Top Tweets for #Kitasa
In working with this week’s energy, we are all uniquely supported to share our gifts and, in doing so, unlock the flow of unlimited blessings into our lives and a greater sense of fulfillment from them.
#weeklyenergy #kitasa #gifts #blessings #blessed

This week, we are all uniquely supported to share our gifts and, in doing so, unlock the flow of unlimited blessings into our lives and a greater sense of fulfillment from them.
#weeklyenergy #kitasa #gifts #blessings #blessed

Kwa bahati mbaya ubora unabaki kuwa swala la maoni ya mtu (Subjective), Kwangu mimi Henock Inonga ndiye mchezaji wangu bora kwenye mechi 15 za kwanza za NBC Premier league.
Confortable with a ball, passing ability, VeryBrave, Aerial balls, A leader in the pitch. #Kitasa

Show nzima ya #JamboJambo katika viwanja vya #Mbagala Zakhiem ilisimamiwa na watangazaji wabobezi kwenye burudani Wasiwasi Mwabulambo, Bernick Kimiro, Sarah Jackson na Mrisho Senga
Kuanzia kesho vitu vipya vinaanza!!
#JamboJambo #Kombolela #BekiTatu #Kitasa #SinemaZetu

Mbagala na Singeli ni kama mapacha, vijana walichuana vikali kumpata mkali wa #Singeli wa #JamboJambo
#JamboJambo #Kombolela #BekiTatu #Kitasa #SinemaZetu

Maswali ya ufahamu kuhusu bidhaa za #AzamTV yaliulizwa na zawadi kwa waliopatia kwa usahihi zilitolewa, mashindano ya kucheza pia kama kawaida, Mbagala ndiko kwenye wapenda burudani.
#JamboJambo #Kombolela #BekiTatu #Kitasa #SinemaZetu

Chuchu Hans alipoongoza #TeamBekiTatu tamthiliya hii itakujia kila siku ya Jumatatu hadi Alhamisi kuanzia saa 1.30 Usiku
Shughuli iko MBASHARA #SinemaZetu kuanzia saa 10.00 Jioni
#JamboJambo #Kombolela #BekiTatu #Kitasa #SinemaZetu

#TeamKombolela ikisindikizwa na wakali wa #SaluniYaMamaKimbo wameacha burudani ya aina yake!
Shughuli iko MBASHARA #SinemaZetu kuanzia saa 10.00 Jioni
#JamboJambo #Kombolela #BekiTatu #Kitasa #SinemaZetu

#TeamKitasa ikitambulishwa na William Mtitu akitambulisha team yake kwenye tamthiliya ya #Kitasa
Shughuli iko MBASHARA #SinemaZetu kuanzia saa 10.00 Jioni
#JamboJambo #Kombolela #BekiTatu #Kitasa #SinemaZetu
Warembo wa #TeamKitasa wakitambulishwa hapa, usikose kuitazama tamthiliya hii kila siku ya Jumatatu hadi Alhamis kuanzia saa 1.30 usiku.
Shughuli iko MBASHARA #SinemaZetu kuanzia saa 10.00 Jioni
#JamboJambo #Kombolela #BekiTatu #Kitasa #SinemaZetu

Fujo za #TeamBekiTatu ilivyopanda jukwaani kutambulisha wasanii wake, shughuli inaendelea viwanja vya #Mbagala Zakhiem muda huu
Shughuli iko MBASHARA #SinemaZetu kuanzia saa 10.00 Jioni
#JamboJambo #Kombolela #BekiTatu #Kitasa #SinemaZetu
#Jambo linazidi kuwa #Jambo …tunaweka mambo sawa kwa burudani hapa Mbagala, kama uko mbali na viwanja hivi vya #Zakhiem sogea sasa kwenye luninga yako na fungua chaneli ya #SinemaZetu
Itakuwa MBASHARA #SinemaZetu kuanzia saa 10.00 Jioni
#JamboJambo #Kombolela #BekiTatu #Kitasa

Watu na #Jambo lao, washaanza kusogea hapa Mbagala Zakhiem kushuhudia uzinduzi wa staili yake wa msimu wa nne wa tamthiliya za Kiswahili ndani ya chaneli pendwa ya #SinemaZetu
Shughuli nzima itakuwa MBASHARA #SinemaZetu kuanzia saa 10.00 Jioni
#Kombolela #BekiTatu #Kitasa

#TeamBekiTatu na #TeamKombolela wako tayari…tumeshafika Mbagala Zhakiem tayari kukuletea rasmi #JamboLetu
Shughuli nzima itakuwa MBASHARA #SinemaZetu kuanzia saa 10.00 Jioni
#JamboJambo #Kombolela #BekiTatu #Kitasa #SinemaZetu

Mambo ndio yameanza hivi, tunaelekea kwenye uzinduzi rasmi wa msimu wa nne wa tamthiliya za Kiswahili zitakazoanza rasmi Novemba 15, 2021. Hili ni Vibe la #TeamKombolela
Shughuli nzima itakuwa MBASHARA #SinemaZetu kuanzia saa 10.00 Jioni
#JamboJambo #Kombolela #BekiTatu #Kitasa
Safari kueleka Mbagala Zakhiem inaendelea, vigoma, mnanda, mchiriku vyote vinapigwa…burudani inaendelea kuelekea kwenye #JamboLetu #JamboJambo
Shughuli nzima itakuwa MBASHARA #SinemaZetu kuanzia saa 10.00 Jioni
#JamboJambo #Kombolela #BekiTatu #Kitasa #SinemaZetu
Jambo linanukia…yamebaki masaa kadhaa tu! Ni Novemba 14, 2021 mzigo unakufikia moja kwa moja kwenye luninga yako ndani ya chaneli ya #SinemaZetu
#JamboJambo #AzamTV #SinemaZetu #BurudaniIendelee #Kitasa #Kombolela #BekiTatu

Timu ya #AzamTV leo imeendelea kutembelea vyombo vya habari kuelezea uzinduzi wa msimu wa nne wa tamthiliya za Kiswahili kwenye chaneli ya #SinemaZetu ifikapo Novemba 14, 2021.
#JamboJambo #BekiTatu #Kombolela #Kitasa #SinemaZetu

Wahusika wa tamthiliya mpya tatu zinazokwenda kuoneshwa #SinemaZetu kuanzia Novemba 15, 2021 leo wameendelea na ziara kwenye vyombo vya habari kuelezea mpango mzima wa tamthiliya hizo; #BekiTatu ya Chuchu Hans #Kitasa ya William Mtitu na #Kombolela ya Abdul Usanga.
#JamboJambo

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.4M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers