Top Tweets for #Kituo
#Kituo kinachofuata
✍️Yeriko Nyerere kurejea nyumbani -chadema kuanzia jumatatu baada ya Iddi ya Kuchinjaaaa
Esther Mwende Macharia #Queen of the airwaves yuko ndani ya #Kituo Cha Wakenya Jiunge nasi #KituoChaWakeny

Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Wakili Anna Henga amesema muendelezo wa matukio ya utekaji unaendelea kuweka hofu kwa wananchi wa Afrika Mashariki.
#mariasarungi #utekajinyara #kenya #nairobi #tanzania #voaswahili #kituo #hakizabinadamu #annahenga
Kituo kimoja cha kupiga kura katika mji wa Brooklyn Park, Minnesota chalazimika kufunguliwa siku ya Jumapili kutokana na idadi kubwa ya watu waliokuwa wanaendelea kujitokeza kupiga.
#kituo #kupigakura #Brooklynpark #uchaguzimarekani
Sikiliza mahojiano maalum na Samuel Mwangi Mmarekani mwenye asili ya Kenya ni mmoja wa wagombea udiwani huko Minneapolis.
#kituo #kupigakura #Brooklynpark #uchaguzimarekani #demokratiki #republikan #TimWalz #ilhanomar #voa #voaswahili #abdushakuraboud #samuelmwangi #udiwani
#MwitowaMaoni: Kampuni ya Tanzania States Natural Gas Holding, imeomba #Kibali cha #Ujenzi wa #Kituo cha Kujazia #gesiasilia #iliyoshindiliwa, eneo la Kunguru, Goba, Dar es Salaam. Yeyote mweye pingamizi atume @EwuraTanzania ndani ya siku 14.
#gesi #gesiasilia #maoni #pingamizi

Rais wa Rwanda, Paul Kagame alisema maneno hayo Machi 1, 2015, wakati akifungua Mafunzo ya 12 ya Uongozi wa Kitaifa
Mafunzo hayo yalifanyika katika #Kituo cha Mafunzo ya Kijeshi cha RDF huko Gabiro
#JamiiForums #AmkaNaJF #GoodMorning #JFQuotes #NukuuZaJF

#Kituo Dance moves to celebrate 50th Anniversary of Kituo cha Sheria... we worked hard on legal aid, public interest litigation, advocacy and partied hard!

#Kituo cha Sheria celebrated 50 Yrs Golden Jubilee as it was formed in 1973 by the first University of Nairobi law class. Kituo alumni attended. Rtd Judge Juma a founder, shared rich history alongside SC Khaminwa & former ED Jane. I hope to be there at 100th, Long live Kituo!

KITUO is conducting a three days’ research validation workshop from 25th to 27th October 2023 at Jakaranda Hotel,Nairobi to validate a grounded evidence based research and learning on enhancing the impact of legal empowerment programs in Africa. #kituo@50 #paralegals @IDRC_CRDI

Trending in my timeline now: #NFT (3) #Bot (2) #Maaen (1) #Boston (1) #NFTShillhttpstco1umdRGjuFl (1) #TikTok (1) #Kituo (1) #ArushaFlorida (1)

Wakili ambae pia ni Mratibu wa #Kituo cha #Sheria na #Haki za #Binadamu (#LHRC) Jijini #Arusha, Hamisi Mayombo akitoa huduma ya Msaada wa Kisheria kwa Wakazi wa Maeneo ya Viwanja vya Mbauda, pamoja na hilo LHRC inashiriki katika #WikiYaAzaki2022 #CSOWeek2022

Huduma za Msaada wa #Kisheria zinazotolewa na #Kituo cha #Sheria na #Haki za #Binadamu (#LHRC) zinaendelea katika #Halmashauri ya #Manispaa ya #Mpanda ofisi za kata ya Makanyagio.
#Miaka27YaLHRC

Askari wa kuzuia ghasia wapelekwa katika kituo cha IEBC
https://t.co/ldQzppEsxc
#uchaguzimkuukenya
#uchaguzi2022
#IEBC #kituo #voa #voaswahili
Kituo cha ugaidi chagunduliwa nje ya Kampala
https://t.co/vTSwetkCFv
#Kituo #ugaidi #Kampala #Uganda #utegenezajimabomu #voa #voaswahili
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers






























