Top Tweets for #HABARIMPYA
Vijana Moyale wameandamana kulalamikia madai ya kudhulumiwa kwa wazee wawili waliokamatwa karibuni. Mvutano mkubwa umeripotiwa kati ya vijana na polisi, huku kukidaiwa kuwepo kwa vifo na majeruhi kadhaa wakati wa patashika hiyo.
#Moyale #Maandamano #Usalama #Kenya #HabariMpya

#TunduLissu
#HabariMpya
#TanzaniaSasa
#MarthaKarua
#SiasaZaKeny
#HabariZaLeo
https://t.co/N7bP2MNeRl
Endelea kuwa na uhusiano na dunia na Maverick World News! Jukwaa letu linakusanya hadithi kutoka vyanzo vingi vya kimataifa, likikupa mtazamo wa kina wa kile kinachotokea duniani kote. Kwa kubofya mara moja tu bendera ya nchi yako kwenye kona ya chini kushoto, unaweza kusoma tovuti yetu katika lugha unayopendelea, na kufanya habari zipatikane kwa kila mtu. Tumejitolea kuchagua vyanzo vya kuaminika na tofauti ili kukuweka na habari kwa uwazi na usawa. Chukua muda leo kutembelea tovuti yetu na uchunguze ulimwengu wa habari ulioboreshwa kwako. Jiunge nasi sasa na ugundue kwa nini Maverick World News ni chaguo lako la kwanza kwa sasisho za kimataifa!
#MaverickWorldNews
#Tanzania
#Kenya
#Mozambique
https://t.co/mAatoL67Ed

#HabariMpya: Kwa kupata kura 325 katika raundi ya 2 ndani ya @Bundestag, @FriedrichMerz amechaguliwa & kuteuliwa kuwa #KanselaMpya wa π©πͺ. Ataongoza serikali ya π€ wa @CDU/@CSU/@spdde β
. Changamoto za π zinahitaji suluhisho la pamoja, hivyo π©πͺ itaendeleza ushirikiano na Afrika.

JE UNAJUA MAJI NI UHAI UNAOLINDA AFYA NA MAZINGIRA..
#sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #tanzaniabora #millardayo #updates #news #habari #habarimpya
Uzalendo unaanza na kufanya kazi yako kwa moyo wote.

#HabariMpya Maseneta wa Kenya wamepiga kura ya kumuondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua ofisini licha ya kushindwa kutoa ushahidi wake katika kesi ya kumuondoa madarakani baada ya wakili wake kusema kuwa amepelekwa hospitalini.
#HabariMpya Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mawakili (TLS) imemtangaza Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Rais wa Chama cha Mawakili (TLS) akipokea kijiti kutoka kwa Harold Sungusia
Mwabukusi ameibuka mshindi kwa kupata kura 1,274 mbele ya Mgombea Sweetbert Nuba aliyepata kura 807.

#HABARIMPYA
Uchambuzi wa Bajeti ya Serikali 2024/2025 unaendelea Katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema Makao Makuu ya ACT Wazalendo
ποΈ Fuatilia hapa π
https://t.co/2B7xR9VZW8
#HABARIMPYA
Chama Cha @ACTwazalendo kitafanya Uchambuzi wa Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa kwenye Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Usikose kufuatilia nasi tutakuwa mubashara kukuletea habari

#HabariMpya Waandishi wa habari wawili wa Mkoa wa Lindi wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea katika eneo la Nyamwage mkoani pwani majira ya saa saba usiku kuamkia leo Machi 26,2024.
Waliofariki ni Mwandishi wa habari wa kampuni ya Sahara Media group, Josephine Kibiriti pamoja na Abdalla Nanda wa Chanel Ten mkoa wa Lindi.
Waandishi hao walikuwa wanatokea jiji Dar es Saalam kuelekea mkoani Lindi.
Juhudi za kumtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani zinaendelea, baada ya kupigiwa simu yake kuita bila kupikelewa.
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari

#HabariMpya Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo leo umemchagua Othuman Masoud kuwa Mwenyekiti wa chama hicho baada ya kuchaguliwa kwa kura 539, sawa na asilimia 99.6 ya kura zote zilizopigwa.
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara imechukuliwa na Isihaka Mchinjita aliyechaguliwa kwa kura 517 sawa na asilimia 96.1, huku nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar ikienda kwa Ismail Jussa aliyeshinda kwa kura 509 sawa na asilimia 99.6 ya kura zote zilizopigwa.
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari

#HabariMpya Dorothy Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, akichukua nafasi ya Zitto Kabwe ambaye amemaliza muda wake wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama.
Katika uchaguzi huo Semu ameshinda kwa kupata kura 534 sawa na asilimia 65.7 ya kura zote, huku mshindani wake, Mbarala Maharagande akipata kura 184 sawa na asilimia 34.
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari

Last Seen Hashtags on Sotwe
δ»δΊΊζ£
Seen from Algeria
sarada hentai
Seen from United Kingdom
minichat((((((()))))))*filter:videos
Seen from Italy
yehfitoortera
Seen from India
chudai
Seen from Norway
KostnadslΓ€ge
Seen from United States
teenageee
Seen from Chile
minichat filter:videos
Seen from United States
reaction big cock
Seen from Vietnam
kshitijfoundation
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers