Top Tweets for #Isimani
Mambo mengine yatania hasira mnoo mtu ni mbunge 25years na ni Waziri. Kwenye kampen anathubutu kutoa ahadi ya maji hiyo ni dharau mno kwa wana #Isimani em twende na @PatricOleSosopi Lukuvi akalee wajukuu sasa
William Lukuvi ni mbunge wa Isimani tangu 1995. Yaani amekuwa mbunge miaka 25 na amekuwa waziri mwandamizi, lakini katika kampeni zake 2020 anatoa ahadi ya serikali ya CCM kuleta maji Isimani. Hii ni dharau kubwa kwetu watu wa Isimani. Apumzishwe. Tupeleke akili mpya bungeni.
#ISIMANI_WANAJAMBO_LAO
Wanachama wa @ccm_tanzania katika Jimbo la #Isimani Wakishangilia Jambo katika Muendelezo wa Mikutano ya ndani inayoendelea maeneo mbalimbali Majimbo yote Ya Mkoa wa Iringa.
@ccm_tanzania @hpolepole @MsigwaGerson
#Magufuli5Tena
Tunaendelea kuwatumia #MATAGA taarifa kwamba tuko imara kuliko jana lakini pia taarifa iwafikie kwamba #Tume iwe huru au isiwe huru USHINDI LAZIMA. Leo Kamanda @PatricOleSosopi ametangaza kutia nia kugombea jimbo la #Isimani.
#No hate No Fear

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers









