Top Tweets for #JESHILAMAMA
Mgombea tunae na tunatamba nae, na Wajumbe ndio sie na tushaamua, hongera sana Mwenyekiti wetu, Dkt @SuluhuSamia Mgombea Urais kupitia @ccm_tanzania ✅
#JeshiLaMama tunasema #TukutaneSite
✳️ 2025 tunazima zote, tunawasha kijani

#CCMImetimia
Hongera sana Mzee wetu, Ndg. Stephen Wassira, Makamu Mwenyekiti CCM Bara @ccm_tanzania na mwaka huu 2025, tunazima zote tunawasha kijani #TukutaneSite na #JeshiLaMama tupo kamili, tupo timamu, tupo imara 💪🏽
#SSH2025 ✅ #DktMwinyi2025 ✅

Hakika Chama chetu #CCM, ni CHAMA IMARA na sisi #JeshiLaMama TUPO IMARA hivyo #TukutaneSite 🔥 #SSH2025 ✅

Hongera sana Dkt @SuluhuSamia, Mwenyekiti wetu @ccm_tanzania kwa kazi kubwa unayoifanya kuimarisha Chama chetu, Chama Cha Mapinduzi #CCM. Tunajivunia sana juu yako, Profesa wa Siasa. #TunaendeleaKujifunza
#JeshiLaMama tupo imara, tunazima zote tunawasha kijani #TukutaneSite

Nimeshiriki Kikao cha kawaida cha Baraza la UWT Wilaya ya Bukoba Mjini.
#UWTImara #JeshiLaMama #KaziIendelee
🗓️ 9 Julai 2024
📍Bukoba Mjini, Kagera


Mapema leo nikiwa na Viongozi wangu, MNEC Suzan Kunambi, Katibu Mkuu UWT Taifa na MNEC Riziki King’wande Naibu Katibu Mkuu UWT Taifa (Bara) #UWTImara 🔥
Hakika #JeshiLaMama lipo kazini 💪🏽
Tunasema #TukutaneSite #SSH2025 ✅


Hongera sana Kiongozi wetu, MNEC Suzan Peter Kunambi kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu UWT 💪🏽
Karibu sana na #JeshiLaMama limekamilika hivyo #TukutaneSite #SSH2025 ✅
#UWTImara Chini ya Chatanda na Shomari 🔥


Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Ndg. Mary Chatanda akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Michael Battle. Wengine Wajumbe Kamati ya utekelezaji UWT Taifa Mhe. Hawa Ghasia pamoja
#UWTImara
#JeshiLaMama
#TupoSalamaNaMama

SALAMU ZA MEI MOSI
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) anawatakia wafanyakazi wote Heri Ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Nyongeza ya Mshahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha.
#WanawakenaKazi
#Uwtimara
#Jeshilamama
#Kaziiendelee

Iwe mvua, iwe jua, Mhe Rais @SuluhuSamia upo imara site kutuongoza kwa weledi mkubwa; na tunajifunza mengi kupitia uongozi wako, tunajivunia na tunasema #UWTImara #JeshiLaMama tupo kazini, #TukutaneSite 🔥 #MuunganoDay

Pongezi kwa Viongozi wangu UWT, Mhe Mwenyekiti Chatanda na Mhe Makamu Mwenyekiti Shomari kwa kuandaa Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake na Muungano ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar.
#UWTImara #JeshiLaMama
📍Dar
🗓️ 25/4/2024

HONGERA 👏
Ndg. Jokate Urban Mwegelo @jokateM kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM. Tunakutakia majukumu mema na kila la heri.
#UWTMoto
#UWTKaziinaendelea
#JeshiLaMama

Wilaya ya Muleba ninsiima mno ❤️🙏
Kata ya Magata shukrani kwa Katibu makini #Mansoor 🔥
#MkutanoWaHadhara ✅
#UWTImara #JeshiLaMama #KaziIendelee

Kampeni ya Pika kwa Gesi, Tunza Mazingira imefika Biharamulo 🔥
Shukrani sana kaka yangu Mhe Eng Ezra Chiwelesa kwa ushirikiano mkubwa wa kufanikisha Mama Lishe 125 wa Biharamulo Mjini kupata Mitungi ya Gesi (nimetoa 60 na kaka Ezra 65) 😍
#UWTImara
#JeshiLaMama
#KaziIendelee
🔰KATIBU MKUU WA UWT ACHANGIA MILIONI 5 UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT -TARIME
Katibu Mkuu wa UWT Ndg @jokateM Mwegelo Tarehe 13 Machi, 2024. amekagua na kuweka jiwe la Msingi kwenye Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa UWT Wilaya ya Tarime.
#uwtimara
#jeshilamama
#kaziiendelee
Leo Tarehe 13 Machi,2024 Katibu Mkuu wa Uwt Tanzania CDE @jokateM amezuru nyumbani kwa Baba Wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere - Mwitongo Butiama na kupokelewa na Mtoto Wa Baba Wa Taifa Ndg. Madaraka Nyerere.
#MwanamkeNipo
#Uwtimara
#Jeshilamama
#kaziiendelee

Katibu Mkuu wa Uwt Tanzania CDE @jokateM Leo Tarehe 13 Machi,2024 amezuru nyumbani kwa Baba Wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere - Mwitongo Butiama na kupokelewa na Mtoto Wa Baba Wa Taifa Ndg. Madaraka Nyerere.
#MwanamkeNipo
#Uwtimara
#Jeshilamama
#kaziiendelee

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

























