Top Tweets for #HESABU
Kitu ambacho Kampuni ya Akili Ige(#AI),@OpenAI,imewafanyia Wanahisabati wetu—akina @MayengoDr @SAUSIFANUEL @SwahiliBible n.w.—hawatakaa wakisahau,kuanzia sasa ni 🛌ndoto za Ali Nacha😴kwa hawa vipanga wetu wa #hesabu kupata tuzo za kuthibitisha nadharia/kanuni za #hisabati🧮📈📉.

#Hesabu 14:18
"Bwana ni mpole wa hasira, mwingi wa rehema, mwenye kusamehe uovu na makosa, naye hatamfanya mwenye hatia kuwa hana makosa kwa njia yo yote; mwenye kuwapatiliza wana kwa uovu wa baba zao, katika kizazi cha tatu na cha nne."

Enhe wakufunzi @bwaya @EduTalkTz @SAUSIFANUEL,wakati mnafundishwa #Hesabu/#Hisabati—‘Janga la Kitaifa’—mlielewa/mlieleweshwa hii maana ya #Pi(π)kama ilivyoelezewa hapo?
Je,mlichukua vitu kadhaa vya #duara🟡🌍🎾na kupima #mzingo na #kipenyo kisha kukokotoa kupata hiyo 22/7~3.14?
Today is March 14 (3.14) – Pi day.
The date today resembles 3.14159, the common approximation of the mathematical constant Pi, or π. This concurrence has given rise to an annual celebration from 1:59 pm - also the time of publication of this post (CET).
What is Pi?
Understanding Pi is essential if you want to make calculations for circles, cylinders, spheres, and anything circular, even an ellipse. Pi is the ratio of the circumference of a circle to its diameter. It doesn't matter how big or small the circle is - the ratio stays the same. Properties like this that stay the same when you change other attributes are called constants.
How are you celebrating Pi day?

✅ Inafungua milango ya fursa za kazi 👩💼👨🔧
✅ Inachangia maendeleo ya jamii kwa ujumla 🌍
📌 Hesabu = Ujuzi wa Maisha!
#Hesabu #Elimu #Maendeleo #UjuziWaMaisha

#Hesabu 22:12
"Mungu akamwambia Balaamu, Usiende pamoja nao; wala usiwalaani watu hawa, maana wamebarikiwa"
ALIYEBARIKIWA HUWEZI KUMLAANI

"Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!"
#Hesabu 23:23
Walio ndani ya Kristo hawalogeki ndugu!

#Hesabu 22:12
"Mungu akamwambia Balaamu, Usiende pamoja nao; wala usiwalaani watu hawa, maana wamebarikiwa"
Huwezi kumlaani aliyebarikiwa
Le staff @focusdroits très heureux D'être outillé sur l'utilisation du logiciel comptable #HESABU les compétences pour une réponse humanitaire efficace, sachant désormais la nuance de gestion projet humanitaire et ses données
Débouts pour relever les défis 👌👏🥱🥱🥱🥱🥱

@BabaPforreal @JohMakini #Hesabu
Verse ya mwamba hio🔥🔥
Chorus ya @S2KizzyOfficial 🔥🔥
Verses za @nikkwapili 🔥🔥🔥
#AyaYaSiku #MunguAnayebariki.
#Hesabu 6: 24 Bwana Akubarikie, Na Kukulinda; 25 Bwana Akuangazie Nuru Za Uso Wake, Na Kukufadhili; 26 Bwana Akuinulie Uso Wake, Na Kukupa Amani.

#Hesabu 6: 24 Bwana Akubarikie, Na Kukulinda; 25 Bwana Akuangazie Nuru Za Uso Wake, Na Kukufadhili; 26 Bwana Akuinulie Uso Wake, Na Kukupa Amani.

Kwa kiasi fulani ndiyo ila #Hisabati/#Hesabu inahitaji uchambuzi wake yenyewe maana nayo kwa namna moja au nyingine ni lugha-tena lugha ya kigeni hivi.
Naongea kama mwalimu wa twisheni wa Hisabati kwa wanafunzi wa sekondari na,hahaa,mtu aliyepata msonge🛖 wa namba #NECTA Form 4.

@Udadisi Ulinganishi wa ufaulu kwa masomo ya lugha kuna uhusiano na uelewa na lugha ya kufundishia?
#Skonga Hebu msaidie Mwanafunzi huyu wa Kinyerezi Sekondari kujibu swali aliloulizwa na kaka mkuu @kevookevoo9 nini maana ya pesa?
Show kamili ipo youtube ya #EastAfricaTV
Skonga imedhaminiwa na @fanta
#ShuleYaKinyerezi #Sekondari #Shule #Elimu #Hesabu #Pesa #EastAfricaTV
Kivumbi leo ndani ya #Skonga ndani ya shule ya sekondari Kinyerezi kaka mkuu @kevookevoo9 akipima mbongo za wanafunzi wa shule hiyo kuanzia saa 12:30 jioni ting'ani #EastAfricaTV
Skonga imedhaminiwa na @fanta
#ShuleYaKinyerezi #Sekondari #Shule #Elimu #Hesabu #EastAfricaTV
#Skonga Hebu msaidie mwanafunzi huyo wa Goba Mpakani kuandika hapa chini kirefu cha NECTA ✍
Show kamili ipo youtube ya #EastAfricaTV
Skonga imedhaminiwa na @fanta
#MivumoniSekondari #ShuleYaGobaMpaka #Sekondari #Shule #Elimu #Hesabu #Sayansi #EastAfricaTV
#Skonga Kaka Mkuu @Kevookevoo9 anauliza ni nini kinaashiria kwamba dunia ni duara?
Show kamili ipo youtube ya #EastAfricaTV
Skonga imedhaminiwa na @fanta
#MivumoniSekondari #ShuleYaGobaMpaka #Sekondari #Shule #Elimu #Hesabu #Sayansi #EastAfricaTV
Last Seen Hashtags on Sotwe
tia #sobrino(*)+filter:native_video
Seen from Argentina
snapchat
Seen from Peru
華勒沙
Seen from United States
سلخ
Seen from Germany
femdom #blowjob
รับงานบัวขาว
Seen from Thailand
戀與制作人
Seen from Malaysia
MGAI
Seen from Argentina
bennybbc
Seen from United States
skinny #ebony() filter:media
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers















