Top Tweets for #Lindakura
Sativa,
1. @ACTwazalendo itaendelea kutekeleza mkakati wake wa #LindaKura. Tunaamini ni mkakati effective. Tutauhuisha kwa kuwahamasisha zaidi wananchi. Hatutafanya makosa ya kuwasusia CCM.
2. SUK Zanzibar ipo kikatiba. Ni matokeo ya mapambano ya upinzani Zanzibar.
Juzi kwenye kongamano ambalo alikuwepo Father KITIMA, MWABUKUSI, DR ULIMWENGU na wengine nilisikia swali la "Naibu Katibu mkuu wa ACT WAZALENDO" jina limenitoka.
Alijenga hoja yake huku akiuliza swali kwa masikitiko makubwa kwamba "Taifa halina UMOJA kwasababu kuna kundi fulani akimaanisha CHADEMA wanaonekana kutetewa sana na hawa wazee (Wakina Mwabukusi) kiasi cha kufanya wao waonekane kama wakiwa na huku wao pia wana hoja zao za kudai HAKI zinapuuzwa hazipigiwi kelele kama ZA WENGINE (CHADEMA)".
Wazee sikuwasikia wakimjibu huyu dada acha leo niwajibie WAZEE WANGU KWA NIABA HAPA.
ACT WAZALENDO hayupo atakaewasaidia kupaza sauti kudai haki yenu ya kudai "VITI MAALUMU BUNGENI" kwasababu ule uchaguzi ulipingwa na WATANZANIA wa makundi YOTE.
Kuungana na nyie kudai haki yenu ni kuhalalisha MAUAJI ya ndugu zetu MO29. Kwakuwa mlituaminisha MTALINDA KURA endeleeni na mapambano yenu hata VITI MAALUMU mpiganie msitupigie kelele.
Leo wamepitisha JINA LA "MAKAMU WA RAISI WA KWANZA ZANZIBAR" kama sehemu ya Maridhiano yao na masisiemu, hapa Mwinyi akikataa hilo JINA wataanza kulilia wakina MWABUKUSI wawasaidie kupigania haki yao huko Zanzibar kwamba jina la mtu wao limekataliwa.
Siasa zenu za kushikamana na MASISIEMU kama CONDOM YA MASISIEMU hizo ndio zinafanya watu wasione umuhimu wa kuwapigania kwasababu kila kona nyie mmeshikana na MASISIEMU.
Nyie mnastahili KUPUUZWA KILA SIKU kwasababu siasa zenu hazina AFYA kwa wananchi ila zina afya kwa MASISIEMU hizo sisi tumezikataa na mtaendelea kuona CHADEMA inabebwa sana na wananchi kwasababu wapo na hoja za WANANCHI KILA SIKU.
CHAMA KINATUMIKA KAMA PEDI ZA SAMIA๐ฎ

@Mabonga_254 Bomas naye hatutambui...Polling stations results ndio kusema..
ile upishi inaendeleaga uko kwanza after the "upgrades" ... #LindaMwananchi #LindaKura

Oktoba 2030 uje tuungane ku #LindaKura
Tuanze mapema kuwaelimisha na kuwahamasisha wananchi wajue maana ya ku #LindaKura
Wajue ni jukumu na wajibu wao kulinda haki zao. Kupigania Demokrasia. Kupigania uchaguzi wa kweli na haki. Ni wajibu, lazima tuufanye. Hakuna short cut.
Imagine hii ni comment ya MTANZANIA kwenye post ya Lema pale instagram.
Bro watanzania wanaakili kinoma, watu sio wajinga TENA BRO TRUST ME. ๐๐๐๐

@yoyachris1 @IEBCKenya is a criminal enterprise for the Butcher. We won't allow it as Kenyans.
@WilliamsRuto should know that #Wantam is inevitable โ๐พ
@OkiyaOmtatah has been calling them out for their dubious political rhetorics
@KTNNewsKE @AJEnglish @BBCAfrica @CNN
#RutoMustGo
#LindaKura
@moneyacademyKE Seems like he's planning kujiapisha ๐คก.
Here me out, @WilliamsRuto @StateHouseKenya whatever evil you & your rogue minions are planning next year will not succeed. Not in the current Kenya, we'll be there. โ๐พ๐ฐ๐ช
#RutoMustGo
#Wantam
#PeoplePower
#LindaKura

@SingoeiAKorir The butcher from sugoi is a sponsor of violence & poverty. Save us from this nonsense show-off being perpetuated by this rogue regime.
#RutoMustGo
#Wantam
#PeoplePower
#LindaKura
https://t.co/ubENnuT4XY
Turkana residents accuse President William Ruto of fueling banditry in the area to gain access to the oil reserves in the region.
@Calveen01 Imagine seeing Burundians in the voters' queue; that's the moment they'll make real enemies in Kenya.
You can't be a foreigner helping the butcher from sugoi try to have another term to kill, maim & extort us again. โ๐ฐ๐ช
#RutoMustGo
#Wantam
#PeoplePower
#LindaKura
@Smurf_Nita Me too ๐ But the task ahead requires all possible votes & kwa-ground is clear. At least Sifuna shares Maraga's constitutionalism focus.
I hope Maraga himself, and his #Ukatiba & #LindaKura drives are incorporated in Sifuna's campaign. We need all hands on deck for this one.
A free and fair election is the cornerstone of democracy. The will of the people, as expressed at the polling station, must be final. #LindaKura

#LindaKura is what we need in 2027
We shall guard our votes in 2027 polls by all means. No amount of intimidation shall make us surrender.
@DrRoselynAkombe You can say that again @DrRoselynAkombe
I can't wait to witness the very first #wantam president of Kenya.
#Lindakura
@IEBCKenya Kutoka leo tumejua siri. Siri ni kupiga kura na kuilinda. Hii mambo ya kuenda nyumbani ndo hatutaki sasa. 2027 hakuna kulia tena ati kimeibiwo ๐ฏ.
#LindaKura
@dkmaraga @UGMParty ๐ฏ Hard core DEMOCRACYโผ๏ธ
Ol Kalou conducted their elections DESPITE IEBC, not because of. That was an election of the people, by the people, for the people. Indeed #LindaKura
#WANTAM #RutoMustGoNow

Walijaribu ku disrupt na violence ndio wa access election centres wafanye ballot stuffing ikashindikana. Walijaribu violence ndio wakuwe na chance ya a disputed election watu wakakataa ukora kabisa. The real numbers bila meddling imeonekana peupe Ol Kalau. Vox Populi. #LindaKura
@dkmaraga @dkmaraga > Thank you Sir...
Watching Ol kalou yesterday convinced me of one thing:
When wananchi make up their minds, no amounts of pressure can rewrite their decision
#LindaKura
Yesterday, in the face of intimidation and threats, the people of Ol Kalou stood firm and expressed their sovereign will.
Their courage reminds us that a people determined cannot be bought or silenced.
In the coming weeks, we will be launching #LindaKura, a bold initiative to affirm the High Court ruling that election results as announced at the polling station are final.
Thank you, Ol Kalou.
#LindaKura
Ol Kalou is akin to 2005 Referendum, a precursor to a crushing electoral defeat for an obstinate regime. The difference between 2007 & 2027 is the will of the people will not be altered/stolen ~ making Ruto a Wantam mistake never to be repeated. #LindaKura & #Ukombozi are loading
I applaud the people of Ol Kalou, who endured intimidation with more courage than the state showed them protection, for standing firm.
Their ordeal in the face of this dictatorship has set the standard for popular resistance to electoral manipulation.
I have sat as Chief Justice of this Republic and adjudicated on what a free and fair election means. I will not now stand by and watch that standard be quietly buried ahead of the 2027 elections.
Ol Kalou was not a local contest. It is a rehearsal for 2027, and Kenyans must see it as such. In the coming weeks, my campaign will launch the #LindaKura initiative to consolidate the gains in the High Court ruling confirming that elections as announced at the polling station are final #ukombozi @UGMParty @Maraga27

@citizentvkenya @kipmurkomen please stop blowing smoke up our collective arses. Masked men in prados, with guns can only come from govt and be sanctioned by govt. If it walks, talks and smells like a duck it must be one. #LindaKura
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.9M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers



















