Top Tweets for #MPENDWA
Siku 24, soneti 24. Enjoi Soneti hii ya pili ya barua kwa MPENDWA wangu - Uandishi! #PoetryMonth
#April #Mpendwa #BaruayaWino #Soneti #Ushairi #Kiswahili #MweziwaUshairi #LoveLetter #Memoir #Sonnet #Swahili #Mtunzi #Writer #Poet #Poetry #Poem #MwandishiZuhura

Siku 24, soneti 24. Enjoy Soneti hii ya kwanza ya barua kwa MPENDWA wangu - uandishi! #PoetryMonth
#April #Mpendwa #BaruaYaWino #Soneti #Ushairi #Kiswahili #MweziWaUshairi #LoveLetter #Memoir #Sonnet #Swahili #mtunzi #writer #poet #poetry #poem #MweziwaUshairi #MwandishiZuhura

Another evidence that #Erickbernard involved in to connection #policeCcm for enforce disappearing of @Sativa255 now revealing here👇
Tunakila sababu ya sisi kuifahamisha #Familia ya sativa kua #Erickbernard anausika kumchomea #Mpendwa wenu kwa watekaji wa #ccm 👇

#BreakingNews
Ndugu jamaa ana marafiki wa Liyepotea #sativo tumpatieni connections wapi uyu MTOA TAARIFA ZA WATU KUTEKWA kwenye picha @#ERICKBERNADI nao waweze cheza nae mziki wanaocheza kuntafuta #Mpendwa wao.
#Erickbernard awe mfano kwa wengine wanao chomesha wenzao humu

#TAFAKARI #NJEMA #MPENDWA
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Hakuna *marefu_* yasiyo na ncha
Mbio za sakafuni huishia ukingoni
Mwisho wa ubaya ni aibuNjia ya mwongo ni fupi
Wakati ni ukuta ukishindana nao utaumia
Wakati ni ukuta liwezekanalo leo lisingoje kesho, wakati unangojea hakuna mtu wa kukumbusha zaidi ya ujumbe Huu.
Kila siku umri Una songa mbele , jitengenezee hazina mbinguni kwa sababu ulimwengu huu ni wa muda mfupi Sana.
Fanya mambo mazuri Watu waje wakukumbuke...
Fanya mambo mazuri Taifa lije likukumbuke
Fanya mambo mazuri Watoto waje wakukumbuke
Fanya mambo mazuri wajukuu waje wakukumbuke
Fanya mambo mazuri Jamii ije ikukumbuke
Fanya mambo mazuri Dunia ije ikukumbuke
Kuwa mtu wa bahati jikabidhi Sasa kwa Mungu wetu . Kila roho itaonja kifo na utakabiliwa na hukumu.
Maishani mwetu inatupasa tuishi tukiamini kwamba hakuna hatuwaziae Mema zaidi ya Mungu Muumba pekee, yeye ndiye mwenye haki ya kutukuzwa na kupewa sifa.
Na sio kutukuza Pesa, Majumba, Magari na Wanadamu ambao leo wapo kesho wanatoweka maishani mwetu.
Jisogeze karibu zaidi na Mungu kwasababu yeye ndiye furaha ya kweli daima.
*Nakutakia baraka MUNGU akupe haja ya moyo wako kadri ya mapenzi Yake kwako.
@hellenjeriKe You too #mpendwa
Bwana Akupiganie #Mpendwa

Ninajua kuna leo sababu ya jana pia ninajua kuna kesho sababu ya uwepo wa leo
#mpendwa jifunze kithamini siku yako sababu katila siku yako ndipo yalimo mafanikio yako zaidi.
Ukiona unaitwa #MPENDWA kwenye #MAHUSIANO yako arafu hakuna #KWICHI jua wewe ni #MPENDWA_MSIKILIZAJI au #MPENDWA_MTIZAMAJI @Johnkasanula
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.6M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.4M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers











