Top Tweets for #KaypeeMotors
INAWEZEKANA.. Fuatilia mazungumzo haya kupitia kalamu kwenye chaneli ya Kipanya Tell a Vision kwa kubonyeza link kwenye bio yangu. Na ukishafika kule yuchubu, usisahau kusabskraibu na kulaiki. #Kalamu #KipanyaTellaVision #KaypeeMotors #DisruptiveMinds
Anzia ulipo na ulivyo. Usiogope walipo waliokutangulia, ukiuona mwanzo wao unaweza usiamini.
Usisubiri unachofanya kiwe 'perfect', kitajipafektisha kadri unavyoendelea kukifanya.
ANZA shubaamiti!!!
#KaypeeMotors
#DisruptiveMinds
#BitByBit
#brickbybrick

Chongolo visited the company’s factory located at Vingunguti in Dar es Salaam Wednesday. Concluding his tour, the SG said he was optimistic that TBS will inspect, advise and certify the product after meeting required standards accordingly.
@ccm_tanzania
#KaypeeMotors
Ukijaribu kufuatilia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa muda wa siku 3 tar 1-4 April, utajifunza kwa nini Africa bado kuna umasikini sana.
uzinduzi wa gari la umeme la KPA72 #KayPeeMotors kwa Ulaya ingekuwa ndio wimbo mpya wa Diamond au Ali Kiba hapa kwetu.

My brother @masoudkipanya hongera kwa kutimiza ndoto yako. Allah aendelee kukubariki ndoto ifanikiwe zaidi.
RAMADHAN KAREEM.
#KaypeeMotors
Experiencing our own local innovations! #KaypeeMotors Electric Cars! Made in Tanzania, By Tanzanians for The world! 🔥


🇹🇿 Tanzanian innovator @masoudkipanya launching his electric car #KaypeeMotors 🚘;Creating opportunity for companies like @sarafuofficial @MarketForceHQ @wasoko_official and other, to buy/rent the cars on delivering Fast Consumer Moving Goods in Africa.Hongera Sana @masoudkipanya

💨 @masoudkipanya amezindua gari lake la umeme (EV)
Hii ni moja ya project kubwa ulimwenguni na inayokuja kwa kasi kwa miaka hii.
Kampuni kama ya TESLA, NIO, BYD n.k tayari zinaendelea kufanya vizuri sokoni. Natamani sana hii project ya #KaypeeMotors ifike mbali 🙌

VIDEO: Mtangazaji na Mchora Katuni @MasoudKipanya leo amelionesha gari lake jipya linalotumia umeme alilotumia miezi 11 kulitengeneza kwa ubunifu wake mwenyewe, betri yake inajaa ndani ya saa 6…… kampuni yake inaitwa #KaypeeMotors. #MillardAyoAMAZING
Hongera sana @masoudkipanya na Team nzima ya #KaypeeMotors, Hii ni kubwa mno kwa Tanzania 🇹🇿 nzima.
Gari la kwanza la umeme nchini Tanzania lazinduliwa leo. #Technology #Tanzania
Tuko hapa #KayPeeMotors

Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers
















