@MariaSTsehai Samia hapaswi kufa kifo cha usingizi
Bali auawe kifo cha kikatili mnoo!
Afe taratibu na Kwa uchungu wa maumivu makali!!
Historia ni funzo zuri la namna ya kuwaadhibu
Madikteta ipo mifano mingi Africa na duniani kote.
Dikteta Samuel Do wa Liberia alikatwa masikio na kufa kikatili
Naumia mno jinsi naona dunia inalia na Iran vile serikali yao inawaua waandamanaji kwa maelfu ila sisi tulipouliwa kwa maelfu hakukuwa na outcry kama hii.
Especially leo asubuhi wanalalamika kuwa watu 12,000 wameuawa Iran ndani ya masaa 48, si ndio hiki hiki kilichotokea Tanzania? Si ndio idadi hii hii ya vifo ilitokea Tanzania? Je sisi Watanzania thamani kama waIran?
Ila yote 9 kumi, Watanzania tuna la kujifunza kwa wananchi wa Iran, nimeona video wananchi wanachukua miili ya ndugu zao huko mortuary huku wanaimba ‘ death to Khamenei’, yani wapo jengo la serikali na limejaa askari hao hao waliotoka kuwapiga risasi wenzao na bado wanachukua miili huku wanaimba ‘death to Khamenei’. Tanzania sasa, familia zinaenda polisi, mortuary etc kutafuta miili Alafu utasikia ‘mama tusaidie’ au watakaa kimya, yani uoga….
Ndio maana hata labda Iran wanapewa support na dunia, siku ya 4 leo wanapigwa risasi na bado wanatoka….
Anyways, mkiniuliza mimi I think serikali ya kishetani ya Islamic republic of Iran itadondoka na kuondolewa, it’s nolonger a matter of IF, it’s now a matter of WHEN.
Na serikali ya CCM pia itadondoka and it’s only a matter of time.
Mariadhiano pekee tunayotaka kwa sasa ni Samia na wauaji wenzake wajiuzulu na kuwajibishwa kwa mujibu wa Sheria za ndani na Kimataifa kwa kuhusika na mauaji ya maelfu ya Watanganyika wasio na hatia. Hiyo ndiyo first step ya maridhiano. Vinginevyo hakuna maridhiano📌
Hii hoja imenyooka sana
wauaji waache visingizio, sisi wananchi hatutaki mauaji, nchi ni yetu na serikali inatakiwa kuwa ya wananchi
wananchi hatutaki mtu yeyote auwawe
Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
KAGERA: Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe aliyasema hayo Januari 4, 2026, wakati akitoa maoni kuhusu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Zaidi tembelea https://t.co/Eh6Fmd7Yg8
#JamiiForums#Democracy#UtawalaBora#Governance#JFSiasa
Dear Mr. President @realDonaldTrump@POTUS, @SenateForeign@StateDept we,Tanzanians are asking you please ask Ms. McCormick and Mr. Zuckerberg to please look into the issue of meta disabling accounts of prominent Tanzanian activists after pressure from the Tanzanian government.
On December 3rd 2025, as one of Tanzanian’s most prominent activists, I was removed from all meta platforms, Instagram, facebook and WhatsApp.
My social-media platforms were essential tools for communicating , organizing peaceful civic action, and documenting human-rights abuses in real time. Their removal has severely hindered the ability of Tanzanians to access truthful information and to organize safely. Traditional media inside Tanzania has been effectively silenced; journalists who speak out risk being kidnapped, disappeared, or killed. This leaves social-media platforms run by diaspora activists like myself as one of the last remaining channels for Tanzanians to document and expose abuses.
I respectfully ask that you urge Meta to reinstate my accounts without delay. In today’s world, where civic freedoms and personal safety often depend on digital communication, it’s critical that meta does the right thing.
Mwambieni MUUAJI SAMUYA hatumpendi kwasababu ameteka na kuua ndugu zetu wengi, hatuwezi kumsamehe milele hata ajisemeshe vipi hatuna mpango nae.
kama mlijua tutawasahau mateka hawa mmeula wa chuya Mimi binafsi kuanzia Leo nitapost kila siku picha za mateka na mauaji. #MsiogopeTumeshinda
New evidence points to killings and grave human rights abuses by security force in Tanzania during election
By UN total body count reached 700 people ... https://t.co/6CEvk3MBRa
#TANZANIA: JOHN HECHE NI MTU MWEMA NA MPIGANIA HAKI WA KWELI, CCM WALIKATAA MIALIKO - MWABUKUSI
Anaandika Rais wa Wanasheria wa Tanganyika (@TanganyikaLaw), Wakili @Mwabuk2Boniface katika ukurasa wake wa X zamani Twitter juu ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanganyika, @HecheJohn
Mh. JOHN HECHE NI MTU MWEMA NA MPIGANIA HAKI WA KWELI
Ndugu Watanganyika Msidanganyike. Nimefanya kazi na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John W. Heche kuelekea uchaguzi Mkuu wa oktoba 2025 haswa baada ya kupata habari kwamba @ChademaTZ2 ndiyo wanaokwamisha Mazungumzo.
Nilibaini ni mtu mwema sana, anauependa mazungumzo yenye nia njemav na CHADEMA ilishiriki kwa Ukamilifu.
Tuliweza kukutana pande zote ikiwemo ACT, CUF pia na Madhehebu ya Dini kama CCT, TEC, BWAKWATA, Shura ya Maimamu, TAMWA, TAWLA, THRDC na Watu Mashuhuri.
Kumbukeni hata kushambuliwa kwa Dr Charles Kitima alishambuliwa akiwa kwenye jukumu kubwa hili la kutafuta suluhisho na kushambuliwa kwake hakuwezi kutengwa na nia ya ukwamishaji hatua za pamoja zilizokiwa zikiendelea.
Muda wote CCM ndiyo walikataa mialiko na hata tulipotumia gharama kubwa sana kutuma wajumbe na kuongeza muda ili tuweza kuwaaccimodate muda zaidi kukutana nao walikataa.
Lengo letu lilikuwa jema kabisa kuliepusha Taifa na vurugu zile za uchaguzi kwani utafiti wetu ulionesha nchi imevimba. Kwakushirikiana na THRDC tuliomba pia kukutana na Tume ya Uchaguzi nayo ilikataa kwa kisingizio cha kutokuwa na muda .
Kama kuna mtu asiyependa Haki Ukweli na Uwajibikaji ni CCM na vyombo vyake ambata. Huyu hapendi kuzungumza kwa kuheshimu wengine akija kwenye mazungumzo mara nyingi huwa ni kwa hila au mpango wa kukwamisha mbeleni rejeeni kutekwa na kuharibiwa kwa mchakayo wa Marekebisho ya Katiba na kuibuliwa kwa Katiba pendekezwa.
HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI VITALINUSURU TAIFA. BAK MWABUKUSI.
Somebody tell @ishowspeedsui should he honor the invitation to come to Tanzania by @MsigwaGerson he will be collaborating with murderers who are desparate on cleansing their bloody hands.
Tell him, Msigwa is one of the enablers of mass killings on Ocober 29 onwards.
Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 33 ya Chadema, kutakuwa na Wiki ya Maadhimisho ya Siku ya Kuzaliwa kwa Chama itakayofanyika kuanzia tarehe 15 hadi 21 Januari 2026. Wiki hii itahusisha shughuli mbalimbali za kisiasa na kijamii chini ya kauli mbiu isemayo: “Miaka 33 ya Mapambano; Tuna Watu, Tutashinda.”
#Miaka33YaChadema
#TunaWatuTutashinda
Kuna vikosi vya wauaji vimeingizwa Uganda vikitokea Tanzania kwenda kumsaidia Museveni kurudi madarakani kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika kesho, Vikosi hivi vipo chini ya Abduli (Mtoto wa Samia).
Hofu kubwa imetanda nchini Uganda ikizingatiwa kitendo cha kuzimwa kwa Internet nchi nzima, Hivyo kupelekea Waganda kuingia kwenye uchaguzi kesho wakiwa gizani, Kuna kila dalili dunia kushuhudia Museveni akitumia mkono wa chuma kama alivyofanya Samia Oktoba 29.
“hatuwezi kukaa kimya,” mwanamitindo wa kimataifa @tausilikokola kwenye mahojiano maalum na @thechanzo. full interview kwenye channel ya youtube ya the chanzo.
HATUWEZI KURIDHIANA NA WAUAJI.
Mmeuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi, mmeteka na kupoteza mamia ya ndugu zetu, mmewabambika kesi za Uhaini na Ugaidi Wanachama na Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mhe. Lissu
Mmeenda Gereza la Ukonga kumwambia Mhe. Lissu kwamba mko tayari kufuta kesi kwa sharti la kwamba akubali kuingia kwenye maridhiano, akawashushua mkaondoka sura zikiwa zimewashuka kwa aibu.😂
Halafu venye hamna akili mkamfuata Mhe. @HecheJohn na ombi hilo hilo la kutaka akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano, mmeona amegoma sasa mmeamua kumtuma Habiba Mchange aje na hii propaganda ya bei rahisi.
Yani Nduli Idd Amin Mama amkamate Mhe. Lissu na kumbambika kesi ya Uhaini, akatengeneze mpaka mashaidi wa uwongo halafu lawama mnataka kumpa Mhe. Heche hizi akili au matope?
Mmeona kila kona ya Dunia mnayoenda kuomba misaada kwa wahisani mnaangukia pua sasa mnatafuta kila njia ili CHADEMA ikubali kuingia kwenye maridhiano maana mnataka kuitumia CHADEMA kujisafishwa kwenye uso wa Dunia kwasababu ndo Chama pekee chenye Legitimacy.
Hii mbinu mliitumia wakati wa Mhe. Mbowe kipindi kile mmempa kesi ya Ugaidi sasa kama mnadhani mnaweza kuitumia wakati huu basi akili zenu wote zitakuwa zimejaa funza.😤
Viongozi wa CHADEMA tulionao sasa ni BENDERA CHUMA, MLINGOTI CHUMA.
Nendeni mkaridhiane na Watanganyika zaidi ya elfu kumi ambao mliwauwa Oktoba 29 kisha mkaiba maelfu ya miili yao na kwenda kuizika kama mizoga kwenye makabuli ya halaiki.
Jambo la mwisho ambalo mnapaswa kuliweka kwenye akili zenu ni kwamba Damu za Watanganyika zaidi ya elfu kumi mliowaua hazitawaacha salama, hazitanyamaza, zitawalilia nyinyi na vizazi vyenu mpaka siku mnaingia kaburini.
Maumivu ambayo anapitia huyu Mama ni Mungu tu ambae anaweza kuelewa.
Nduli Idd Amin Mama na washirika wake wamezisababishia familia nyingi maumivu ambayo hayaelezeki baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi Oktoba 29.
#SamiaMustGo