Top Tweets for #BabuTale
#BURUDANI Suma Mnazaleti akijibu kuhusu #DiamondPlatnumz #BabuTale na #Lukamba kama ikitokea kutumika kama ushahidi wa kesi zinazomkabili #Diddy.
#Trending #DiamondPlatnumz #Diddy #SumaMnazaleti
#BURUDANI Sauti ya Shariif @Official_QChief akifunguka alichofanyiwa na staa wa muziki #DiamondPlatnumz mpaka kuandika ujumbe mzito kwenye page yake ya Instagram.
#PlanetBongo #QChief #DiamondPlatnumz #BabuTale #WCB
#VIDEO Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, @BabuTale akichangia mchango wake bungeni kuhusu bajeti kuu ya serikali.
Video kamili ipo youtube ya #EastAfricaTV
#Bungeni #BabuTale #YangaSC #Mayele #WaziriMwigulu #Dodoma #Michezo
#eNewz imepiga story na Hamisi Wa BSS ambaye amepostiwa na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki na Meneja wa #DiamondPlatnumz @BabuTale
Hamisi amesema hawezi kula na kuoga mpaka atakapoonana na Mbunge huyo kwa kile alichomfanyia.
#eNewz #BabuTale #DiamondPlatnumz
Msanii wa BongoFleva Hamisi Wa BSS amefunguka anavyojisikia baada ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki na meneja wa WCB @BabuTale kushea post yake kwenye page yake ya Instagram akiimba live na gitaa.
#PlanetBongo #BabuTale #WCB #HamisBSS
Msanii Steve Nyerere amemshauri Mbunge @BabuTale kuacha kujiita daktari baada ya Spika wa Bunge kuzungumzia suala hilo Bungeni.
Hii ni Off Air ya #PlanetBongo ndani ya #EastAfricaRadio leo kutoka kwa @MsafiRich
#BabuTale #SteveNyerere
#BURUDANI Msanii @lonymusic amefunguka kuhusu orodha ya wasanii bora aliowataja Mbunge wa Kusini Mashariki Mhe @BabuTale
Hii ni #eNewz ya #EastAfricaTV kila siku ya J3 mpaka Ijumaa saa 11:00 jioni.
#eNewz #BabuTale
Kwa mujibu wa #Babutale wasanii waliongia kwenye mkeka huo ni pamoja na Diamond Platnumz kwenye nafasi ya kwanza akifuatiwa na Zuchu, Mbosso, @officialnandy, @rayvanny, Marioo, @harmonize_tz, Jux, Jay Melody na Lava Lava.
Nini maoni yako kuhusu orodha hii ya Mbunge Babu Tale?👀

Nikiwa kama KADA wa CCM niko tayari kutoa kidogo nilicho nacho kumchangia #BABUTALE kwenye deni analo daiwa na Ustaadh PONDA . ..! Tuungane wana muziki tumsaidie mdau wetu kwenye mzuki . Tusitazame mapungifu yake . TUMSHIKE TALE

About last night @smadelounge @diamondplatnumz @iamSMADE @babutale #AfricanKings 👑👑👑🤍
#smadelounge #simba #viplounge
#Diamond #Babutale @Smadeevents

#DiamondPlatnumz #Manager, #BabuTale,loses baby mama, two years after Wife's death.
Despite losing his cherished mother of his kids, he still thanked God for the tests & challenges he has faced over time asking Him for strength & provision for his kids
#KeepItKiss #AllDayEveryDay

Usiku huu #BabuTale ametembelea hapa Chinangali Park kuja kuona vijana wakionesha uwezo kwenye #CRDBBankTaifaCup 🏀🏀🏀🏀 wakiwa wamependeza kits kutoka #JustFit .
Tukutane kesho.
📸 By #TVE na @EfmTanzania

@athanas_pius Naongea kama Mjomba Diyamondi... Nilimwambia Asiyende na #BabuTale kule Ona sasa kamvalisha Lubega Alyemwambia kuna maonesho ya kimasai Ninani!...😩😩

Last Seen Hashtags on Sotwe
bellypunch
Seen from United States
teentwerk
Seen from United States
anxiouspandq
Seen from Argentina
榎木海帆
Seen from Brazil
ยืนฉี่
Seen from Thailand
nilmonze
Seen from Switzerland
monkeyappwins
Seen from United States
voile suce
Seen from France
今宵インストアLiveで盛り上がってる
Seen from United States
loanluan
Seen from Vietnam
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers
























