Top Tweets for #MWEMA
Leo #NewMusicAlert ni @mojishortbabaa - #Mwema Premiering here on #Brekko
Hit or Miss?
Unaipea ngapi out of 10?

MFU AU #MAITI HAOMBWI DUA YEYOTE SAWA AWE NABII AU MJA #MWEMA 📚💦
>> ukimuomba Dua #mtume au swahaba basi jua huna tofauti na wale washirikina zama za £nuhu
majina ya #masanamu ambayo watu wa Nabii Nuh عليه السلام walikuwa wakiyaabudu na kuwaomba badala ya Allah.
Hii ni dalili nyingine kuwa kuomba wafu au masanamu ni miongoni mwa shirki za zamani kabisa.
📖 Aya kamili:
> وَقَالُوا لَا تَذَرُنَّ آلِهَتَكُمْ وَلَا تَذَرُنَّ وَدًّا وَلَا سُوَاعًا وَلَا يَغُوثَ وَيَعُوقَ وَنَسْرًا
"Wakasema: ‘Wala msiwaache miungu yenu, wala msiache #Wadd, wala #Suwaa’, wala #Yaghuth, na #Ya’uq, na #nasra."
📚 Surat Nuh (71:23)
📝 Maelezo ya ziada:
Majina haya:
_Wadd
_Suwaa’
_Yaghuth
_Ya’uq
_Nasr
🤏…yalikuwa ni majina ya watu wema waliokufa. Baada ya kifo chao, watu waliwadhukuru kwa wema, baadaye wakachora sanamu zao, na hatimaye wakaanza kuwaabudu. Hivyo ndivyo shirki ya kwanza ilivyoanza duniani.
📘 Imepokewa na Ibn Abbas kwamba:
> "Hawa walikuwa watu #wema miongoni mwa watu wa Nuh. Walipokufa, #Shetani akawapendekezea watu wachore picha zao ili wazikumbuke, na kizazi kilichofuata kilianza kuwaabudu."
(👈 Rejea: Sahih al-Bukhari – Kitabu cha Tafsiri ya Qur’an, chini ya tafsiri ya aya hii)
#Kuomba_Shafaa_Kwa_Wafu
Ama wafu, basi hawapaswi kuombwa chochote – iwe ni shafaa (uombezi) au kingine chochote, wawe ni manabii au si manabii. Lakini unaruhusiwa kumuomba Allah akufanyie Mtume wake ﷺ awe mshafii wako (akuombee), au awafanye waja wake wema wakuombee. Hili halina ubaya wowote, kwani unamuomba Mwenyezi Mungu – ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kuzipa shafaa.
Hili ni jambo la msingi sana katika Aqeedah ya Uislamu – kwamba dua na maombi yoyote ya msaada wa ghaibu yanapaswa kuelekezwa kwa Mwenyezi Mungu pekee, wala si kwa wafu au viumbe wengine. Zifuatazo ni aya za Qur'an na hadithi sahihi zinazokataza kuomba dua au shafaa kwa wafu:
---🛡📚
✍️
📖 Aya za Qur'an
1. Surat Az-Zumar (39:44)
> "Sema: Shafaa yote ni ya Mwenyezi Mungu. Ni wake ufalme wa mbingu na ardhi..."
(Az-Zumar 39:44)
➡️ Hii inaonyesha kuwa shafaa haiombwi kwa mwingine ila kwa Allah tu, kwani Yeye ndiye Mmiliki wake.
2. Surat Yunus (10:106)
> "Wala usimuombe asiyekuwa Mwenyezi Mungu, ambaye hakufaidii wala hakudhuru. Ukifanya hivyo, basi hakika utakuwa miongoni mwa madhalimu."
(Yunus 10:106)
➡️ Hii ni dalili ya wazi ya kwamba kuomba kwa viumbe (wakiwemo waliokufa) ni shirki.
3. Surat Al-Ahqaf (46:5)
> "Na nani aliyepotea zaidi kuliko yule anayeomba (dua) badala ya Mwenyezi Mungu kitu ambacho hakitamjibu mpaka Siku ya Kiyama, na wao hawajui hata kuwa wameombwa?"
(Al-Ahqaf 46:5)
➡️ Wafu hawawezi kujua hata kama wameombwa – ni ushahidi kwamba hawawezi kusaidia.
---🔰📚
📜 Hadithi Sahihi
1. Hadithi ya Ibn Abbas رضي الله عنهما
Mtume ﷺ alisema:
> "Iwapo utaomba, basi muombe Allah; na ukiomba msaada, basi muombe Allah."
📚 [Tirmidhi 2516, sahihi]
➡️ Hii ni dalili ya wazi kuwa maombi ya msaada yawe kwa Allah pekee – si kwa wafu wala viumbe wengine.
2. Hadithi ya Mtume ﷺ kuhusu kushirikiana na wafu
Mtume ﷺ alisema:
> "Mwenye kwenda kwa kahini au mpiga ramli na akamuamini, basi amekufuru kwa alichoteremshiwa Muhammad."
📚 [Abu Dawud 3904, sahihi]
➡️ Hii hadithi inaonyesha uzito wa kutegemea viumbe katika mambo ya ghaibu – ikiwa haiwezekani kwa walioko hai, vipi waliokufa?
---
⚠️ Hitimisho:📚💦
Kumuomba dua au msaada mtu aliyekufa ni shirk (kumpa Allah mshirika) na ni kinyume na tawheed ya Uluhiyyah. Badala yake, tunamuomba Allah tu atufanyie Mtume wake na waja wake wema kuwa waombezi wetu – hilo ni halali, kwa sababu ni maombi ya Allah mwenye mamlaka ya kutoa shafaa.
@AbdallahAl91947
@BinKombo3 @SaumuYanga @BlackWolfBeast @IsaRouhan13797 @Matallahkhamis @himovici000 @
💡 #فائدة_اليوم
#طلب_الشفاعة_من_الأموات
-" أمَّا الأموات فلا يُطلبُ منهم شي لا الشفاعة ولا غيرُها، سواءً كانوا أنبياء أو غير أنبياء، لكنْ لك أنْ تطلب منْ الله أنْ يُشَفِّع فيك نبيه ﷺ، أنْ يُشَفِّع فيك عبادهُ الصَّالحين، هذا ليس فيه بأس أنَّك تطلبها من الله عز وجل المالك لها "
@Radio47_Kenya Np #Mwema by Cyrus Azizi
Umbali huu tumefika Bwana ni neema yako. Ungelikuwa ni wewe , tungelimezwa na maadui zetu. Siku njema..
Mke wangu Rael Nyabonyi
Sis Naom Kwamboka
Joshua Kwemoi
@AkolaNancy
@jessy_makungu
@sangurafesto
@SirWebungo
@Radio47_Kenya @CateKullo
#HaoaNdipo
@MmboneMercy1 The Lord is the Lion of the tribe of Judah, the first and the last. Yeye ni mwema kwa walio wake.
Np #Mwema by Cyrus Azizi
Mke wangu Rael Nyabonyi
Sis Naom Kwamboka
@sangurafesto @jessy_makungu @fordKimungui4 @CalystusMurung5
@radiomaisha @MmboneMercy1
#SafariNaMercyMmbone
HAPPY SABBATH With TUCASA MUHAS Choir @tucasamuhas from HOME COMING SEASON 04 at MWENGE SDA CHURCH @mwengesdachurch
~ Just Smile! Bwana ni #MWEMA 🫴🏾😃🔥
🎥🎥🎥 @gospel__buzz
#mbarikiwamtwa #smile #SpreadJoy #forsmile #justsmile #alliswell #GodWillProvide #choosetobehappy
Quand il est là aux affaires de l'Etat on le sent ,et quand il n'est pas là on le sent aussi. Disait le professeur #KASONGO #MWEMA #YAMBA #YAMBA d'heureuses mémoire sur le #mwalimu @VitalKamerhe1 .
@Bibishe6 @BillyKambale1

It's a beautiful Monday to introduce you to #Mwema by @yunggeeboy
Streaming Now
https://t.co/mvy0Il7YRF
Usipitwe na baraka ya kumsikiliza #MathiasWalichupa mchana huu. Anasema #Mwema 🙏🏿
Sikiliza kupitia Boomplay hapa ▶ https://t.co/9Ng3I0zNMc
#homeofmusic #mathiaswalichupa #boomplay #freshmusic #gospel #sundayworship #boomfresh #newmusic #mwema

NP #Mwema by @MercyMasika on your home of local, urban and international music https://t.co/3ftFpUCiU9
#Brekko

@SemujjuNganda1 @YouthBizExp @TourBugandaUG @Bicul_Ug @BugandaTourism @bbstvug @HonAniteEvelyn @ntvuganda Garbage collectors in Mukono we United to clean our city
#MWEMA
Kasongo #Mwema est mort . #CongoDurable vous fait découvrir le parcours emblématique de ce journaliste que la #RDC vient de perdre. En 2019, il devient porte-parole de @fatshi13. Il est mort PCA de @acprdc_Officiel.
@PatrickMuyaya.
TOUT LIRE ICI 👇
https://t.co/lnMrymgCpE
Kasongo #Mwema est mort . #CongoDurable vous fait découvrir le parcours emblématique de ce journaliste que la #RDC vient de perdre. En 2019, il devient porte-parole de @fatshi13. Il est mort PCA de @acprdc_Officiel.
@PatrickMuyaya.
TOUT LIRE ICI 👇
https://t.co/lnMrymgCpE
Après #Tshitenge #Lubabu, c'est un autre grand journaliste congolais et #panafricain qui s'est éteint ce samedi 12/11 à Kin. Comme Tshitenge, #Kasongo #Mwema est un ancien de l'#OZRT (ex-télé #Zaïre, aujourd'hui #RTNC). Tous 2 ont aussi travaillé à #RFI.
@ChBoisbouvier
@mrbiloa

Kasongo #Mwema n'est plus. Quelle perte!
Journaliste de valeur, professeur,... le regretté a été sans nul doute un grand baobab, qui a œuvré pour la RTNC et la RFI notamment. Ex porte-parole du pdt FATSHI, il a été élevé dernièrement au rang de PCA de l'ACP. Paix à ton âme doyen!

Last Seen Hashtags on Sotwe
CafeFatal
Seen from United States
ColdDrinkYaseTembisa
Seen from United States
momson()filter:native_video
Seen from United Kingdom
やっとランドプラスアーツさんに会えた
Seen from United States
ngrprank
Seen from Indonesia
Teenage
Seen from Algeria
FUERAADN
Seen from United States
nolimit() or momson() +filter:native_video #momson
Seen from Switzerland
fnfsona
hatsfortheroyals
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.5M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.4M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.9M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.2M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.3M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.6M followers

X 
@x
60.8M followers




















