Top Tweets for #Isamilo
@AKinkylion @encunto @z00zma
we don't talk about bruno sign language where part Isabela and Camilo form their hands like this 👌 matching pair #isamilo #camibela #madrigalcest #encanto #camilomadrigal #isabelamadrigal

@kisinzah_ @SouthernBuses @Luvandalugano47 @Alex_komba00 @Lizzie36021 @ALugandu @Bravo6xGoinDark @CavityDamas23 @CanceloCaptain Wahudumu wao wanashindana kutoa customer care bora.
#ISAMILO wanachakujifunza
#ISAMILO SUPPLIES LIMITED YACHANGIA JAMII KUPITIA MPANGO WAO WA CSR KATIKA MANISPAA YA GEITA
#IsamiloExpress

Kampuni ya Isamilo Supplies inayofanya kazi ya Ukandarasi kwenye Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) na safari za kusafirisha abiria wa masafa marefu sehemu mbalimbali imetoa vifaa vya michezo na afya vyenye thamani ya Sh10 milioni kwa Manispaa ya Geita ikiwa ni sehemu ya uwajibikaji wa kampuni kwa jamii(CSR.
Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo Meneja Mkuu wa Isamilo Suppies Robison Mageta amesema wametoa vifaa hivyo ikiwa ni sehemu ya kurudisha kwa jamii inayowazunguka.
Ametaja vifaa walivyotoa kuwa ni vitanda kwa ajili ya wajawazito kujifungulia,Magodoro,mashuka,mpira wa pete,kikapu na mpira wa miguu.
“Leo hii tumeungana na jamii ya Manispaa ya geita kukabidhi CSR kwa ajili ya wana Geita na vifaa hii ni kwa ajili ya kuonyesha ushirikiano na Halmashauri hii ya manispaa katika jukumu letu la kukuza michezo na afya”
Amesema Kampuni hiyo inayojishughulisha na usafirishaji wamelenga kuanzisha safari ya kutoka Geita kwenda Dar es Salaam ili kuleta chachu ya maendeleo na kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Manispaa kwa ujumla.
Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Geita Ndalo Samson amesema vifaa hivyo vitaongeza chachu ya utendaji kazi na kuhahidi kuvitunza ili vifanye kazi iliyokusudiwa.
Muuguzi mkuu wa manispaqa hiyo Cartas Ntambi akizungumza kwa niaba ya Mganga mkuu wa Manispaa hiyo amesema vifaa vya afya vilivyotolewa vitasaidia kurahisisha hudumqa kwenye vituo vipya vya afya na zahanati ambavyo vilikua vikisubiri kupelekewa vifaa.
Amesema bado yapo mahitaji na Serikali imeendelea kufanya juhudi ya kuhakikusiha vituo vyote vya kutolea huduma vinakuwa na vifaa na kwamba kuguswa kwa wadau walioiunga mkono serikali imesaidia kupunguza uhitaji uliokuwepo.
“Serikali inaqjitahidi kuhakikisha Zahanati na vituo vya kutolea huduma vinapata vifaa vyote vinavyohitajika tayari tumeagiza kwenye Bohari ya dawa (MSD) tunasubiri viletwe huu uamuzi wa wadau kuleta msaada hii itapelekea vituo vipya vilivyojengwa kupata vifaa vya kuanzia wakati tukisubiri kuletewa tulivyoagiza MSD,”amesema Ntambi.
#IsamiloExpress

Hii kampuni imepitia mengi sana,
Madereva wa katarama wakawa wanasubiliwa na Difenda Shinyanga. Manyoni latra wanatimba hadi hotelini kupiga fine, Dar hivyo hivyo. DXE ikaingia wakati ligi imetulia.
#KataramaLuxury #Ally's Star Bus #Isamilo
@UNSUPPORTED_APK Haiko na mvuto ule wa mwanzo
Ayer "Los Madrigal" llegamos a La Pintana para llevar alegría a grandes y niños con la compañía de teatro musical Azhar Pro ✨️
@ClaudiaPizarro @MuniLaPintana #Bruno #brunomadrigal #encanto #dosoruguitas
QUOTE
"As with any journey who you travel with is more important than your destination only if you travell with @Allys_Star_bus & #isamilo
.
.
.
@BusesDaily @BusWorldTZ @BusesNation @tanroas @TBoundBuses


#Isamilo
✍️ Huu ukimya wa #Isamilo ni vipi? Ni muda sasa tokea ameleta kifurushi kipya, chuma karibia zote zimebakia Gonga nyundo tu sasa. Wakati wengine wakienda uchinani yeye anaonekana kama kasusa.
✍️ Unaweza ukawa ukimya wa kishindo? Maana katoka kwenye soko kabisa. Hasikiki kabisa. Ndo anaumaliza mwendo ama ni bussiness Trick anajipanga kuja na makubwa?

#Isamilo
✍️ Kabla ya ujio wa ma #Polo kulikuwa na huyu mwamba, hizi #AsiaStar zilikuwa za moto mno wakati wa #DVA series za Yahya.
✍️ Kuna moja lilikuwa likitoka basi njia nzima linazungumzwa. Moto wake ulikuwa suala lingine. Zilipeform lakini mwisho siku zikaona hapana. Hayo #Madragon ni kuyaacha Tu😀🙌.
✍️ Nani amewahi kusafiri na haya madude wakati wake? Sema mkurugenzi atuletee mapya asee. Tunamsahau kabisa.
✍️ Ila wasukuma na huyu Mkurugenzi huwaambii kitu.

#Isamilo wanafanya makubwa Mjini Geita, Je kampuni unayoipenda inachangia chochote kwa jamii au cha muhimu ni kukaa mbele?

Chapter 7 of You Want Me is here!
#Isamilo 🌸🦎
👂tries to get answers about 🌸’s questionable bruises
https://t.co/eSvt6WlAkE
Holaaa, perdón por la tardanza no pude terminar el dibujo a tiempo 😅
Yo creo que este dibujo cuenta como realeza, ya que Rapunzel es princesa🤔
Semana 2
#MadrigalcestFairyTales #isamilo

@Kangaboy_ @baloziNM @BusesDaily @BusesMwanza @BusesNation @TBoundBuses @t_mabasi @SuperFeo_Nation @PabloYende @MasanjaPN Hana makuu na mtu kabisa #isamilo 🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Isamilo hanaga LIGI na mtu...kama Zuber na Kisesa tu.....

Shida ilianzia hapa, @LatraTZ wakaishi na hi video.
Hivi ni kweli watu wanabetia mabasi 🤔?
#KataramaLuxury #Ally's Star Bus #Isamilo
Back to default setting, ila hio ratiba ya saa tisa kwa ruti ya Dar Mwanza bado haiko favourable kwa abiria.....
ISAMILO 😂😳

@t_mabasi Ni kweli kabisa,maana wenzake alikuwa nao waliishia njiani... Ila yeye kbaki na kaendelea kuimaintain integrity.
#mohamedtrans #nchambis #mombasaraha #zuberi #isamilo
#Isamilo❌ #ArushaExpress mkongwe wa njia ya Mbeya Arusha via Dom #popotepicha
Makambako Bus Teeminal

#Madrigalcestweek2023 Accidents
#Isamilo Late, but here it is. They keep "accidentally" doing things. Can be seen as a continuation of my other ones.

#madrigalcestweek2023 #isamilo
Shovel Talk
More PG than usual, but why not? A continuation of my last one

#madrigalcestweek2023 #isamilo
Let's Gooo!!!
Guilt
It's a brief, passing feeling for him, though, XD, side note, I really like that pillow

Last Seen Hashtags on Sotwe
회귀
Seen from Indonesia
nolimits()() filter:native_video
Seen from United States
izmitt̑ȓ̈avȇ̈ſti
Seen from Turkey
แอบร่าน
Seen from Thailand
momson
Seen from Mexico
tinhtrung
Seen from Vietnam
diyarbakirescort
Seen from Turkey
ไซด์ไลน์อยุธยา
Seen from Thailand
nolimits
Seen from Mexico
藤宮めい
Seen from Brazil
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.9M followers

Bill Gates 
@billgates
64.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers























