Top Tweets for #MSAADA
Ni Maeneo Gani Kahama Naweza Kufungua DUKA LA UMEME!!!!!
#Msaada
#Msaada l'm sorry for asking again, hivi yule mwamba wa "Up rising music baby" anaitwa nani? Ningependa pia kujua pages zake za Insta. Namwuitaji tafadhali natanguliza shukrani 🙏
X wajuaji Msaada ��
Repost, retweet wajuaji wanisaidie hili swala
👉 Kuna Simu Ya Iphone XR inashida kidogo , 🔹shida ni mtandao hausomi au kwa jina linguine Line haisomi kabisa
👉 iOS ni 18.3 na imeisha updatetiwa na pia imefanywa ristart ya internet ila bado inakataaa?
#msaada

Wakuu anaeweza kunisaidia jinsi ya kuitumia hii 135K nimepewa kama Gift ila nashindwa jinsi ya kuitumia maana nimezoea huwa wananipa kale kaMpira nirushe but leo naona iko tofauti kaMpira hawajaleta #Msaada please

#Msaada wa kisheria kwa haki,uasawa,amani na maendeleo.

Kama hujui #msaada wako
Utaletwa na nani #kesho,
Basi #muheshimu sana yule
unayekutana nae #leo.
Zero Brain 🧠 87 💔⚰️
#LegalAidCampaign #TheMamaSamia #Msaada wa sheria kwa haki, amani usawa na maedeleo. Niliwakilisha Bodi ya Kitaifa ya Ushauri ya Msaada wa Kisheria. Nikiwa na mawakili wenzangu kutoka @TanganyikaLaw, kongole #TLS huduma ya msaada wa Sheria Mtwara @PATRICIAMAGANGA @JamiiHealth

The Mama Samia #LegalAidCampaign has reached 11 regions across 🇹🇿. In Mtwara, the 9-day initiative will provide free legal aid in 9 districts.
Key services include the provision of legal education, resolution of land & inheritance disputes—especially for women & addressing VAWG.

Watalaamu wa Camera #Msaada ni Camera gani inafaa kwa ajili ya Content creation hasa video na picha?
Ambayo kijana anaejichanga anaweza kununua. Msije kutaja za milioni 10.😂
Afisa dawati la msaada wa kisheria (MSLAC) wakitoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi waliopo eneo la soko la kaumu, kata ya Mkuti,Halmashauri ya mji Masasi.
#Msaada wa Kisheria Popote na Kwa Hali yoyote!
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango
@biteko
@katibanasheria_
@profkabudipjam
@victoria.mwanziva @tanganyikalawsociety @boniface_a_k_mwabukusi

#MSAADA TUTANI
Mwanangu kachaguliwa shule ya Muungano Secondary iliyopo Himo (Moshi). Wale wa mji huu nauliza tu, kiukweli hii shule siifahamu vizuri. Naomba mwenye kuifahamu vizuri aniambie ili nisije kujichanganya wakuu.
#Msaada wa ushauri.
Bibi yangu ana shida hii ya miguu kidonda kikubwa, amepatiwa matibabu Hospital wilaya Vwawa Mbozi na Ilasi.
Tatizo limezidi na kufikia hatua ambayo familia inakata tamaa.
Kwa ushauri wa dawa, na matibabu tutashukuru.
@BongeLaAfya @Kudu_ze_Kudu

#msaada🙏👇
Ndugu habari...
Samahani kwa kuja inbox
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 napatikana Morogoro.
Ni undergraduate, bachelor degree in Human Resource management, G.P.A ya 4.4.
Naomba nisaidie kwa followers wako nipate kazi yoyote niko tayari kufanya kazi mahali popote please 🙏
#Msaada
Mdau anahitaji vipapatio vya kuku Kutoka kwa supplier aliyesajiliwa na ana vifungashio Dar es Salaam.
Anasoma comment
Mtu kapatwa na hili janga watu wa Azam #msaada.
👇🏾
kingamuzi hakionyeshi chanel yoyote kinaleta no tv program n kwny mwanga wa kuonyesha kimewak kuna rangi njano n nyekund (simbayanga)
#Msaada
Natafuta mhitimu wa kike wa diploma in procurement mwaka 2023.
DM Me
#Msaada
Kuna gari inaitwa habari Beach..?? Mbeya-Dar

Last Seen Hashtags on Sotwe
AuthorLife
Seen from Indonesia
المركز_الوطني_لحماية_الغطاء_النباتي
Seen from Indonesia
bursatravesti
Seen from Turkey
قحاب_السعودية
Seen from Saudi Arabia
omegle() filter:media
Seen from Germany
momson(((((((((())))))))))********** filter:native_video
ddlg
Seen from United States
即日退職
momson()********************************
Seen from United States
nolimit momson()
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.6M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.9M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers





















