Top Tweets for #JFSpaces
THOBIASI MGISHA (Mdau): Katika Uchaguzi uliopita (Serikali za Mitaa), kulikuwa na upigaji kura wa Ndio na Hapana, jiulize huo upande wa Hapana unasimamiwa na nani?
#JamiiForums #JFDemokrasia #YaliyojiriUSM2024 #Governance #JFSpaces #RestlessDevSpaces
IDD MKANZA (Katibu Mtendaji Jumuiya ya Vijana wa CUF): Umuhimu wa kuwa na Serikali za Mitaani ni kumfanya Mwananchi awe karibu na Serikali yake na kushiriki katika kufanya maamuzi
#JamiiForums #JFDemokrasia #YaliyojiriUSM2024 #Governance #JFSpaces #RestlessDevSpaces
ESTHER THOMAS (Naibu Katibu Mkuu ACT Wazalendo - Bara): Kutokea kwa Vitisho, Kutekwa, Kupigwa yanaonesha kuwa Wananchi wanafikishiwa ujumbe wa kutosema chochote au kulalamika, badala yake wawe tayari kutawaliwa
#JamiiForums #JFDemokrasia #YaliyojiriUSM2024 #Governance #JFSpaces #RestlessDevSpaces
JOHN PAMBALU (Mwenyekiti BAVICHA Taifa): Uchaguzi huu ulikuwa unatuma ujumbe kuwa bila kuwa CCM huwezi kupata Madaraka, ndio maana unaona wameshinda kwa 99%
#JamiiForums #JFDemokrasia #YaliyojiriUSM2024 #Governance #JFSpaces #RestlessDevSpaces
JOHN PAMBALU (Mwenyekiti BAVICHA Taifa): Kuna mauaji yametokea wakati wa Uchaguzi, lakini huwezi kusikia wanaoona Uchaguzi ulikuwa wa Haki wanadema chochote katika hilo, wanatafuta kile wanachoona wao kinafaa
#JamiiForums #JFDemokrasia #YaliyojiriUSM2024 #Governance #JFSpaces #RestlessDevSpaces
JOHN PAMBALU (Mwenyekiti BAVICHA Taifa): CHADEMA tumesimamisha Wagombea lakini wamekutana na Upinzani kutoka kwa Vyama kadhaa vidogo vya Upinzani, ACT pia nao walikutana na changamoto kama hiyo
#JamiiForums #JFDemokrasia #YaliyojiriUSM2024 #Governance #JFSpaces #RestlessDevSpaces
MAJALIO KYARA (Katibu Mkuu Sauti ya Umma): Kauli ya CHADEMA Taifa kuhusu Uchaguzi (wa Serikali za Mitaa 2024) imesema haukuwa #Huru na wa #Haki, wakati huo CHADEMA Kinondoni walisema Uchaguzi ulienda vizuri
#JamiiForums #JFDemokrasia #YaliyojiriUSM2024 #Governance #JFSpaces #RestlessDevSpaces
MAJALIO KYARA (Katibu Mkuu Sauti ya Umma): Mazingira ya kujitenga na kujiona bora yalikuwepo tangu wakati wa #UKAWA, hakukuwa na umoja, kulikuwa na mazingira ya kujitenga na ndio maana hakukuwa na mafanikio
#JamiiForums #JFDemokrasia #YaliyojiriUSM2024 #Governance #JFSpaces #RestlessDevSpaces
ESTHER THOMAS (Naibu Katibu Mkuu ACT Wazalendo - Bara): Vyama vya Siasa tulikuwa tayari kushiriki katika #Maridhiano na ndio maana tukashiriki hadi katika Kikosi Kazi
#JamiiForums #JFDemokrasia #YaliyojiriUSM2024 #Governance #JFSpaces #RestlessDevSpaces
ESTER THOMAS (Naibu Katibu Mkuu ACT Wazalendo - Bara): Mambo yalivyoonekana katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yametuonesha tuna safari ndefu sana kufikia safari yetu ya kuwa Nchi ya Demokrasia
#JamiiForums #JFDemokrasia #YaliyojiriUSM2024 #Governance #JFSpaces #RestlessDevSpaces
ESTER THOMAS (Naibu Katibu Mkuu ACT Wazalendo - Bara): Kwa kilichotokea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, imeonesha hatuko tayari kwa Demokrasia ya Nchi huru na Haki
#JamiiForums #JFDemokrasia #YaliyojiriUSM2024 #Governance #JFSpaces #RestlessDevSpaces
ASKOFU MAXIMILLIAN MACHUMU (CHADEMA): Tumeshuhudia Daftari la Kupiga Kura limekuwa na mizengwe mingi ambayo inaonesha Uchaguzi hautakuwa salama
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #CivilRights #MitaaElection24 #JFSpaces #MitaaSpaces2024 #MitaaSpaces
WILLIAM (Mdau): Licha ya upungufu uliojitokeza kwenye mchakato wa Uandikishaji bado tunatakiwa kutoa wito kwa Wananchi kujitokeza na kufanya maamuzi kupitia Kura
#JamiiForums #JFDemokrasia #Governance #CivilRights #MitaaElection24 #JFSpaces #MitaaSpaces2024 #MitaaSpaces
SAMMY AWAMI (Mwanahabari): Mbinu za upotoshaji zinaongezeka kadiri siku zinavyosonga mbele, hivyo kuna uhitaji wa kuendelea kutoa elimu kila siku kulingana na taarifa potofu zinavyoendelea kusambaa na kutengenezwa
#JamiiForums #JFDemokrasia #JFSpaces #FakeNewsAwareness #Disinformation #TaarifaPotoshi #MisinformationAwareness
SAMMY AWAMI (Mwanahabari): Unapoona taarifa ina mashaka ni vizuri kuihakiki kwanza kabla ya kuisambaza, ni jambo la msingi la kufanya ambalo linaweza kukusaidia kupata taarifa sahihi
#JamiiForums #JFDemokrasia #JFSpaces #FakeNewsAwareness #Disinformation #TaarifaPotoshi #MisinformationAwareness
DANIEL MWINGIRA (Mkufunzi wa Masuala ya Uhakiki wa Taarifa - Nukta Africa): Dunia nzima inapambana na taarifa potoshi, mfano mwaka huu 2024 kuna Nchi takribani 64 zina uchaguzi, hivyo taarifa potoshi zimekuwa nyingi na zitaendelea kuwa nyingi
#JamiiForums #JFDemokrasia #JFSpaces #FakeNewsAwareness #Disinformation #TaarifaPotoshi #MisinformationAwareness
MPOKI THOMSON (Mhariri Mtendaji MCL/The Citizen): Wakati wa Chaguzi kunakuwa na “interest” tofauti kutoka kwa makundi ya Wadau mbalimbali, pia kunakuwa na taarifa nyingi potoshi
#JamiiForums #JFDemokrasia #JFSpaces #FakeNewsAwareness #Disinformation #TaarifaPotoshi #MisinformationAwareness
INNOCENT MANGU (JamiiCheck): JamiiCheck imekuwa na Program ya kuwajengea uwezo Wadau wengine wakiwemo Waandishi wa Habari ili kuwa katika ukurasa mmoja kwa kuwa suala la uhakiki wa taarifa unahitaji ushirikiano wetu pamoja
#JamiiForums #JFDemokrasia #JFSpaces #FakeNewsAwareness #Disinformation #TaarifaPotoshi #MisinformationAwareness
INNOCENT MANGU (JamiiCheck): JamiiCheck ni nyenzo iliyoanzishwa Miaka miwili iliyopita kutoka ndani ya JamiiForums ambayo inatumika kuhakiki taarifa, mada na habari mbalimbali
#JamiiForums #JFDemokrasia #JFSpaces #FakeNewsAwareness #Disinformation #TaarifaPotoshi #MisinformationAwareness
Deogratias Bwire: 'Ishu' kubwa ya Nchi yetu ni ile kukosa utayari wa kutekeleza mabadiliko makubwa, tukiwa tayari tutaweka Vyombo vya Kusimamia masuala ya Haki
#JamiiForums #Governance #HumanRights #CriminalJusticeReforms #JFHakiRaia #JFSpaces #LHRCSpaces
Last Seen Hashtags on Sotwe
teenageee
Seen from Brazil
cantikfresh
Seen from United States
xlii() #tribute() or #nolimit() +filter:native_video
Seen from Turkey
handjob #nsfw video
Seen from United States
กาฬสินธุ์ในเมือง
Seen from Thailand
smno
Seen from Switzerland
sex with dog
ZulHijjah
Seen from United States
あろま流出
Seen from Japan
StevenChoi
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers