozbert #bnnbasic
JOIN BNN BASIC- https://t.co/bJD5ZGlC4k
Tukio la kushangaza limetokea ambapo msanii wa nyimbo za Injili, #goodluckgozbert ameonekana akichoma gari aina ya Mercedes Benz ambayo alikuwa amepewa kama zawadi na Nabii #geordavie , kiongozi wa Kanisa la Ngurumo ya Upako. Gari hili la kifahari alipewa mwaka 2021, na tangu wakati huo, kazi ya muziki ya @goodluckgozbert imeonekana kupungua kwa kasi.
Soma zaidi 👇

✨BOOMFRESH✨
Karibu kwenye sound mpya kutoka kwake @GoodluckGozbert kwenye wimbo wake mpya #Amen (#IRelease)🙏🏿
Stream sasa kwenye app ya Boomplay hapa ▶️ https://t.co/LYALBiUTfo
#boomfresh #homeofmusic #boomplay #newmusic #goodluckgozbert #gospel

#Shangilia na #Cheerleader @yvonnemuriithi
Wimbo: Mwenye majibu #MadameFlora #GoodluckGozbert
#MotoSana
✨BOOMFRESH✨
Ongeza faraja moyoni na mashairi ya wimbo mpya #Ulinipenda kutoka kwake @goodluckgozbert🙏🏿
Sikiliza kupitia Boomplay hapa ▶ https://t.co/pwudYsFpfQ
#homeofmusic #goodluckgozbert #boomplay #gospel #boomfresh #newmusic

Naweza sema kuwa wimbo wa Goodluck Gozbert - Kimya Kimya ni mzuri sana! Usikose kuusikiliza kupitia link hii https://t.co/4IktrYswua 🔥🎶 #GoodluckGozbert #KimyaKimya #SwahiliVibetz

Nyimbo nzuri na kali kabisa kutoka kwake @GoodluckGozbert , nyimbo ikiwa inaitwa #usinipite
#nyimbompya #goodluckgozbert #usinipite #GospelMusic #swahilivibe
download and stream 👇
https://t.co/HZXpTyQz03

#NP Kanyaga twende #Jackson Yusuf #GoodluckGozbert #gumzo on #shangillia with @AMANI_AILA
#listenandlive
#Mchananiyetu
#hopefmlive
#NP Mungu Hapokei Rushwa #GoodluckGozbert #HymnsHour on #Activate with @maria_speaks and @gichuru_george
#GGandMaria
#ListenAndLive
Last Seen Hashtags on Sotwe
R18g
Seen from United Kingdom
fichasenegal
Seen from United States
BBCBreakfast
Seen from United States
รับงานสุขสวัสดิ์
Seen from Thailand
pornogayperu
Seen from Chile
desahancewek
Seen from Indonesia
beurette
Seen from France
ShoutMGB
Seen from United States
نيك_مكوة
nolimit()*** + filter:native_video
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65M followers

Bill Gates 
@billgates
64.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers











