Top Tweets for #JFGoodMorning
Unapofanya maamuzi ya haraka au kutaka kumaliza jambo lako ndani ya muda mfupi, pia zingatia kuhusu thamani, athari na matokeo kwa jumla ya maamuzi yako
-
#JFNukuu #JFGoodMorning #Maisha #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Katika dunia inayojaribu kukubadilisha, daima kumbuka kudumisha upekee wako, kwani huo ndio utakupa ushindi. Kuwa tofauti na wengine ni moja ya mafanikio makubwa zaidi maishani.
#JFNukuu #JFGoodMorning #Maisha #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Unapoona kuna Vitu, Watu au Mambo ni kikwazo katika Maisha yako, weka pembeni au vikwepe. Kufanya hivyo itakusaidia kuongeza kasi ya maendeleo au amani unayohitaji
-
#JFNukuu #JFGoodMorning #Maisha #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Wakati mwingine makosa yako hukupa fursa ya kujifunza hivyo unapopata nafasi ya kuanza upya, tumia makosa ya awali kama somo na msingi wa kukua
#JFNukuu #JFGoodMorning #Maisha #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Moja ya hali zinazoweza kukutoa kwenye 'mstari' ni kuwa na hofu, jitahidi kuishinda ili ufanye maamuzi kwa kujiamini
#JFNukuu #JFGoodMorning #Maisha #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Wataalam wa Saikolojia wanaamini kujiamini ni moja ya njia inayoweza kufanya Mtu kuwa na mwanzo mzuri wa kufanikiwa katika kile anachokifanya
#JFNukuu #JFGoodMorning #Maisha #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Jamii yoyote ili iwe Bora, inahitaji kuwa na Maarifa yanayoweza kuiongoza katika kufanya maamuzi sahihi ikiwemo kupata #UongoziBora na wenye Maarifa
#JFNukuu #JFGoodMorning #Governance #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Edward L. Deci ni Mtafiti ambaye alizaliwa Mwaka 1942 Nchini Marekani, anasema Fedha inapotumika kama njia ya kuongeza hamasa ya kazi, kama hakuna umakini wa matumizi pia inaweza kuwa chanzo cha kupunguza hamasa ya jambo hilo hilo
-
#JFNukuu #JFGoodMorning #Governance #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Harry S. Truman, Rais wa 33 wa Marekani alisema ujumbe huu akimaanisha Kiongozi mzuri kwa Watu anaweza kuwa na nguvu ya ushawishi kiasi cha kuweza kubadilisha fikra na Mitazamo yao kuwa katika njia Moja ya kuelekea kwenye mafanikio
#JFNukuu #JFGoodMorning #Governance #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Anthony Luvanda alitoa kauli hii wakati akihojiwa katika Kituo cha Crown FM, Dar es Salaam, alipozungumzia ni kwanini Watu wengi wamekuwa na kawaida ya kuwa na usiri katika masuala yanayohusu vipato vyao
#JFNukuu #JFGoodMorning #Maisha #JFQuotes #JFEconony #AmkaNaJF #JamiiForums

Jose Chameleone (45), Raia wa Uganda alitoa Wimbo wa Shida za Dunia akilenga kuwapa moyo ambao wanapitia wakati mgumu katika Maisha, akiwaambia Mungu yupo pamoja nao na kuwa muda utafika mambo yatakuwa mazuri
Soma https://t.co/O9JxDr6rTu
#JFNukuu #JFGoodMorning #Maisha #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums #JFEntertainment

Ujumbe huu wa Dkt. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa, Mahusiano na Malezi ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) unalenga kuonesha mafanikio ya haraka ambayo hayana mchakato sahihi yanaweza kuwa na madhara katika maisha
#JFNukuu #JFGoodMorning #Maisha #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Mwanafalsafa Dkt. Elie V.D Waminian anasema Elimu pekee haiwezi kutosha kukupa mafanikio, unatakiwa kutumia uwezo wako binafsi kuelewa mazingira yanayokuzunguka. Hiyo itakusaidia kufanya maamuzi sahihi.
#JFNukuu #JFGoodMorning #Maisha #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Mtangazaji na Mtayarishaji Mkongwe wa Vipindi vya Televisheni na Redio Nchini Tanzania, Salama Jabir maarufu '#Salama' aliandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter)
-
#JFNukuu #JFGoodMorning #Maisha #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Msanii wa Muziki wa Hip Hop, John Simon Mseke a.k.a #JohMakini aliimba Mashairi hayo kupitia Wimbo wa “Simwachii Mungu” uliotoka mwaka 2018 akimshirikisha Nyota wa Muziki wa BongoFleva, #BenPol
Mjadala zaidi https://t.co/g4tAmwHrQR
#JFNukuu #JFGoodMorning #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

William Henry Gates III “Bill Gates” (68) ni Mfanyabiashara na Mwekezaji mkubwa Nchini Marekani anayejulikana zaidi kwa kuwa Mwanzilishi Mwenza wa Kampuni ya Programu ya Microsoft
#JFNukuu #JFGoodMorning #JFEconomy #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Robert Kiyosaki (77) ni Mjasiriamali na Mwandishi wa Vitabu, Raia wa Marekani ambaye amekuwa akitoa Elimu kuhusu masuala ya Fedha kupitia Vitabu na Video
#JFNukuu #JFGoodMorning #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Msanii wa Muziki wa Hip Hop, Ibrahimu Mussa 'ROMA' aliimba mashairi hayo kupitia Wimbo wa "Nipeni Maua Yangu" alioutoa Aprili 19, 2023, ambao hadi sasa umetazamwa zaidi ya mara Milioni 2.1 katika chaneli yake ya YouTube
#JFNukuu #JFGoodMorning #JFQuotes #AmkaNaJF #JamiiForums

Patrick Aussems, Kocha wa Zamani wa #SimbaSC alitoa kauli hiyo muda siku chache baada ya kuachana na klabu hiyo aliyoitumikia kuanzia Julai 2018 hadi Novemba 2019
#JFSports #JFNukuu #JamiiForums #JFGoodMorning #JFQuotes #JFNukuu #AmkaNaJF

Last Seen Hashtags on Sotwe
kapaklı
Seen from Turkey
bubbleass
Seen from Indonesia
ชอบรุ่นยาย
Seen from Thailand
erzurumesc
Seen from Turkey
momson()************************************ filter:native_video
communalshowers
หมอนวดชาย
Teenagee nolimit
momson()+filter:videos
Seen from Germany
Teenage() +filter:native_video
Seen from Netherlands
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers

