Top Tweets for #HuhesoDigital
Msemaji wa Gavana wa Mkoa wa Nangarhar nchini Afghanistan anasema zaidi ya wafungwa 300 bado hawajulikani walipo baada ya shambulizi la kundi la kigaidi la IS katika gereza moja mjini Jalalabad.
#HuhesoDigital #BakinaSisi

Kutana na Chitte, kijana mwenye kipaji kikubwa cha Uchongaji vinyago, ana ndoto kubwa ila changamoto hizi ndo kikwazo kwake ....Tazama Full Mahojiano yake ..Link kweny Bio.
#HuhesoDigital #BakinaSisi
Rais akiongoza maelfu waombolezaji kutoa salam za mwisho kwa Hayati Benjamini W Mkapa uwanja wa taifa leo July 28 2020.
#RIPMzeeMkapa
#HuhesoDigital #BakinaSisi

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt.John Magufuli amesema idadi ya Watia nia katika chama hicho mpaka sasa ni 10367 nchi nzima.
#uchaguzimkuu2020
.
@hpolepole @baba_keagan @ccmtanzania
#HuhesoDigital
#BakinaSisi

Shirika la Afya Duniani WHO limeripoti kwa siku ya pili mfululizo juu ya kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona duniani, huku jumla ya visa vya vipya ikipindukia 259,000 katika muda wa saa 24 zilizopita.
#covid19
#HuhesoDigital
#BakinaSisi
.

Kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 2020.
Hawa ni baadhi ya watia nia kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) @halima_james_mdee @johnheche @bulayaester @estermatiko @patrickolesosopi @jongwe__
#uchaguzimkuu2020 #HuhesoDigital

Bilionea na mwanzilishi wa Kampuni ya Microsoft, #BillGates amesema kuwa dawa ya virusi vya corona itakapopatikana inapaswa kusambazwa kwa wahitaji na sio kwa watu wanaoweza kuinunua kwa bei ya juu zaidi.
#HuhesoDigital #BakinaSisi

Rais John Magufuli amemteua Dkt. Maduhu Kazi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) akichukua nafasi ya Godffrey Mwambe.
•Kabla ya uteuzi huo Dkt. Kazi alikuwa meneja wa idara ya sera za kibajeti na madeni wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
#HuhesoDigital.

#MORNINGCLASS unaisikiliza kutoka wap? Ungana na @salumyasin_ mpaka tamati.
#BakiNaSisi #HuhesoDigital

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amekiri kuwa yeye alikuwa miongoni mwa watia nia ya kugombea ubunge Iringa mjini,kwa sasa hatofanya hivyo zaidi ya kuendelea kuwatumikia wananchi wa Mbeya na kutii maelekezo ya Rais Magufuli.
#HuhesoDigital #BakiNaSisi

Last Seen Hashtags on Sotwe
ギミラブ2026年4月
Seen from Japan
黄埔区
Seen from United States
halesoygazi
Seen from Turkey
高確法
Seen from United States
บ้านแท่น
Seen from Thailand
FreeNaz
Seen from United States
我把兄弟变母狗
Seen from Korea
caughtoncamera(*******************************************************************************************************) filter:videos
Seen from Brazil
türkgay
Seen from Turkey
ห้องน้ำห้าง
Seen from Thailand
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.4M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers
