Top Tweets for #JimmyKindoki
FAMILIA #JimmyKindoki na #WillyShemoka
Kila la kheri wanangu kwenye majukumu yenu. Ubora wa kazi yenu hauna mashaka. Mapenzi yenu kwa Wananchi hayana mfano. Mungu awatangulie.
#RememberTheName


Meneja wa #JimmyKindoki na Feitoto niko hapa.
Nimesikia maelekezo ya Mama kuhusu Feisal na Maua ya Mama kwa Jimmy Kindoki.
#RememberTheName

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akitoa pongezi kwa mashabiki damu wa Yanga Jimmy Kindoki na Mzee Mpili kwa hamasa kubwa waliyoitoa.
#Yanga #EastAfricaTV #JimmyKindoki
Staa wa muziki @OfficialAliKiba amempitisha shabiki maarufu wa Klabu ya Yanga #JimmyKindoki kuwa msemaji wake.
@OfficialAliKiba na @ayrastarr watafanya show ya @lockin255 #EastAfricaTV na #EastAfricaRadio May 20 The SuperDome-Masaki na tiketi zote zinapatikana App ya @Nilipetz
Muda wa #KipengaXtra huu kuna shabiki wa Yanga #jimmykindoki anapiga mdomo sana imebidi niangalie muda kwanza yamebaki masaa mangapi.
Yanga wanashinda goli ngapi?
#RememberTheName

"Mtu yeyote mwenye akili timamu na kwa tamaduni zetu hawezi kudiriki kusema labda ampende mtu ambaye ukiacha tu umri kwenda lakini labda ni mzee au kikongwe, huyu atakuwa na tatizo la kisaikolojia - #JimmyKindoki
#MamaMia kila Jumatatu-Ijumaa saa 3:00 Asubuhi #EastAfricaRadio
Kitendo cha kutoona na kuheshimu mbinu za Robertinho kwenye #KariakooDerby bado nakiita ni kukosa nidhamu ya soka.
Wewe #JimmyKindoki na Nabi mnatakiwa kuwa na nidhamu na Football.
#RememberTheName
Kuelekea uchaguzi mkuu wa @SimbaSCTanzania shabiki wa @yangasc1935 #JimmyKindoki amesema anaijua timu hiyo mpaka ndani kuliko watu wanavyodhani.
Kipenga Xtra ipo LIVE kupitia youtube channel ya @earadiofm
#SimbaSC #UchaguziSimbaSC #JimmyKindoki #NBCPL #Michezo #EastAfricaTV
Shabiki wa @yangasc1935 @JimmyKindoki1 akilichambua goli la @Az_stephane10 lililozua utata dhidi ya @mtibwaofficial.
#AzizKi #YangaSC #JimmyKindoki #NBCPL #EastAfricaTV
Shabiki wa @yangasc @JimmyKindoki1 amemfananisha kiungo wao @Az_stephane10 na beki wa zamani wa Brazil Roberto Carlos katika kupiga faulo.
#AzizKi #RobertoCarlos #Brazil #YangaSC #JimmyKindoki #NBCPL #EastAfricaRadio
Shabiki wa @yangasc1935 @JimmyKindoki2 ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao dhidi ya Namungo FC leo hautakuwa rahisi kwani wanacheza na maadui watatu ambao ni Namungo, Simba na Azam na kwamba wanasubiri mkono wao udondoke.
#KipengaXtra #JimmyKindoki #LigiKuuNBC #Yanga #Namungo
UKINIONA UKANITAMBUA NAKUPA TIKETI - KINDOKI
Baada ya Jimmy Kindoki kutangaza kufanikisha upatikanaji wa tiketi zaidi ya 500 kuelekea mchezo kati ya @yangasc1935 na Al Hilal, sasa ametangaza njia ambazo atatumia kugawa tiketi hizo kwa mashabiki.
#5Sports #JimmyKindoki #Yanga
@yangasc1935 @JimmyKindoki Malengo ya Jimmy Kindoki ni kukusanya jumla ya tiketi 1000 kuelekea kwenye mchezo huo.
#5Sports #JimmyKindoki @AliKamwe #Wananchi #CAF #EastAfricaTV
@yangasc1935 @Alhilal_EN @JimmyKindoki Malengo ya Jimmy Kindoki ni kukusanya jumla ya tiketi 1000 kuelekea kwenye mchezo huo.
#5Sports #JimmyKindoki @AliKamwe #Wananchi #CAF #EastAfricaTV
#MICHEZO Mdau wa soka #JimmyKindoki na mshabiki maarufu wa klabu ya @yangasc1935 anasema mechi ya jana ya Yanga dhidi ya Vipers ilikuwa maalum kwa ajili ya kutazama uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kuelekea mechi ya Ngao ya Hisani dhidi ya @SimbaSCTanzania
Last Seen Hashtags on Sotwe
teenageers
Seen from Netherlands
moancewek
Seen from Indonesia
MGAI
Seen from Turkey
squirting
Seen from Turkey
minichatt()()*********** filter:videos()
Seen from Germany
minichat filter:videos
Seen from France
SizeDifference
Seen from Spain
minichat()****** video*
Seen from Turkey
kinkysuperhero
Seen from Colombia
momson()+filter:videos
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers




