Top Tweets for #MAHOUTHI
#MAHOUTHI WAKO KWENYE PUMZI ZAO ZA MWISHO YEMEN💦📚
>>WANAKULA CHUMA CHA MOTO NA MOSHI MWEUSI KILA PANDE
🫴_WANAHARAKISHEA SAFARI YAO YA JAHANNAM WANAYOITAFUTA
#YemeniArmedForces
🚨 TAARIFA MPYA
🔺️ Saa ya mwisho inakaribia:
Wanajeshi 400,000 wameizingira mji mkuu wa Sana’a, wakisubiri amri ya kuingia mjini na kuyaondoa makundi ya wanamgambo wa Houthi ndani ya saa chache.
🔺️ Wahouthi wako katika pumzi zao za mwisho.
@_zack255 @EsirEid @benhabib6 @HabiibYahyaa @Matallahkhamis @GShio @Granitinho85459
#القوات_المسلحة_اليمنية
🚨عاجل
🔺️ساعة الصفر تقترب :
400 ألف جندي يحاصرون العاصمة صنعاء بانتظار الأوامر لدخول المدينة وتطهيرها من المليشيات الحوثية خلال ساعات.
🔺️الحوثي يلفظ أنفاسه الأخيرة.
#Khamenei, aliyelaaniwa anadai kwamba asili ya #Mahouthi inatokana na ardhi ya Uajemi(IRAN_PERSIA), 💦📚🤮
>>na kwamba walikuja #Yemen kutoka #Mazandaran nchini #Iran🇮🇷 takriban miaka elfu moja iliyopita, kwa lengo la kuanzisha dola ya Kishia ya #Kialawi.
🫴_Wale mliokua mnakataa kwamba mahouthi sio mashia imamiya jueni ukweli huu
_Hawa mashia wa iran🇮🇷 ndio wanalifadhili hili genge la kihuni ili wasimike utawala wa kishia wenye ukafiri na laana huko YEMEN
#Mahouthi sasa wanatishia waziwazi kuishambulia Pakistan na Uturuki kwa mabomu, sambamba na Saudi Arabia.🇸🇦
Lakini sioni vitisho vyovyote dhidi ya Israel.🤣🤣
Netanyahu lazima awe anajivunia mawakala wake hawa wapya
>>eti hawa ndio walikua wanaitwa watetezi wa waislamu⁉️🤮
🫴_LEO WAISLAMU WA PAKISTAN,UTURUKY NA SAUDI ARABIA NDIO WANATISHIWA KIFO BADALA YA ISRAEL🇮🇱 NA USA🇺🇲⁉️🤮
NO MORE DEATH TO AMERCA🇺🇲🫷
🇾🇪 Ansarallah warns Turkey and Pakistan against entering the war
Mohammad al-Bukhaiti, spokesman for Yemen’s Ansarallah:
“By God, if Turkey or Pakistan get involved, we will strike them with an iron fist. And just as we are disciplining Saudi Arabia today, we will discipline them as well.”

#MAHOUTHI NI WAJUKUU WA MFALME ABRAHA NA HISTORIA HAIDANGANYI // THE #HISTORY REPEAT 💦📚
#Zamani kidogo, #Mahouthi walijenga Kaaba bandia huko Sana’a na wakaizunguka kwa kufanya tawafu.
Daima wamekuwa wakionyesha chuki na kutoridhishwa na Kaaba halisi. Jambo kama hilo pia lilitokea nchini Iran, na sasa kitendo kama hicho kimefanyika tena huko Sana’a.
Hili linaonekana kuwa ni jaribio lao la kuifanyia mzaha na kuidhalilisha Kaaba.
Mahouthi hawana jambo jipya katika suala hili; historia yao inahusishwa na matukio yanayofanana na yale ya zamani.
Abraha, mtawala Mkristo wa Yemen, alijenga Al_kaana yake kubwa huko Sana’a lililojulikana kama Al-Qullays, akiwa na lengo la kuwavutia Waarabu waache kwenda Makka na kuelekea kwenye jengo hilo badala ya Kaaba.
Baada ya mpango huo kutofanikiwa, Abraha alikusanya jeshi lake na kuelekea Makka kwa nia ya kuishambulia na kuiangusha Kaaba.
Allah akalilinda Nyumba Yake, kama ilivyotajwa katika Surat Al-Fīl (105:1–5).
Hivyo, tukio la Abraha na Al-Qullays ni sehemu muhimu ya historia ya Yemen na Makka, lakini si sahihi kusema kwamba Al-Qullays ilikuwa “Kaaba” yenyewe.
@_zack255 @EsirEid @HabiibYahyaa @MDigala24 @mchonjo_ally @Matallahkhamis @MassaweZai20275 @Granitinho85459 @BlackWolfBeast @BinKombo3
بہت پہلےحوثیوں نے صنعا میں ایک نقلی کعبہ بنایا اور اس کا طواف کیا
ان کو اصل خانہ کعبہ سے تکلیف رہتی ایران میں بھی یہ ہوا اب صنعاء میں بھی یہی حرکت ان کی کعبہ کو مذاق بنانے کی کوشش ہے
KWA WALE MIKIA WA #IRAN🇮🇷 WALIOKANUSHA KWAMBA #MAHOUTHI HAWAWEZI KAMWE KUSHAMBULIA MAKKA NA MADINA AU AL_KAABA NJOONI MUSIKIE MASHIA WA KIHOUTHI WAO WANASEMAJE 📚💦🤔
[_mara paap wamejitokeza wenyewe mashia wa kihouthi kuthibitisha kwamba wao ndio wahusika na wana plan zaidi ya hapo__]_sasa mashia na masufy sijui wanaziweka wapi sura zao 🤣
>>>Kwa wale wanaosema mtandaoni kwamba #Wahouthi wa Yemen hawawezi kamwe kushambulia #Makka au #Madina,
🫴hapa kuna msemaji wa Kihouthi akisema waziwazi kwamba;
"wangeyashambulia Masjid al-Haram huko Makka na Msikiti wa Mtume huko Madina"
Anasema pia kwamba ;
"watu wengi hawana elimu au uelewa wa kutosha wa kufahamu kwa nini wangefanya hivyo, huku akidai kwamba jambo hilo kwa namna fulani lingekuwa “kwa manufaa ya Waislamu.”
DUH 👀🤮🤬
Hakuna kinachoweza kuwa wazi zaidi ya hiki.
Katika hatua hii, Muislamu yeyote anayetoa visingizio kwa kauli kama hizi anapaswa kwa dhati kutafakari ni jambo gani hasa analolitetea.
Hakuna Muislamu mkweli ambaye angependa kuona Makka, Madina, au Misikiti Mitukufu Miwili ikishambuliwa au kudhuriwa.
@Granitinho85459
Mtu anakaza fuvu la kichwa kwamba saudia🇸🇦 inawasingizia #mahouthi kuhusu kuenga makka kwa makombora huo ni uongo ma ni a false flag🚩 ⁉️ 🙏📚
🫴 hebu shuhudieni maneno wanayoyatamka mahouthi wenyewe kwani wao wanasemaje kuhusu kuibomoa misikiti ya makka na madina huko saudi arabia 🇸🇦
Msikilize hapo chini sheikh na kiongozi wa #kihuthi akihutubia mkutano wa hadhara
"ANASEMA WAZI KWAMBA WATAIBOMOA MISIKITI MIWILI YA MAKKA NA MADINA"
👇 TEGA SIKIO; 🤔
#MAHOUTHI WANATUMIA UCHAWI KWENYE VITA VYAO DHIDI ŸA AHLISUNNA WA YEMEN NA JESHI LA SAUDIA 📚💦🫷🤣
《_Talasimu na mazindiko na hirizi zimekutwa kwenye maiti za wanamgambo wa kishia wa KIHOUTHI_》
DOOOOH SALAÀLAH😫🤮🙈
>>ETI HAWA NDIO WATU WANAWASIFIA NA KUSEMA WATAISHINDA DOLA YA TAWHEED YA SAUDIA🇸🇦⁉️🤣
🫴_TANGIA LINI MCHAWI AKAISHINDA TAWHEED⁉️
Wanatumia uchawi na mashetani katika vita vyao dhidi ya Ahlus-Sunnah nchini Yemen.
Vitu hivyo vilipatikana pamoja na miili ya baadhi ya wapiganaji wa Kihouthi waliouawa.
🫴Hata hivyo, mashetani, hirizi, wala majini havikuwa na uwezo wa kuwasaidia dhidi ya Allah hata kidogo.
HII MIJITU NI YA KUPIGWA VITA MPAKA IACHE USHIRIKINA NA DINI IWE NI TAWHEED TU ✊️
#MAHouthi isn’t journalists, political Activ or human rights activists. He is leader of militia who made kill criminal & Yemeni displacement since before 2014. He was kidnappe & killed a hundred under torture. Yemeni press syndicate @saeedthabit #ShameOnWP #yemen #JamalKhashoggi
١/
محمد علي #الحوثي ليس صحفيا ولا ناشطا سياسيا او حقوقيا... إنه زعيم مليشيا ارتكب جرائم قتل وتهجير لليمنيين منذ ماقبل 2014 واختطف مئات الصحفيين وقتل العشرات منهم تحت التعذيب.
**وكيل نقابة الصحفيين في #اليمن
#ShameOnWP
@washingtonpost.
@KarenAttiah

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers





