Top Tweets for #LESENI
#MwitowaMaoni:MTU yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusu maombi ya kubadili majina na leseni kutoka TSN Oil Limited kwenda Melaka Oil Limited, atume @EwuraTanzania ndani ya siku 14 tangu kutangazwa taarifa hii.
#maoni #pingamizi #leseni #mwito #udhibiti #nishati
#EWURAUpdates

#VituovyaCNG: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeomba vibali vya ujenzi wa vituo vya CNG. Yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusu maombi haya atume kwa maandishi @EwuraTanzania ndani ya siku 14.
#maoni #pingamizi #leseni #udhibiti #nishati #gesiasilia #rahisishamaisha #CNG

#LESENI: Mafundi umeme wote nchini wahakikishe wana leseni za ufungaji mifumo ya umeme zinazotolewa na @EwuraTanzania kwa mujibu wa Kifungu cha. 8 (h) cha Sheria ya Umeme,ra Na. 131.
Mkoa wa #Tabora unapiga vita mafundi vishoka,kwa kutowapa kazi za ufungaji umeme hadi watakapokuwa na leseni husika .
Katibu Tawala mkoani hapo, Dkt John Mboya amesisitiza suala hilo wakati wa semina ya #EWURA kwa wataalam na wadau wa #umeme 150, iliyofanyika mjini Tabora, Septemba 17.
#MwitowaKutoaMaoni: Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye #maoni au #pingamizi kuwa mwombaji aliyetajwa hapa chini kwamba asipewe #leseni au #kibali cha ujenzi, awasilishe pingamizi hilo kwa @EwuraTanzania ndani ya siku 14 kuanzia tarehe ya kutangazwa taarifa hii kupitia anwani tajwa hapa chini.
Mkurugenzi Mkuu
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji, Jengo la EWURA,
3 Mtaa wa EWURA, 41104 Tambukareli
S. L. P. 2857, DODOMA.
Baruapepe:[email protected]
Huduma kwa Wateja 0800110030
#mwitowamaoni #toamaoni #toamaoniyako #pingamizi #maombiyaleseni #leseni #ujenzi #vibali #vibalivyaujenzi #petroli #miundombinu #miundombinubora #vituo #vituovyamafuta #ewura #udhibiti #udhibitiubora

#LESENI: @EwuraTanzania leo imewataka wananchi kutumia maonesho ya Nane Nane kupata elimu kuhusu haki na wajibu wao, utaratibu wa kuwekeza kwenye vituo vya mafuta vya gharama nafuu maeneo ya vijijini na mafundi umeme kuomba leseni EWURA ili kufanya kazi kwa mujibu wa sheria.
#NaneNane #NaneNane2024 #wakulima #wafugaji #wavuvi #leseni #umeme #vituovyamafuta #vijijini #haki #wajibu

#LESENI; Zaidi ya wanafunzi 500 wa #VETA Kongwa, Kihonda na Mikumi wamepatiwa mafunzo na #EWURA kuhusu utaratibu wa kuomba leseni za usanikishaji mifumo ya #umeme kwa lengo la kuhakikisha #usalama, #ubora wa huduma na utekelezaji wa matakwa ya #sheria.
Maombi ya leseni hizo hufanyika kwenye mfumo wa #LOIS, uliopo https://t.co/2inA1qFKt9, mwombaji anapaswa kuambatisha cheti cha mafunzo, picha ya pasipoti, kitambulisho (kura, NIDA au leseni ya udereva) na wasifu (CV).

Leseni ya uchimbaji madini haitolewi kwa mtu au kampuni yeyote katika maeneo ya hifadhi, maeneo ya mbuga za wanyama, maeneo ya utawala au maeneo ya vyanzo vya maji hata kama yakiwa na madini ya umuhimu kiasi gani #thamanimadini #madininimaishanautajiri #leseni

EWURA YARAHISISHA UPATIKANAJI LESENI YA UFUNDI UMEME
Mhandisi Mwandamizi wa #Umeme @EwuraTanzania,Nicholaus Kayombo amesema #EWURA sasa imerahisisha utoaji leseni za usanikishaji mifumo ya umeme kwa kuboresha mfumo wake wa #LOIS unaotoa huduma za #leseni kwa njia ya #kieletroni.
Mha. Kayombo alieleza hayo, Jumatano, tar 31. 01.2024, wakati akitoa elimu kwa wanafunzi wanaosomea usanikishaji mifumo ya umeme katika Chuo cha Elimu ya Ufundi Stadi -VETA Iringa, ambapo aliwasisitiza kupata leseni hizo kutoka EWURA pindi wanapomaliza masomo yao ili kukidhi matakwa ya #Sheria, #usalama na #ubora wa #huduma.
Alisema kutokana na mahitaji ya leseni hizo kuongezeka, EWURA imeboresha zaidi huduma zake #kidijitali na sasa mtu yeyote mwenye #elimu ya umeme anaweza kufanya maombi, malipo na kupokea leseni kiganjani mwake kupitia barua pepe yake bila kulazimika kufika ofisini.
“ Mfumo wa LOIS unapatikana kwenye tovuti kupitia www. https://t.co/LxHpW2gsLV; na ni rahisi kuutumia, ingia, jisajili, omba na pokea leseni,”alisema.
Afisa Huduma kwa Wateja EWURA Kanda ya Kati, Bw. Juma Singano, aliwaeleza wanafunzi hao kuwa EWURA inao utaratibu mzuri wa kupokea na kushughulikia #malalamiko yanayotokana na huduma zinazodhibitiwa, hivyo wanapokuwa na malalamiko wayawasilishe ili kupata suluhu.
Mratibu wa Mafunzo VETA Iringa, Bw. Edmund Enugu litoa shukrani kwa EWURA na kuomba #mafunzo ya aina hiyo kuwa #endelevu.

Kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania @TCRA_Tz
Taarifa kwa Umma: UTOAJI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO BILA LESENI
#tcratz #cybersecurity #internet #isp #datacentre #licence #leseni

Didem ile birlikte hazırladığımız Yakup Kadri’yi ve eserlerini farklı açılardan ele alan 512 sayfalık, çoğu ilk defa ortaya çıkan görsellerle, arşiv belgeleriyle zenginleştirilmiş kitabımız çıktı. Başta Murat Belge olmak üzere katkıda bulunan herkese şükranla.

umesema kweli haya ndio MADHAIFU @ccm_tanzania inatakiwa kuyafanyia kazi huyu ana LESENI ameshindwa kuwa Regulated na kusimamiwa tuna TATIZO kubwa la CONSUMER protection sio Kwa watu kama Mr KUKU kuanzia USAFIRI na USAMBAZAJI ... koootr tunanyonywa tuu #LESENI zipewe umuhimu
@earadiofm @HusseinBashe Kama nchi tunashida sehemu ... Kwa sababu Serikali ingeweza kumuongoza Mr kuku katika mstari tangu mwanzo na kuhakikisha anafuata taratibu na baadae kuongeza idadi ya mabilionea, instead tunajitahidi kumuua... Nani ametuloga?
FAHAMU SHERIA ya Jumatatu hii inatusihi ulazima wa dereva kuwa na leseni halali ya udereva kwa daraja la gari analoendesha. #sheriakiganjaniapp #legalgurus #legaltech #justlers #fahamusheria #sheriakiganjani #sheriayabarabarani #leseni #halali

...huhitaji wafanya kazi wengi kukusanya KPDI ila USAJIRI mxuri wa BIASHARA #LESENI na MABENKI #SECURITY notice na rekodi za Kodi zitumwe kwenye akaunti za BENKI @bajabiri @darmpya_ @MabalaMakengeza @TRA @brela_tanzania @BOT @saitech_hack @SamiaZone @ViwandaBiashara

Leo ni siku ya usalama wa chakula duniani, nikiwa na @TBConlineTZ na @tafst1993 mapema leo tumekubaliana kua Usalama wa chakula ni jukumu letu sote #nawamikono mara kwa mara. #kiporo ni #kitamu ila ukila bila kupasha vizuri una hatari ya kuendesha/kupata #leseni express

@SamiaZone @TZWaziriMkuu @KassimMajaliwa_ @dr_mpango ROYAL tour iendane na Upangaji nguvu kazi #LESENI huduma na bidhaa hoteli na manunuzi ya wakulima wetu ,migodi na maonyesho ya madini ni FURSA kupanga SOKO na kupata manufaa Kwa watu wa kawaida ndio malipo ya BILIONI 7
@shayohill @dr_makame @Hakingowi @daudajerry53 @SuluhuSamia @ridhiwankikwete @jmkikwete Absolute we lag behind in alot tuna mambo memngi na hatujajipanga JITIHADA Wala NGUVU kazi kuhakikisha tunavuna na kutunza Kwa Hali mbaya zijazo #LESENI #MAGHALA #UZALISHAJI #SOKO chain of supply
Last Seen Hashtags on Sotwe
bokepjilbab
rule34ㅤㅤㅤ
Seen from France
窒息
Seen from United States
MGAI
คลิปโป๊ฝรั่ง
Seen from Thailand
anxiouspanda
Seen from United Kingdom
ExtremeOrgasm
Seen from Malaysia
minichatt(*)(******)**** filter:videos
Seen from Sweden
mgai(*) + filter:native_video
Seen from Canada
trabzongay
Seen from Turkey
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers























