“Kamati ya Utendaji (TFF) imeona pendekezo la kanuni (ya kudhibiti wachambuzi) sisi (TFF) tumeona, sio sehemu yetu. Kuna TCRA, Kwahyo sisi tumeiondoa hiyo, tumeona kuwa hapana,”
Wallace Karia, Rais wa TFF
“Tuliwaita Viongozi waliokuwa wanasemwa kutumia Majumba ya Dhahabu. Ni kweli kuna hayo mambo yanafanyika huko vyumbani tulichokikosa ni ushahidi tu. Kikao kilikuwa kizuri sana na Chenye majibu mazuri mno”
Rais wa TFF Wallace Karia
Raisi wa shirikisho la soka nchini, Wallace Karia amesema kuwa Kuna uwezekano wa asilimia zaidi ya 75 kwamba teknolojia ya FOOTBALL VIDEO SUPPORT itatumika kwenye msimu mpya wa Ligi.
Karia amesema wataalamu kutoka Ureno watafika mapema kwaajili ya mafunzo na majaribio.
Shirikisho la mpira wa miguu Africa CAF limetoa kalenda ya Mashindano ya mwaka 2026/27 kwa mashindano yote ya vilabu.
Hatua ya awali (preliminary) itaanza September 4-6, 2026. Fainali kupigwa May 9-30, 2027. Hii ni kwa mashindano yote mawili.
"Wana Yanga Mungu akijalia ndani ya makadirio ya miezi 18 hadi miezi 24 tutakuja kusimama hapa kuzindua uwanja huu wa Kisasa."- Eng. Hersi Said, Rais wa Klabu ya Yanga.
“Tunajenga uwanja kwa Partner ship na GSM Group ya asilimia 50/50 ya Ujenzi wa uwanja! Mradi huu utamilikiwa na Yanga na GSM kwa asilimia sawa” - Raisi wa Yanga Eng. Hersi Said
Simba hawajapoteza mchezo wowote kwenye uwanja wao wa Nyumbani wa Meja Jenerali Isamuhyo Msimu huu, mpaka sasa wamecheza mechi 5, wakishinda 4 na Sare moja.
Tarehe 3 watu wakija bila guard sijui watalia pale jeshini.
“Nimeshinda ubingwa Cameroon na nimeshinda ubingwa Botswana, nimefika hapa pia kucheza mpira mzuri ni lazima tucheze mpira mzuri na kushinda mataji msimu huu, nimeambiwa kuna miaka kadhaa haijashinda vikombe tupo hapa kushinda” Dimitr Puntev
"Sergio Ramos is overrated"..i am shocked!which generation are you people from? "Defending isnt his best attribute" hii sentensi inasemwa kwa beki ambae hakuwahi kupitwa na winga yoyote wakati wa Euro 2008 akiwa kama RB kabla haja hamia CB position.
Chapisho langu lililopita niliandika kwamba Neo Maema aliwahi kuwa mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Sundowns. Takwimu ni kwamba Maema amecheza mechi 120 kwa Misimu minne Mamelodi, ikiwa ni wastani wa mechi 30 kila msimu. Huu ni wastani wa mchezaji muhimu kwenye timu 🙌.
Spurs vs PSG Thread!
Thomas Frank set his team up in a 3-5-2/5-3-2, but rather than sitting back, he pressed PSG man to man and gave his team their best chance of winning. Lack of depth and quality cost them at the end, but a top performance nontheless.
Lets talk tactics:
"klabu ya Young Africans na yenyewe itachangia kiasi cha shillingi Million 100" Eng. Hersi siku ya Harambee
"Mchango ule ulitolewa na Taasisi ya GSM foundation iliyo chini ya mdhamini na mfadhili wetu GSM na sio pesa za wanachama " Taarifa ya Yanga Leo.
Ni kama vile Wenzetu Kenya na Uganda wamehamasika zaidi kwenda kuangalia mechi za CHAN, hata kwenye mechi ambazo hazihusu timu zao wanaenda sana viwanjani. Tofauti na sisi hata mechi yetu ile dhidi ya Mauritania mahudhirio yalikuwa hafifu sana.
Florian Wirtz: £116m/€135m, £370k/€425k p/w.
Hugo Ekitiké: £79m/€95m, £250k/€290k p/w.
Wirtz's wages quintupled, Ekitiké's quadrupled. The biggest Premier League transfer ever, the other is top 10. If another club - particularly Manchester United - did this, there would be uproar.
The way the fees have been reported, the way the wages are not a talking point at all. They have faced next to no scrutiny by comparison. Does anyone get an easier run in the media than Liverpool?
Bryan Mbeumo in the 24/25 Premier League season compared to Man Utd’s top performer in each metric:
🔘 More attempted take-ons
🔘 More successful take-ons
🔘 More carries into the box
🔘 More goal-creating actions
🔘 More shots on target
🔘 More fouls won
🔘 More crosses
🔘 More goal involvements
🔘 More non-penalty goals
🔘 More goals
🔘 More expected goals
🔘 More expected assists
The complete package. 📦