Top Tweets for #Mapigano
#mapigano mashariki mwa Congo 🇨🇩Mapigano makali yaripotiwa kwenye milima ya shasha jioni wilayani Masisi KIVU KASKAZINI Mashariki mwa DRC.
https://t.co/LslhHqZSyO
#kyiv #moscow #medani #mafanikio #vita #mapigano #masharikiyaukraine #uvamiziwarussia #voa #voaswahili
Wakazi wa maeneo yaliyoathiriwa na mapigano mapya kati ya majeshi ya DRC na waasi wa M23 wanaeleza sikitiko lao la kulazimika kuhama makazi yao na kukimbilia maporini.
#Wakazi #mapigano #majeshi #DRC #Congo #waasiwaM23 #wakimbiavita #voa #voaswahili #dunianileo
Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, wachukua udhibiti wa maeneo kadhaa yaliyokuwa yametekwa na waasi wa M23.
#Wanajeshi #DRC #mapigano #Congo #udhibiti #Waasi #M23 #voa #voaswahili #dunianileo
Zaidi ya Wakongo 13,000 wakimbia makazi yao na kuingia Uganda kutokana na mapigano kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.
#Wakongo #makazi #wakimbizi #makazi #Uganda #mapigano #waasi #M24 #jeshi #DRC #voa #voaswahili #dunianileo
Russia imezidisha mashambulizi yake katika miji muhimu ya Ukraine huku mapigano yakiendelea kwa siku saba kila upande kaskazini mashariki na kusini mwa nchi hiyo.
#Russia #Ukraine #Mashambulizi #vita #Mapigano #voa #voaswahili #dunianileo
Mapigano kati ya Jeshi la Congo, FARDC, na waasi wa M23 yaendelea kwa siku ya tatu huko Kivu Kaskazini, Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.
#Mapigano #Jeshi #Congo #DRC #FARDC #Waasi #M23 #Kivukaskazini #voa #voaswahili #dunianileo
#MAPIGANO SUDAN KUSINI: UN yasema mapigano kati ya vikosi vya serikali na upinzani ni makali mji wa Juba. Mamia... https://t.co/pIJLAj4lwY
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.6M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers











