Jumuiya ya Africa mashariki kuna Rais wa jamuhuri ya Kenya halafu kuna Nyapara mkuu wa ngome ya Tz, Nyapara mkuu ngome ya Uganda na Nyapara mkuu ngome ya Rwanda.
Ni juzi tu nimetoka kuandika hapa kuwa askari wa TZ uwezo wao ni mdogo na hawawezi kumdhibiti mshukiwa bila bunduki. Tayari huko K/njaro askari kauwa mtoto aliyekuwa anachunga ng'ombe kwenye hifadhi. Wakati huo mtoto hakuwa ni silaha yoyote zaidi ya fimbo ya kuongozea ng'ombe.
Hii kwa kikurya inaitwa Iliyugu na kuna mwenzake tena anakua hivi hivi anaitwa ilinyagiswa. Zamani bibi yangu akikutengenezea hiyo kitu na ugali wa mhogo umechanganywa na mtama inakua balaa kubwa sana.
Kumbe Mzee alikuwa anacheza pool? ๐ Nakumbuka eti Magufuli alipiga marufuku vijana kucheza pool! Tumepitia mengi!
Love this rare photo of Mwalimu Nyerere taking some down time!
I really would have loved to be a fly on the wall here ๐
#ChangeTanzania#TutaelewanaTu
Kwanza nawapongeza wananchi wa Sri Lanka kuchukua hatua madhubuti kuiondoa serikali ambayo ilikuwa mwiba kwao. Bongo zamu yenu inakuja. Mmefanikiwa kuwafanya watz wawe waoga kwa kuwatishia na vyombo vya dola, lakini hawakuwa waoga siku zote. Kuna siku mtakimbia na malapa ikulu.
Nini maana ya kustaafu? Mtu kastaafu asubuhi hata pesheni hajachukua jioni anateuliwa na kupewa cheo kingine. Maelfu ya vijana wanamaliza vyuo hawana kazi. Kibaya zaidi mzee kateuliwa kwenda kuongeza nguvu Ngorongoro. Endeleeni kuzingua ila kuna siku kitanuka mtatafuta pa kutokea
Kwenye bunge la katiba Msigwa alishawahi kusema; "Haki za watu zinapokanyagwa halafu ukakaa kimya tafsiri yake na wewe upo upande wa wanaokanyaga haki hizo". Leo Msigwa yupo upande wa wanaokanyaga haki za Maasai Loliondo. Ni wazi Msigwa hakujipanga kuishi upinzani bila ubunge.
Nina tamani Tanzania tuwe na Bunge.Katika hali kama hii Ngorongoro wangekuwa na sauti yao ndani ya Bunge.Damu itanena siku moja Tanzania , hali itakuwa mbaya sana.
Jana bungeni spika wenu alingโaka, akisema aliyesambaza taarifa za Loliondo kuwepo mapigano akamatwe kwa kuwa tupo katika vita ya kiuchumi na hakuna mapigano Loliondo. Leo, RC-Arusha anasema mapigano yapo na askari polisi mmoja kauwawa. Huyu spika wenu atakamatwa lini tafadhali?