Top Tweets for #JFXSpaces
GODLISTEN MALISA (Mtetezi wa Haki za Kijamii): Ikitokea Serikali yenyewe ikatumia taarifa zetu isivyofaa, nani ataichukulia hatua Serikali?
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
NAUMANGA JR (Mdau): Sheria zilizopo isijekuwa zinataka kutumika kuwalenga Watu fulani na sio kwa nia ya kweli ya kuondoa maudhui ya picha chafu
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
Rachel Magege (Pollicy): Mara nyingi Sera na matamko huwa yanawasilishwa kwa Lugha ngumu lakini tuko hapa kwa ajili ya kuelewesha Umma ili wapate kuzielewa
#JamiiForums #DigitalTransformation #DigitalSpace #DigitalRights #HakiZaKidigitali #JFXSpaces #MjadalaSektaDigitali #ServiceDelivery #JFHuduma
ABDUL NONDO (ACT-WAZALENDO): #Teknolojia imesaidia kuamsha sauti za Wananchi, tunapaswa kutumia mitandao katika kupigania haki zetu, tutumie kuendeleza harakati za kutaka mabadiliko na maendeleo yetu
#JamiiForums #JFMijadala #Governance #Accountability #JFXSpaces #MadarakaNaUwajibikaji
KAMALA DICKSON: Nimeshiriki katika uchaguzi wa Nchi kadhaa. Mfano; Hapo jirani, wakati wa uchaguzi unapita Barabarani unawakuta Wanajeshi, hali hiyo inawapa hofu Wananchi hata katika ushiriki wao kwenye Uchaguzi
#JamiiForums #JFMijadala #Governance #Accountability #JFXSpaces #MadarakaNaUwajibikaji
ABDUL NONDO (ACT - WAZALENDO): Mwananchi huwa anachukua hatua pale ambapo anaminywa zaidi. Mfano; Umasikini ukizidi n.k
#JamiiForums #JFMijadala #Governance #Accountability #JFXSpaces #MadarakaNaUwajibikaji
ISIHAKA MCHINJITA (Mdau): Katika Nchi hii, tunavyokwenda kila mtu anajua Rushwa ni sehemu ya Maisha yetu, ni kama tumeikubali na tunaishi nayo
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces
MAGODE75 (Mdau): Mazingira ya Rushwa hayajatupa uoga, mfano Kijana wako akiwa na Ajira ya mshahara mdogo, akijenga nyumba ya mamilioni ya Fedha ndani ya muda mfupi huwezi kuhoji badala yake utafurahia
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces
MAGODE75 (Mdau): Mifumo yetu ya kuwapata Viongozi wa Kisiasa yenyewe ipo katika Mazingira ya #Rushwa, hii ni kwa Vyama vyote, Viongozi wanatumia njia za Rushwa kupata Madaraka au nafasi mbalimbali
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces
ZOBOGO (Mdau): Wananchi wanatoa kodi lakini matumizi ya kodi hiyo hayatumiki vizuri, baadhi ya Nchi za wenzetu Wananchi wanaona kodi zao zinavyotumika tofauti na huku kwetu
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces
ZOBOGO (Mdau): Naona kuna ufu wa dhamira kwa Watanzania wengi, watu wengi hawashiriki katika mapambano kwa kuwa hawana nafasi na hawana dhamira
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces
JACKSON MMARI (Taasisi ya WAJIBU): Kuondoa mazingira ya Rushwa kwenye Jamii, Wananchi wanatakiwa kujitambua na kuwa tayari kushiriki katika mapambano dhidi ya Rushwa
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces
ADO SHAIBU (Katibu Mkuu ACT Wazalendo): Nini kifanyike kudhibiti Rushwa? Hali ya Umma wenyewe inatakiwa kuangaliwa, inatakiwa kutambua jukumu hilo la kupambana na Rushwa ni lao na isionekane ni jukumu la Watu fulani
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces
ADO SHAIBU (Katibu Mkuu ACT Wazalendo): Uchunguzi ukifanywa kwenye Vyama vya Siasa utaonesha bado hatujawa na msukumo mkubwa wa kupambana na Rushwa
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces
JACKSON MMARI (Taasisi ya WAJIBU): Kuna #Rushwa ya Kisiasa, Wananchi wanatakiwa kuliangalia hili eneo zaidi kwa kuwa wengi hawana ufahamu mzuri kuhusu kinachokuwa kinaendelea
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces
JACKSON MMARI (Taasisi ya WAJIBU): Rushwa zipo ndogondogo mfano za Huduma, zipo Rushwa zinazohusisha Taasisi na zipo Rushwa kubwa, mfano zinazohusisha tenda zenye thamani ya bilioni, trilioni
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces
AHOBOKILE MWAITENDA (Mshauri wa Fedha na Kodi): Tafiti nyingi Duniani zinaonesha kwenye Nchi nyingi ambazo kiwango cha Umasikini ni kikubwa, kiwango cha Rushwa nacho pia ni kikubwa
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces
Kuhusu nini kifanyike ili kuongeza Ushiriki wa Wananchi katika Mapambano dhidi ya Rushwa, Wadau kutoka Majukwaa ya JamiiForums wametoa maoni haya
Kushiriki Mjadala ingia hapa https://t.co/NWOldEych5
#JamiiForums #KemeaRushwa #Governance #JFUwajibikaji #JFXSpaces

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers