Top Tweets for #LoveSoundsDifferent
Kuna ubishi unaendelea mtaani baina ya @marioo_tz na @barnabaclassic kuhusu tuzo ya album bora ya mwaka 2023 ambayo ilikwenda kwa Barnaba kupitia album ya #LoveSoundsDifferent, lakini Marioo hakuridhishwa anaona album yake ya #TheKidYouKnow ndio ambayo ilipaswa kubeba tuzo hiyo.

TOP 10 ALBUMS ON BOOMPLAY TANZANIA AUGUST 2023
1. #MadeForUs - Harmonize
2. #Khan - Mbosso
3. #LoveSoundsDifferent - Barnaba Classic
4. #YourGrace - Mireille Lasme
5. #BoyLone - Omah Lay
6. #HighSchool - Harmonize
7. #FlowersIII - Rayvanny
8. #OnlyOneKing - Alikiba
9. #LoveDamini - Burna Boy
10. #TheLifeAndTimesOf50thBirthdayEdition - Lucky Dube
#ChartsTanzania
TOP 10 ALBUMS TANZANIA ON BOOMPLAY JULY 2023
1. #MadeForUs by Harmonize
2. #Khan by Mbosso
3. #LoveSoundsDifferent by Barnaba Classic
4. #FlowersIII by Rayvanny
5. #BoyAlone by Omah Lay
6. #Zawadi by Paul Clement
7. #Timeless by Davido
8. #HighSchool by Harmonize
9. #ThKidYouKnow (Deluxe Edition) by Marioo
10. #LoveDamini by Burna Boy
#ChartsTanzania
BOOMPLAY MUSIC TOP 10 ALBUMS TANZANIA MAY 2023
1. #MadeForUs by Harmonize
2. #Khan by Mbosso
3. #LoveSoundsDifferent by Barnaba
4. #TheKidYouKnow (Deluxe Edition) by Marioo
5. #BoyAlone by Omah Lay
6. #ThreeHearts by Yammi
7. #TheKidYouKnow by Marioo
Track ya 10 kutoka kwenye album "Love Sounds Different'' ya @BarnabaClassic akiwa na @Realjaymelody wanakwambia ''Only You''.
Je verse ya nani umeikubali zaidi?
#BongoFleva #BarnabaClassic #LoveSoundsDifferent #JayMelody #OnlyYou
Watch now βOnly Youβ Brand new Video by @BarnabaClassic feat @Realjaymelody π₯Track No.10 from the Album LoveSoundsDifferent on YouTube, EnjoyπMziki mzuri.
Cc @Mziiki
#LoveSoundsDifferent
#Sayuni, wimbo wake @BarnabaClassic akimshirikisha @joellwanga .
Unamshukuru Mungu kwa jambo gani leo?
#LoveSoundsDifferent
#OngeaUsikike
Chupa jipya ''Sayuni'' kutoka kwa Mopao @BarnabaClassic akiwa na @JoellwagaMusic ikiwa ni track ya 17 kutoka kwenye album yake ya ''Love Sounds Different''.
Vipi Barnaba akibaki katika muziki huu?
#BongoFleva #Barnaba #JoelLwaga #Sayuni #LoveSoundsDifferent
Nafikiriki hakuna mjadala juu ya lile swali la ALBUM BORA YA MWAKA! π€
#lovesoundsdifferent
made to stand with anticipated winner today, Barnaba Classic !

Gani ndio kali miongoni mwa hizi kutoka +255 Tanzania?
1. #LoveSoundsDifferent album (Barnaba Classic)
2. #FirstOfAll EP (Diamond Platnumz)
3. #Khan EP (Mbosso)
4. #MadeForUs album (Harmonize)
#OngeaUsikike

#Hunitaki, wimbo wake Barnaba Classic akimshirikisha Mbosso kutoka kwa albamu yake #LoveSoundsDifferent. Enjoy.
#OngeaUsikike
New music video, Marry Me by @BarnabaClassic feat @marioo_tz is now on YouTube π¬πΌ Enjoy the Album Audios by streaming on your favorite music platforms worldwide π
#LoveSoundsDifferent
#BarnabaXMarioo
#mziikifamilyπΌ
Mopao @BarnabaClassic ameshatia timu hapa #Sawasawabaytz kuzihesabu ngoma zote kali zilizoingia kwenye chart ya #BongoFlavaTop20 na hapa anakwambia kwenye albamu yake ya #LoveSoundsDifferent wimbo wake pendwa ni Sayuni aliomshirikisha @JoellwagaMusic.

Love Sounds Different bado inafanya vizuri sana kwenye App ya Boomplay π₯ , @BarnabaClassic anakukumbusha kusikiliza wimbo wako pendwa kutoka kwenye Album yake .
#HomeOfMusic #LoveSoundsDifferentππ₯
Check out Hadithi TikTok version of
#ππ’π©ππ¦π’π¨π‘ππ¦ππππππ₯ππ‘π§ Album. Share your challenges by tagging @barnabaclassic and @mziiki @diamondplatnumz
#mziikifamily
#mopao #lovesoundsdifferent #kenyamediatour #barnabaclassic #18zabarnaba #mopaoontop #tanzaniamusic
Yesterday was a good vibe at @kentwoodaddress @alexxgn w/ the OGs @barnabaclassic #LoveSoundsDifferent x @cedo_kadenyi #Ceduction.
Check their bio and stream these 2 amazing albums. https://t.co/g9qAW6HqIH
#Mzuri, wimbo mpya wa @BarnabaClassic kutoka kwa albamu yake ya tano #LoveSoundsDifferent. Unaupa alama ngapi?
#OngeaUsikike
Tutakuwa na msanii kutoka Dar @BarnabaClassic mapema leo ndani ya Bustani la MJ. Amekuwa kwenye tasnia ya muziki kwa miaka 18 na ametoa albamu mpya juzi #LoveSoundsDifferent. Safari yake imekuwa vipi? Usikose mahojiano naye @MassaweJapanni.
@_naomnyaboke #ILIKUAJE #JamboMassawe

our top picks for the month of August
@fireboydml #Playboy
@BarnabaClassic #LoveSoundsDifferent
@BNXN #BadSince97
@MI_Abaga #TheGuy
@Badboyranking #TrenchKid
@Officialchike #TheBrothersKeeper
@drizilik #Ashobi
@itsrunda_ #Runda
@blxckie___ #4LUVDel
@Nomfundo_Moh #AmagamaDeluxe

Watch now Track number 01. from #LoveSoundsDifferent Album {HADITHI} Official Music Video by @BarnabaClassic ft. @DiamondPlatnumz on YouTubeπ₯
#LoveSoundsDifferent #Hadithi
Last Seen Hashtags on Sotwe
ipcam since:2026-09-08 until:2026-09-20 filter:media
Seen from Brazil
AIηε§
Seen from Thailand
mgai(***********) +filter:native_video
Seen from Turkey
ImACeleb
Seen from United Kingdom
krishnaservices
Seen from United States
orianistas
Seen from Italy
cheat()******************************************** filter:native_video
Seen from India
brosis
Seen from Poland
η΄η·ζ»‘倩ι£
Seen from Japan
jyothikahot
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.6M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers










