Top Tweets for #Lukamba
Videographer na msanii @lukambaofficial amewakumbusha wabunge kuwa kama hawakutimiza majukumu waliyotumwa na wananchi basi wajiandae kuachana na ubunge kwasababu hawajatimiza majukumu yao
Kupitia insta story yake #Lukamba ameandika................."Wabunge wote ambao mmeshindwa kufanya kazi tulizo watuma nakwambia dawa yenu ipo,tutawanyoosha mwaka huu maana mnaona kama mnatusaidia wakati ni wajibu wenu kufanya kazi nasemaje huku maskani tuna viti vyenu"
✍️ @mkogoty
#EastAfricaTV #HainaKuchoka #TogetherTunawakilisha #NchiIkoBusy

#BURUDANI Suma Mnazaleti akijibu kuhusu #DiamondPlatnumz #BabuTale na #Lukamba kama ikitokea kutumika kama ushahidi wa kesi zinazomkabili #Diddy.
#Trending #DiamondPlatnumz #Diddy #SumaMnazaleti
#EntertainmentWire Mpiga Picha Wa Msanii @diamondplatnumz #Lukamba Asimulia Mazito Walipomtembelea #Diddy Nyumbani Kwake Yeye,Babu Tale Na Diamond.
Full Story Ipo Kwenye YouTube Ya ‘Channel V Tanzania’ Usikose Kutufuatilia Kila Wakati.
#ChannelVUpdates
#EntertainmentWire
#BURUDANI Hebu tuambie unaitazama show ya mahakama kuu ya burudani #FridayNightLive ukiwa pande gani?
Cc: @tbway360 @billsepengaa
#FridayNightLive #FNL #Lukamba #DiamondPlatnumz #Harmonize
#BURUDANI Lukamba Official kuhusu Milioni 50 kwa #DiamondPlatnumz na #Harmonize ili kufanya nao Collabo.
#FridayNightLive #FNL #Lukamba #DiamondPlatnumz #Harmonize @tbway360 #Billsepengaa @conniebeily
#BURUDANI Sikia mpenzi wa zamani wa Lukamba Unstoppable Pendeza akitaja majina ya watu ambao wanarogwa na #Lukamba ili wafukuzwe kazi WCB.
#FridayNightLive #FNL
#TrendingNow : Diss Track ya msanii @lukambaofficial imemfikia Rapa kutoka Nchini Kenya @khaligraph_jones na amekumbushia tukio alilopigwa na #Lukamba kipindi ni Mpiga Picha wa Staa wa Muziki @diamondplatnumz kuwa alipiga picha na staa huyo lakini Lukamba alihitaji pesa ili amtumie picha hizo.

#BURUDANI Msanii na mpiga picha @lukambaofficial akizungumzia ushkaji na kazi kati ya msanii na Producer suala ambalo linafanya wasanii kufanikiwa na ma-Producer maisha yao kuwa ya kawaida.
#PlanetBongo #Lukamba #Producer #Artist
#BURUDANI Mpiga picha na msanii kwa sasa @lukambaofficial anasema aliwahi kurekodi video ya msanii @iamlavalava ambayo ilikuwa ni cover ya wimbo wa @diamondplatnumz kwa Tsh 2500 tu.
Lukamba anasema video ilimfanya kupata dili la kufanya kazi na #Diamond
#Lukamba #Lavalava #WCB
#BURUDANI Mpiga picha maarufu na msanii wa BongoFlava @lukambaofficial amefunguka kuwa muziki una pesa zaidi na amewekeza nguvu kubwa zaidi kwa sasa kwenye muziki.
#Lukamba #BongoFleva #Picha
Funskool 🎬 ........
#malkiawanyuki #InterPorto #barakazamilele #maulidkitenge #Creator #lukamba #joma

#FridayNightLive Msanii @lukambaofficial anakwambia anatumia tsh. milioni 4 kwa siku pale anapotoka kwenda kula bata na timu yake.
Video kamili ipo youtube channel ya @EastAfricaTV
Cc @lesa_sid #Billsepengaa #Burudani #FNL #Lukamba #EastAfricaRadio
#FridayNightLive Lukashi @lukambaofficial amenyoosha maelezo sababu za kuondoka kwa msanii @diamondplatnumz.
Video kamili ipo youtube channel ya #EastAfricaTV
Cc @lesa_sid #Billsepengaa #Burudani #Lukamba #FridayNightLive #FNL
#FridayNightLive Msanii @lukambaofficial ameweka wazi kuwa hawezi kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye hana pesa kwa kuwa yeye ni star na handsome.
Video kamili ipo youtube channel ya #EastAfricaTV
Cc @lesa_sid #Billsepengaa #Burudani #Lukamba #FridayNightLive #FNL
ENTERTAINMENT ‼️LUKAMBA AMETANGAZA RASMI KUJA NA APP YA #LUKASHNET 💰AMBAYO ITAKUWA NI KWA AJILI YA KUWEKA MOVIES 🎥 MBALIMBALI AMBAYO ITASAIDIA KUWAINUA VIJANA MBALIMBALI.
-
Je⁉️Unadhani ubunifu 🤔wa Lukamba utasaidia vijana katika soko la kujiajiri ⚠️ comment 👇👇
-
#lukamba

Samedi 22 octobre 2022 pour le grand rendez-vous du dialogue féminin autour du cancer de l'enfant en RDC.
#Mythe ou #Réalité?
Avec le Professeur Docteur #Robert #LUKAMBA, pédiatre oncologue.
@helplesschildr2
@NELLYTSHELAMUT

Last Seen Hashtags on Sotwe
بنوتي
Seen from Egypt
outdoor sục
Seen from Vietnam
棉花糖女孩
Seen from Egypt
근친
Seen from Korea
minichatt()******************* * filter:native_video()
Seen from Peru
shemale
Seen from Turkey
trixietang
Seen from Mexico
anxiouspanda
Seen from United States
스멜타킹
Seen from Korea
abgcolmek
Seen from Indonesia
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers











