Top Tweets for #HABARIPICHA
#ICYMI
Tumekuandalia #habaripicha kupata kwa muhtasari yaliyojiri wiki ya kwanza ya Mjadala Mkuu wa #UNGA81 #GeneralDebate Bofya picha
https://t.co/h57ucy1ov7
#HabariPicha
Baadhi ya wadau wakiwa kwenye Jukwaa la Demokrasia Tanzania linaloendelea muda huu makao makuu ya TLS, Wakili House.
Bonyeza link kufuatilia mubasahara Wakili TV. ππ
https://t.co/WlWPPXElaK

#HabariPicha
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Anyisile Mwabukusi , akiungana na viongozi na wadau mbalimbali wa sekta ya sheria kumuenzi Prof. Issa Shivji katika kusherehekea kutimiza miaka 80 ya kuzaliwa.

#HABARIPICHA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, @HecheJohn , pamoja na Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, leo Jumatano, Julai 8, 2026, wamefika nyumbani kwa marehemu Suez Dani Maradufu kumjulia hali mke wa marehemu.
Katika ujumbe huo, wameambatana na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Deogratias Mahinyila, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, Wakili Dickson Matata pamoja na viongozi wengine.

#HabariPicha
Baraza la Uongozi la Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) likiongozwa na rais wake wakili Boniface Mwabukusi limezungumza na vyombo vya habari juu ya Tathmini ya Ripoti ya Jaji Chande pamoja na Msimamo wa chama juu ya Kesi ya rais mstaafu wakili Tundu Lissu.

#HabariPicha
Baadhi ya mawakili wakiwa wamehudhuria Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) uliofanyika tarehe 30 Aprili 2026 kwenye ukumbi wa AICC jijini Arusha.

#HabariPicha
Rais wa TLS wakili Boniface Mwabukusi akizungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam leo tarehe 30 Machi 2026, kuelekea mkutano mkuu wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika tarehe 30 Aprili 2026 ukumbi wa AICC jijini Arusha.

#HabariPicha
Rais mstaafu wa TLS na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu mapema leo tarehe 17 Machi 2026 akiingia mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhaini inayomkabili.

#HABARIPICHA
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliofika leo katika mahakama ya kuu masijala ndogo ya Dar es Salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu.
Kesi imeahirishwa leo imepangwa kuendelea kusikilizwa Jumatatu Octoba 13, 2025 ambapo Tundu Lissu atakuwa anaendelea kumuhoji Shahidi wapili upande wa Jamhuri John Kaaya.

#HABARIPICHA
Wananchi Mbalimbali waliofika katika Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya Kusikiliza Maamuzi Mdogo ya Kesi ya Mdude yanayopangwa kuamuliwa leo Julai 09,2025 Chini ya Jaji Mhe.Kalunde.

#HABARIPICHA
Wananchi Mbalimbali waliofika katika Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya Kusikiliza Maamuzi Mdogo ya Kesi ya Mdude yanayopangwa kuamuliwa leo Julai 09,2025 Chini ya Jaji Mhe.Kalunde.

#HABARIPICHA
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili @Mwabuk2Boniface akisalimiana na wananchi Mbalimbali waliofika katika Mahakama Kuu kanda ya Mbeya Kusikiliza Maamuzi ya Kesi ya Mdude yanayopangwa kuamuliwa leo Julai 09,2025 Chini ya Jaji Mhe.Kalunde.

#HabariPicha
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanganyika Law Society Bi. Mariam Othman akiwa kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia iliyofanyika leo tarehe 16 Juni 2025 Mbagala ambapo mgeni rasmi alikua Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Aidha TLS inawakaribisha wananchi wote kutembelea banda lao lililopo viwanja vya Maturubai Mbagala kuweza kupata msaada wa kisheria bure kwa muda wa siku 10 kuanzia tarehe 16 - 25 Juni 2025.
#TLSSection4

#Habaripicha
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amewasili mkoani Tabora leo (tarehe 05, Juni, 2025) na kupokelewa na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa, Mhandisi Faustin Tarai, kwaajili ya ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili kuhusu uanzishwaji, uendeshaji na ufuatiliaji wa Madawati ya Jinsia katika Taasisi za Elimu ya Juu na Kati yanayofanyika mkoani humo.
Mafunzo haya yameandaliwa na kuaratibiwa na Wizara kupitia Idara ya Maendeleo ya Jinsia ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali kutokomeza ukatili katika jamii.
Hadi sasa jumla ya Madawati ya Jinsia 360 yameanzishwa katika mikoa 13, lengo likiwa ni kufikia mikoa 26 nchini.

#Habaripicha
Timu ya wataalam toka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ilipokuwa ikihamasisha wafanyabiashara ndogo ndogo wa Mkoa wa Shinyanga waweze kujisajili ili wapate vitambulisho vya wajasiliamali ambavyo ni miongoni mwa sifa za kupata Mkopo kupitia Benki ya NMB.

#HABARIPICHA:
Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTz, John Heche @HecheJohn, akihutubia mkutano wa hadhara mji mdogo wa Katoro wilayani Geita akiwa kwenye muendelezo wa ziara ya kampeni ya 'No reforms, No election' katika Kanda ya Victoria inayoundwa na mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera

#HABARIPICHA
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara @HecheJohn Mapema asubuh Mei 08,2025 ameanza Ziara katika Mkoa wa Kagera katika Picha akizungumza na akizungumza na wananchi wa Kata ya Kyaka Jimbo la Nkenge Wilaya ya Misenyi.
Tunaendelea kukufahamisha Kila hatua

#Habaripicha
Baadhi ya Wawakilishi wa Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wakishiriki Siku ya wafanyakazi (Mei Mosi) ambayo kitaifa inayofanyika Mkoani Singida.
Majukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi yanaratibiwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kwa mwaka huu Maadhimisho hayo yanaongozwa na Kaulimbiu isemayo:"Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki"

#Habaripicha
Watumishi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, wakishiriki Siku ya ya Wafanyakazi Mei Mosi inayoadhimishwa kitaifa Mkoani Singida.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Siku ya wafanyakazi Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 1, Mei ikiwa ni kutambua mchango wa wafanyakazi katika utendaji wa kazi na maendeleo ya jamii.
Kwa mwaka huu Maadhimisho hayo yanaongozwa na Kaulimbiu isemayo:"Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki"

Last Seen Hashtags on Sotwe
ΰΈΰΈ₯ΰΈ΄ΰΈΰΈ«ΰΈ΅ΰΈͺΰΈ§ΰΈ’ΰΉ
Seen from Thailand
ΩΨ³Ω
BlitzFizz
Seen from United States
dadson
Seen from United States
snapchat() +filter:native_video
asianbabe
NOAHCertified
Seen from United States
Try_A_Little_Tenderness
Seen from Japan
Ψ³Ψ§ΩΨ¨_ΨΉΨ―Ω
Seen from Saudi Arabia
19yearsago
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers






















































