Top Tweets for #Halafu
@ExMayorUbungo Huu ni wito kwa wote wanaochukizwa na #USHENZY wanaouendeleza CCM #Halafu yanakimbilia POLISI.

@IAMartin_ @SuluhuSamia Ukiwaza nguvu iliyotumika kuzuia maandamano yakudai waliomuua wakamatwe na kuchukuliwa #Halafu ukikumbuka nguvu iliyotumika kuzuia MAOMBI kwa Mhe TUNDU LISSU aliposhambuliwa na Watu Wasiojulikana #Ukitafakari vzr utagundua mambo ni yaleyale ni mkakati wa CCM kuidhoofisha CHADEMA
@IAMartin_ Polisi wasasa wanaisaidia CCM chama tawala kujibu hoja za wapinzani wake. Yaani mfano leo hii Polisi wa TANZANIA wakiamua kukaa pembeni waache uwanja wazi mechi ichezwe CCM na vitawi vyake vyote & CHADEMA #Halafu Refa akawa fear #Alfajiri CCM ilishaazikwa na matanga.
#FreeSoka

@millardayo Sisi tunawapinga wanaoitambua Zanzibar kinafki lakini hawataki kuitambua TANGANYIKA YETU. Kama muungano ni wa haki kwanini Zanzibar wana bunge lao Zanzibar #halafu tena wanapeleka tana wabunge zaidi ya 80 TANGANYIKA kwa utaratibu gani?Mbona sisi wabunge wetu hawaingii Zanzibar?
@godbless_lema Mimi najiuliza kwanini Zanzibar iliyoungana na Tanganyika INAONEKANA imesimama yenyewe #Halafu Tanganyika iliyoungana na Zanzibar haionekani popote? Tunamdanganya nani au tunajidanganya wenyewe kwa Faida ya nani?
Lazima ipatikane KATIBA MPYA inayotambua Tanganyika na Zanzibar
@IAMartin_ Hapana. Mimi binafsi naamini uokozi pekee ambao nchi yetu inauhitaji kuliko kitu chochote ni #kuiondoa CCM madarakani. CCM iondoke kama ilivyoingia #halafu TAIFA liundwe upya bila kujali gharama tutakazopitia. CCM hata ashushwe MALAIKA akishaaingia tuu kwenye mfumo tu KWISHA.

@Sirjeff_D Huu mjadala unakusaidia nini Au baada kuuandika hapa Umepata #faida gani?Acha huu ujinga haukusaidii kitu Unatafutwa kukamatwa kwakosa la Uchochezi wa Kidini #halafu Upate attentionKwamba uonekane unaonewa na SEREKALI inayoongozwa naRais Muislam,Nakupa muda #ufute Hrka huu ujinga
@YerickoNyerereT Wacha wabagazane wenyewe kwa wenyewe #Kwani hutaki chadema ichukue nchi?Sasa kwanini unamuuma sikio mwenyekiti wa CCM ambae hataki KATIBA MPYA wala tume Huru ya Uchaguzi?Rejea maneno ya Mwl.Nyerere aliutabirije mwisho wa CCM #Halafu rejea utabiri wa Sheikh Yahaya,Yote yanatimia.

@DChevichenko @freemanmbowetz Wewe 'CHAWA' hebu rudia kusoma ulichokiandika #halafu jiite MPUMBAF wa CCM
@ayubu_madenge Sasa dini hiyohiyo moja iruhusu USHOGA Ulaya #halafu iseme Africa "Special case" ifundishe ushoga Africa ni kitu kibaya #wakati huohuo iseme USHOGA Ulaya ni halali๐,Mbona sierewi๐ค
@IAMartin_ Hiki ni zaidi ya kichekesho,Yaani kauli hii inafaa kuwa kichocheo kikuu cha kuandamana Jan24/24,,Anaewapa JWTZ maagizo kusimama imara kwenye uchaguzi nayeye ni mgombea kwenye huo uchaguzi #Halafu unaambiwa uchaguzi utakua huru na haki๐ค.Hapana nitaandamana hata kama wataniua.
@godbless_lema Mkuu waache #wala usiwastue,Waache maana sasa wanatutawala kwa mazoea,Viongozi wameacha mambo ya msingi wanaendekeza #siasa mpaka kwa watoto wao,Washaaona hii nchi NI uridhi wao,Keki ya TAIFA wanaishambulia wenywe na watto wao #Halafu mtt.wa maskini ana bebeshwa zigo la MADENI ๐
SIKILIZA! TAFAKARI ๐ค PATA PICHA LA 2024/2025 #Halafu hitimisha kwakuwaza kilichotokea 2019/2020๐๐๐
@IAMartin_ Yaani weledi wa uongozi hakuna kabisa, Mtu akishaajua kupiga domo vzr anakua Waziri #halafu utegemee nchi isonge mbele kimaendeleo na #KatibaMpya hawaitaki
Hii nchi inaumiza kichwa na mambo yake ya #Ajabu sana!
Rais anawateua viongozi wa tume ya uchaguzi #halafu Rais anakua nayeye ni mgombea๐Hivi matokeo ya uchaguzi huo hata ukimuuliza mwendawazimu atakujibu nini kama sio #Atakuambia mshindi anajulikana ni ๐Rais?Halafu kuna wasomi

Ningekua mshauri wa mhe.Rais ningemshauri kwanza kabisa amtumbue Waziri wa KATIBA na sheria Halafu amtumbue Waziri wa biashara na uchumi #Pia amtumbue Waziri wa habari na maelezo,na Nyongeza amtumbue Waziri wanishati kupooza waraka wa TEC #halafu mchakato wa #KatibaMpya uanze ss

@BabaMwita Rejea ule utabiri wa Sheikh Yahaya Hussein #halafu tazama tulipo joto kali lililopo huko kwa wananchi ๐ฌ๐ฌ.Chama kiliondoka na JPM kabla hata ya kufika chaguzi 2019-2020 ndio maana 2020 ilitumika nguvu kubwa kupora uchaguzi na kila kitu cha wananchi,Taifa likabakia kwenye kilio
@swahilitimes Magufuli alitukosea sana sisi wananchi 2020 , imagine huyu ni mbunge aliepita bila kupingwa anaongea haya #halafu ni waziri ,. Yaani Waziri anashindwa kuweka mapenzi ya chama chake kando badala yake anatisha wananchi kweli?Halaf 2025 arudi tena kwao kuwaomba kura?

@CAFCLCC @yangasc1935 Kwa maana hiyo hili goli limekua bora kuliko magoli yote mechi zote za shirikisho zilizochezwa #halafu kunae mpuuzi mtaani huku anajiita 'mchambuzi' bwana HURUMA sijui ORUMARU๐๐ฎ anakuambia @yangasc1935 ilipangiwa timu #dhaifu ndio maana wamefika fainali
Last Seen Hashtags on Sotwe
teeNager
ุฏููููุซ_ู
ุชุญุฑุฑ
Seen from Saudi Arabia
spohierain
Seen from United Kingdom
realistikmanken
Seen from Turkey
ๆง่
Seen from United States
monster dildo
Seen from Thailand
ๆฆไบใซๅๅฏพใใใ่ฑๆใฟใฎไผ
Seen from Ecuador
เนเธเธงเนเธเธงเธข
็ฝ็ณ็จ่ช็็ฅญ2021
Seen from United States
ๅผทๅ
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.9M followers

Bill Gates 
@billgates
64.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers

