Top Tweets for #Kibamba
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya @ACTwazalendo, Ndugu Oscar Koshuma ameanza rasmi kampeni zake za kuelekea Bungeni Dodoma.
Oktoba #LindaKura
#MuhuniHasusiwi
#Kibamba

Affaire détournement 39 millions USD: @ConstantMutamba a récusé les juges Justin #Kibamba et Thomas #Otshudi pour "partialité et inimitié contre sa personne". En réaction, le juge président Justin Kibamba, estimant n'avoir « aucun intérêt à s’accrocher à ce dossier », les deux juges incriminés par l'ancien ministre de la justice ont donc préféré se « déporter »

Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mh. @TunduALissu akiangalia kiwanja cha Jimbo la Kibamba ambapo patajengwa ofisi za Chama Kibamba.
#NoReformNoElection #Kibamba

Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mh. @TunduALissu akiangalia kiwanja cha Jimbo la Kibamba ambapo patajengwa ofisi za Chama Kibamba.
#NoReformNoElection #Kibamba

#Futbol #Gibraltar
**El @Man62FC anuncia el fichaje del congoleño #Kibamba que jugó en @RBL1912
@alsoldelacosta @Mrxsrp @Gibsportsnews #FutbolOnTheRockTv @FredericPeter1 @BalonGibraltar @Stojak7FM
🚨🚨Here we go ….. We are thrilled to announce the signing of Kibamba, the Congo 🇨🇬 international player! With a remarkable track record at La Balona and Sevilla, Kibamaba brings exceptional skill and experience to our team. Welcome aboard, Kibamaba! #NewSigning #WelcomeKibamaba

Ababizi bamfashe bigenda bite ngo indirimbo zimwe uzishakishe ukoresheje SHAZAM ntuzibone, inyinshi za bavandimwe ba Uganda kuzibona biragora.
@MirrorSave ntacyo wandusha.
#Saakaara #Kibamba
“Where Your Dreams Are Nurtured “
St.Joseph College of Engineering& Technology
St. Joseph College of Health Sciences
Visit our website for more information https://t.co/G3Vk2i3CDC
#sjuit_tz #sjuit #kibamba #boko #studentslife #student #students #university

#Mwendokasi
✍️ Mwendokasi linateketea kwa moto #Kibamba Dar es salaam usiku huu.
Source: @swahilitimes

KIBAMBA - DAR ES SALAAM - TANZANIA
- 11th May 2023
Where Should i Shoot Next?
#kibamba #dronephotography #dronephotographer #tanzania #daressalaam #daressalaamphotography ki

@MARGARE33961115 @IAMartin_ @andrewmoses0078 @IAMartin_ nakumbuka siku ile tupo pale #Kibamba na Mhe. Lissu mama alikuita mpige naye picha.. Nakumbu mie mwenyewe nilishika Simu yako nikawapiga picha. Mama ni mpambanaji katika HAKI
Nimehutubia mkutano wa hadhara kata ya #Saranga Jimbo la #Kibamba , nimetoa mwito kwa Rais @SuluhuSamia
kuacha ukimya na kulihutubia taifa kuhusu masuala muhimu ikiwemo kupanda kwa bei ya mafuta na kuendeleza mchakato wa #KatibaMpya
. Zaidi sikiliza hapa:
https://t.co/H1lOdfHUdP
Karibuni kusikiliza mkutano wa hadhara wa leo kata ya #Msigani
Jimbo la #Kibamba . Tumezungumza masuala anuai ya kitaifa na maendeleo ya jimbo na Manispaa ya #Ubungo
. Wananchi wamepiga kura ya kutokubaliana na Rais kukaa kimya kuhusu #OkoaBandariZetu
https://t.co/lLjLXXbs0j
Sasa twigire mu rwuri kuragira za #Kibamba na #Gaju iwabo w'Inka n'abantu @GatsiboDistrict 😍😍
@Ngabo_Karegeya natwe uzadusure maze tukwereke izacu, usibye ko zidatandukanye n'izo mu bigogwe daaa😂😊

Poleni familia ya Nemes Tarimo na wanaChadema Jimbo la #Kibamba kwa msiba. Mhubiri 3:1-8 yawe ni maneno ya faraja kwenu katika majonzi na safari ya kwenda kuulaza mwili wake katika makazi ya hapa duniani. Roho yake ipate pumziko la milele . #RIPNemesTarimo .
*TAARIFA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU NEMES TARIMO*
Mwili wa Marehemu Nemes Tarimo utaagwa kesho Ijumaa tarehe 27/1/2023 Nyumbani kwa Marehemu Nemes, Mbezi kibanda chabmkaa kuanzia saa mbili Asubuhi.

#MajiDar ya Kimbiji Kigamboni hayapaswi kuhudumia katikati ya Jiji pekee kwa uwingi wake yaunganishwe haraka na mabomba makuu yaliyo viungo kwa kufikisha maji kwa wananchi wenye kuhudumiwa na Ruvu Juu na Chini wakiwemo wa majimbo ya #Ubungo na #Kibamba kuondoa #MgaoWaMaji
milioni 15 kuanza kuhudumia sehemu ya katikati ya Jiji la Dar es salaam ili kukabiliana na hali ya upungufu wa maji iliyopo.
Zoezi hilo ni moja ya jitihada za Serikali kupitia DAWASA, katika kukabiliana na athari za ukame na mradi huo unatarajiwa kusambaza lita milioni 70....
Rais @SuluhuSamia huu #MgawoWaMaji chanzo chake kikuu sio miti Pwani. Kutokana na #climatechange na mahitaji makubwa #MajiDar Ruvu haijitoshelezi wakati wa kiangazi. Ufumbuzi: 1. Harakisha ujenzi Bwawa la Kidunda Morogoro 2. Tuunganisheni #Ubungo #Kibamba nk. na Kimbiji na Mpera
"Kuhusu mgao wa maji na upungufu ni suala la kimazingira unaosababishwa na ukataji wa miti kutafuta Nishati ya kupikia na suala hili limesemwa muda mrefu. Katika mkoa ambao unakata misitu kwa wingi kwa ajili ya mkaa ni Pwani na mkoa huo ndio upo Mto Ruvu" Rais Samia Suluhu Hassan

Pamoja na amri ya status quo ya Jaji TN Mwenegoha wa HC (LD) ya 30/08/2022 (MLA no. 479 ya 2022) kupewa #TANROADS na @tanpol #BomoaBomoa inaendelea kata ya #Kibamba . Dharau hii kwa mahakama kuu na utawala wa sheria ina baraka zenu Waziri @WizarayaUJnaUC na Rais @SuluhuSamia ?
#BomoaBomoa #Kibamba Rais @SuluhuSamia sikiliza ujumbe huu wa #wananchi . Ni vyema ukaagiza upatiwe taarifa kamili kuhusu wananchi wote waliobomolewa bila fidia kuanzia #KimaraNiSisi awamu ya Rais #RIPMagufuli mpaka leo #Kibamba chini yako na Serikali ieleze inawafutaje machozi.
Last Seen Hashtags on Sotwe
nolimit()*+filter:native_video
Seen from Korea
연예인능욕
Seen from Korea
Harbour
Seen from United States
นวดขอนแก่น
Seen from Thailand
媚黑
Seen from Netherlands
DenisPlante
Seen from United States
spy #baños
Seen from Argentina
jakolerongbagets
Seen from Philippines
GrowingTalentTogether
Seen from United States
裸舞
Seen from Australia
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65M followers

Bill Gates 
@billgates
64.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers


































