Top Tweets for #MMBHuba
Ukiangalia simu yako sasa hivi, wewe ni nani ndani ya #MMBHuba?
Usikose kufuatilia mwendelezo wa tamthilia ya #Huba leo usiku ch. 160 ndani ya kifurushi cha Bomba tshs 25,000 tu!
Piga *150*53# kulipia.
#tamthiliabilaDStvhazinogi
#MfalmewaBomaniDStv

Nani atamuokoa Tima kwenye tabu hizi? Bonyeza hapo chini kuangalia matukio yote ndani ya wiki hii ya #MMBHuba ππ
Usikose marudio ya wiki nzima kila Jumamosi saa 10:30 mchana ndani ya #MaishaMagicBongo π€©

Bado tunaendelea kusherekea mwezi huu wa mapenzi. Tuambie hapo chini kati ya hawa wote, ni huba la nani limekupendezisha sana ππ Kwa zaidi soma hapo chini.
Usikose vipindi vya #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo π€©

Kati ya Nelly na Anna ni nani amelaaniwa zaidi na ndoa? Soma hapo chini π na toa maoni yako. Pia usikose vipindi vya leo vya #MMBHuba na #MMBJuaKali saa 3 usiku na 3:30 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo π₯π₯
Kwa burudani zaidi jiunge na #MyDStv App!!

Nelly aanza mwaka mpya na furaha tele baada ya Abby kumvisha pete, bonyeza hapo chini kuangalia tukio hili ππ Pia usikose vipindi vya #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo π
Kwa burudani zaidi jiunge na #MyDStv App!! π₯π₯

Je unafikiri Sidi anaweza kuwa mke wa tatu wa JB? π±π€ Kama ulikosa kuona ilikuaje mpaka JB alivyoishia hospitali bonyeza hapo chini kuangalia kwa zaidi π
Usikose vipindi vipya vya #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo ππ
Je unawezakurudiana na ex wako kama Kibibi na Chidi? Bonyeza hapo chini kusoma sababu tatu zakutorudiana na ex wako ππ Usikose marudio ya vipindi vya wiki hii vya #MMBHuba saa 10:30 mchana ndani ya #MaishaMagicBongo
Pia jiunganishe na #MyDStv App kwa zaidi ππ

Tima na Doris wamaeamua kuanza mazoezi kwa kasi sana , na hizi ndizo vifaa vyao muhimu wakiwa mazoezini. Bonyeza hapo chini kusoma kwa zaidi π Usikose marudio ya vipindi vya wiki hii vya #MMBHuba leo saa 10:30 mchana ndani ya #MaishaMagicBongo π₯

Tamthilia zetu #MMBHuba, #MMBPazia, #MMBKitimtim na #MMBJuaKali, harakati za mahusiano zina mambo mengi na kila mtu hapo chini ana mpenzi zaidi ya mmoja. Tumekuwekea orodha hapo chini kumsaidia kila mtu kufanya maamuzi sahihi ya anaye mfaa zaidi? π Soma hapo chini

Doris amkumbusha Roy ni nyumba ya nani hiyo π
Bonyeza hapa π https://t.co/nQzsGxwipb kuangalia kwa ufupi matokeo ya wiki hii ndani ya kipindi cha #MMBHuba π€©
Pia usikose marudio ya wiki nzima kila Jumamosi saa 10:30 mchana ndani ya #MaishaMagicBongo π₯
Fei ana maneno ya busara kwa dada yake kuhusu mitando ya jamii π
Bonyeza hapa kuangalia video nzima π https://t.co/vGIHkTcHRh
Kumbuka marudio ya wiki nzima ya #MMBHuba kila Jumamosi saa 10:30 mchana ndani ya #MaishaMagicBongo
Kuna sura mpya ndani ya #MMBHuba! π£οΈπ£οΈ Bonyeza hapo chini kusoma kuhusu Fei sasa hivi ππ Pia jiandae kwa kipindi kipya saa 3 usiku ndani ya DStv chaneli 160! π₯ #MaishaMagicBongo

Maskini Nelly π Majonzi ya kumpoteza mama yake yamfanya achanganyikiwe akili π Kwa zaidi ya matukio ya wiki hii ndani ya #MMBHuba bonyeza hapo chini ππ
Pia fuatilia marudio ya wiki nzima kila Jumamosi saa 10:30 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo π₯
Don't wait another moment.β° Vote for your fave in the category they are nominated in before voting closes tomorrow at 21:00 WAT (22:00 CAT)!
Vote on the Africa Magic Website here ππΏhttps://t.co/hNeAbYknF8
#AMVCA9 is proudly sponsored by @AmstelMalta and @Zagg_ng
"Nicole nani amekutuma?" πππ
Usikose kasheshe za #MMBHuba leo saa 3 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo! Pia kumbuka kwamba #Huba imeteuliwa ndani ya tuzo za #AMVCA π Bonyeza linki kwenye bio jua jinsi ya kutupigia kura β
Tamthilia zetu pendwa za #MMBPazia na #MMBHuba zimechaguliwa ndani ya tuzo za #AMVCA. Tunaomba watazamaji wetu wa #MaishaMagicBongo watusaidie kuzileta hizi tuzo nyumbani.Bonyeza hapo chini kutupigia kura ποΏ½Tamthilia zetu pendwa za #MMBPazia na #MMBHuba zimechaguliwa ndani ya tuzo za #AMVCA. Tunaomba watazamaji wetu wa #MaishaMagicBongo watusaidie kuzileta hizi tuzo nyumbani.Bonyeza hapo chini kutupigia kura ποΏ½Tamthilia zetu pendwa za #MMBPazia na #MMBHuba zimechaguliwa ndani ya tuzo za #AMVCA. Tunaomba watazamaji wetu wa #MaishaMagicBongo watusaidie kuzileta hizi tuzo nyumbani.Bonyeza hapo chini kutupigia kura ππ

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110.3M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.6M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.3M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.6M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.6M followers







